Idd Cheche umezingua,refa alichowafanyia Azam sio haki ,mpira wetu hautaendelea kamwe

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,779
Yaani makwasukwasu hela nilidhani walimpa sure boy tu kumbe mgao ulikuwa mrefu hadi kwa refa.KAKATAA GOAL LA WAZI KABISA LA AZAM.
namna hii mpira wetu kamwe hautaeendelea, halafu wewe idd cheche ulikula sh ngapi na wewe kutoka michango ya makwasukwasu?ushaambiwa usimpange sure boy mechi ya yanga huyo ni kama ally ally tu hajitambui,ushaambiwa katumiwa milioni 3 bado ukamuweka,jinga kabisa.
Unajifanya fitina za kibongo unazijua kumbe walewale tu
 
Salum Abubakar kafanya kosa gani leo pale dimbani! Kwa Fei Toto hata huyo Chama wenu huwa anachemsha! Acheni kumzulia dogo wa watu!
 
kule kwenye back line kuna mtu kagawana naye ile milioni 3,hadi jina la wakala linajulikana
 
Kama uliangalia mpira sema ni kosa gani alilofanya Salum?
subiri akicheza na simba ndipo utaona tofauti,aseme ile milioni tatu kule safu ya ulinzi ya azam kagawana na nani.Refa kakataa goal halali kabisa la Azam,namna hii mpira wetu hautaenda popote.
 
Kwa nn unateseka mkuu,Yanga tupate pesa wapi ya kuhonga mkuu,jana ulisema Yanga wanapigwa 6-1,nipe matokeo ya leo,[emoji23][emoji23][emoji23]
kwani hela za ndege huwaga mnatoa wapi?hujawahi ona wabongo hawmsaidii mgonjwa ila msiba wanagharamia wa kifahari?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu naona unapambana,mie nmekuomba matokeo ya leo na ule uzi wako wa 6-1 ya jana ushaifuta?,Mikia nyie ndo wenye matrilioni sisi tupate pesa wap ya kuhonga?[emoji23]
 
Jibu swali kuhusu goal la azam lilokataliwa,nasikitikia sana mpira wetu
 
Yaani makwasukwasu hela nilidhani walimpa sure boy tu kumbe mgao ulikuwa mrefu hadi kwa refa.KAKATAA GOAL LA WAZI KABISA LA AZAM.
namna hii mpira wetu kamwe hautaeendelea, halafu wewe idd cheche ulikula sh ngapi na wewe kutoka michango ya makwasukwasu?ushaambiwa usimpange sure boy mechi ya yanga huyo ni kama ally ally tu hajitambui,ushaambiwa katumiwa milioni 3 bado ukamuweka,jinga kabisa.
Unajifanya fitina za kibongo unazijua kumbe walewale tu
Mpira umeangalia kibanda umiza?
 
TAKUKURU fatilieni yule wakala aliyetuma milioni 3 kuna UOZO mkubwa sana utajulikana hapo.
 
Yaani makwasukwasu hela nilidhani walimpa sure boy tu kumbe mgao ulikuwa mrefu hadi kwa refa.KAKATAA GOAL LA WAZI KABISA LA AZAM.
namna hii mpira wetu kamwe hautaeendelea, halafu wewe idd cheche ulikula sh ngapi na wewe kutoka michango ya makwasukwasu?ushaambiwa usimpange sure boy mechi ya yanga huyo ni kama ally ally tu hajitambui,ushaambiwa katumiwa milioni 3 bado ukamuweka,jinga kabisa.
Unajifanya fitina za kibongo unazijua kumbe walewale tu
Wenye timu yao azam wapo kimya wewe simba yanakuhusu nini
 
Azam wamejifungisha haiwezekani wakafungwa na omba omba waliotoka kugoma just tu hapa

Mzee Bakhresa punguza mamluki kwenye timu yako wanakula pension tu wakina Ngoma na Chirwa
 
lile goal lile refa kakataaa goal la wazi kabisa .,dah
 
Back
Top Bottom