IDDI Amin Dada Oumee, alikua raisi wa tatu wa Uganda, alitawala 1971 mpaka 1979, hakuwahi kuandika kitabu cha historia yake wala hakuwahi kumruhusu mwandishi yeyote kuandika habari ya maisha yake. Hii inamaanisha hakuna uhakika ni lini na ni wapi alizaliwa. Alikotoka Hakuna uhakika juu ya mwaka...