Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Kuna viumbe bado wanaamini huyu mwamba alikua anakula nyama ya binadamu,,haya mauzushi mmeyapata kwa nani?? Ni nani aliwaaminisha huu upumbafu!!!
Huyu mwamba nilikua namkubali sana,,
Huyu mwamba nilikua namkubali sana,,