Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 20,654
- 35,887
Eid Amini na Gaddafi wangekua kwenye power mpaka leo Africa nzima ingejaa misikiti bila huduma zozote za msingi
Kabisa hawakuwa na akili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eid Amini na Gaddafi wangekua kwenye power mpaka leo Africa nzima ingejaa misikiti bila huduma zozote za msingi
Lile kaburi lipo Jedah mkuu! mpaka leo, M baya wake akifa tu, au akistaafu mbona atashuhudia kwa macho yake mwili wake ukiletwa Uganda kirahisi tuu! tena mchana kweupeee! na atatoa heshima zake za mwisho atake asitake wewe subiri tu. kwa sasa kukaa kwao kimya wana mjengea umaarufu marehemu.Idd Amin aliwatesa sana wazungu na wahindi. Hawatakaa wamsahau. Pia wabaya wake waafrika wenzake walikiona cha mtemakuni. Huyu jamaa waganda wamemsahau kabisa.
Alifia uhamishoni kama raia wengine. Hakuna siku ya kumuenzi wala kumbukumbu zake kitaifa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe nawe hujielewi, sasa km alitubu,akasamehewa wewe unakumbusha makosa yake km nani? wakati mkubwa alisha msamehe bado wewe una mhukumuMabaya ya nyerere hayamfanyi IDD awe mwema IDD alivuruga Nchi na yeye mwenyewe alitubu na alienda kuhijji maka x50 ili awe guru
Sasa wewe unachokitetea kipi?
Alikuwa ni kiongozi bogus na mjinga Kama bokassa.Binadamu ukumbukwa kwa mabaya yakeKuna muda huwa nawaza kuhusu Iddi Amin nikagundua alikuwa kiongozi mzuri aliyeandikwa vibaya
Iddi Amini angekuwa hai pengine Uganda ingekuwa na maendeleo kupita hata Marekani. Iddi Amini hakupenda kutawaliwa kipuuzi kama wanavyokubali viongozi wa sasa wa kiafrika huwa nawaza mfano Ghadaf na amini wangekuwa bado viongozi kuna upuuzi tusingeuona.
Baadhi ya kauli za iddi amini "Africa inaweza kuwatawala wazungu" na imejidhihirisha pichani. Nimemsoma nimegundua alifanya mazuri mengi hayajaandikwa
Ushauri wangu kamsome Iddi Amin vizuri utagundua jambo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukimuona dikteta nyumba za ibada ni sawa na kumuona shetani kanisani au msikitiniMabaya ya nyerere hayamfanyi IDD awe mwema IDD alivuruga Nchi na yeye mwenyewe alitubu na alienda kuhijji maka x50 ili awe guru
Sasa wewe unachokitetea kipi?
Acha ujinga kwani Libya imejaa misikiti mpaka sasa?Eid Amini na Gaddafi wangekua kwenye power mpaka leo Africa nzima ingejaa misikiti bila huduma zozote za msingi
Idd amini ndo kafa kitambo sana.Eid Amini na Gaddafi wangekua kwenye power mpaka leo Africa nzima ingejaa misikiti bila huduma zozote za msingi
Umewasoma vizuri au ndio umefuata mkumbo wa hisia za watu tu? Kaka chini SOMA ujue yaliyojifichaIddi amin Dadah + Muamar Gadafii = Mashetani waafrica
Hamna kiongozi mzuri anaua hadi member wa familia yake
Mtu anaua rai laki 5 mpuuzi moja ana msifu?
Ndio maana Mimi na kubali watu type ya JK, Mohammad Jibril,Kenyata
Zuma
Siasa ni ustarabuuu