Iddi Amin Alikuwa Burudani Tazama Dakika ya 2:40

Iddi Amin Alikuwa Burudani Tazama Dakika ya 2:40

Mleta mada hukusoma?? alichokufurahisha hapo nini?? kiingereza chake safi! kinaeleweka ! kwa kuwa yeye si Muingereza! inatosha! amejitahidi sana!! mbona wazungu hawajui kiswahili?... Unacheka kiingereza cha Idd Amin?? wakati weye hujui kaongea nini?

kama mie muongo badili hilo bandiko lako kwa kiingereza!! hata kilichokufurahisha hapo hukijui! unaiga hovyo tabia za kiyahudi wa leo! kama mjinga...yaani kitu kidogooo unashindwa jua??

Wayahudi walimchukia kwa kuwa aliwapinga waziwazi! wao wakamtangaza vibaya....weye jitu jeusi unampinga ajili ya nini??....... ujinga tu na kufuata mkumbo baasi! huna akili au......km alikuwa mjingambona alimpindua mwerevu obote??

Wahindi wako kariakoo hapo miaka nenda rudi wanzaliana tuuu!! ktkti ya wazarampo!! lkn hawajui kiswahili mbona hucheki ivo!....km ni deal kwako nenda kariakoo uchekeeeeeeee!! ndo uje hapa utwambie habari za idd amin
 
Huku ulikofika siko nilikolenga usinihukumu kwa ambayo sikulenga kuyasema
nimekuelimisha! au hata una fanya jambo unasahau?? ''alikuwa burudani manake nini??
 
Mambo yake yalikua yanafurahisha na kuhuzunisha sana...
 
Anatajwa kama al hajj inamaana aliwahi kwenda kuhij makka?
President😄
Alhaj😇
Dr.😆
Field Marshal🤣
Ole wako usahau kutaja kimojawapo
 
Ilitakiwa Nyerere aikalie Uganda kufidia gharama za vita... labda vyuma now vingekua vimelegea....
 
Back
Top Bottom