Idd Amin alikwa so smart msimponde tu kwa sababu ya shinikizo la chuki! km mtu Drs ''0'' hana hata Elimu ya Chekechea, aliwatetemesha Wasomi na matajiri wenye influence kubwa Duniani kina Obote, Nyerere, kichwa ngumu Beberu wa kale Israel, Angesoma je?
Hakuna kiongozi yeyote wa kiafrica na Dunia aliye wahi thubutu, kumfokea, kumzodoa hadharani hata kufikia kumfukuza kama mbwa, na kumuua Beberu mu- Israel huru Duniani, hata USA na ujeuri wake wote haiwezi, lkn dogo mweusi Idd Amin dada alifanya hayo kwa faida na heshima ya wana wa Africa!
Mu-israel Dorah Bloch, Idd Amini alimuua kwa jeuri tu ili kulipiza kisasi kwa Mabeberu. akafanya sawa sawa na Mmarekani George spyn alivouawa kwa jeuri tu ya Wazungu tena wauaji wanaangalia kwa dharau sana.
Kwa kitendo hiki dhalili dhidi ya mweusi hakuna kiongozi hata mmoja wa Africa, AU, japo aliye nyanyua mdomo tu, kulaani kitendo hiki. wamewaachia Wamarekani weusi wapambane na hali yao! na nyie mtafuatia wanawaona mabwege tu.
Aliongoza Uganda miaka 7 bila kutikisika nakuponea chupuchupu kuuawa mara 30, Lakini Obote alivokuwa Rais goigoi alikoswa koswa kufa mara moja tu kwenye uwanja wa mpira Risasi ikala kidevu kizembe sana, alipinduliwa kirahisi sana km mwanamke. akabaki kuwa ombaomba mtaani kwa Mzanaki. akapewa nchi tena akashindwa kizembe, sasa huyu!!!! leo hii angekuwa Baba wa Taifa Uganda.
Idd Amin Hakusoma kabisa lkn ameisotesha Tanzania kiuchumi, miaka 30 msoto bila hela! chini ya falsafa ya kufunga mkanda, uchumi mbovu! na kuifanya Tanzania kuwa ombaomba Ulaya, TZ haikuwahi kusimama tena kiuchumi km mwanzo, na kwa kichapo hiki cha uchumi hamtamsahau.
Kama ni kuua waganda, ni sawa walimsaliti, km vile hapa kwenu mnaua, Anzoli gwanda, Ben Saanane, Tundu LIssu mnasema eti msaliti hawezi ku-survive hivihivi tu, Hao mabeberu, wakoloni, Israel ya leo wanaua wangapi mpaka leo hii? au kwa vile wana hela? mnawatetea?
Idd Amin alichukiwa na anachukiwa kwa sababu ni Mwafrica Mweusi, angekuwa Mzungu ndiyo ameua waafrica wenzenu kwenye ardhi ya Africa mngenyamaza kimya! km matahaira. ninge waona wa maana km mngewasema wauaji km Pik Botha, Cecil Rhodes. nk, Soweto Masscre tena sasa watoto, Sharpville massacre ni mauaji ya kidhalilishaji sana, mbona hamlaani na yalitokea hadaharani, miaka hiyohiyo ya utawala wa Idd Amin.
Yes! hakusoma lkn alikuwa na uthubutu wa kujieleza kisomi kwa kiingereza hata kulaani kweupee utawala wa makaburu Rhodesia, tena akiwa sehemu nyeti km UNO,OAU nk kuliko msomi uchwara Jiwe wenu huyoo anaogopa kwenda UNGA kujitambulisha.
Ni kujidanganya kusema eti mlishinda Vita, vya kumng'oa, lkn yeye aliwachapa kisaikolojia na kuwadhalilisha kiuchumi. Mkala chakula cha nguruwe km Yanga ajili ya shida, hata waislamu walikula hiki chakula. mkafulia nguo Magwanji ya Mwanza, funga mikanda, jamaa kapaa zake salama usalimini Saudiaaaaaa! kula bata! Amua hapo nani mjanja!
Tatizo lenu mmelishwa maneno ya kishamba bila kuchanganya na zenu hadi leo! hamta heshimika! hata anaewalisha anawaona mabwege tu. na anajua mnajua kuwa anawadanganya lakini mnakubali ujinga ni sawa lazima awadharau!1!!!! mleta mada Big up!