Iddi Amin kiongozi bora kuwahi kutokea Afrika

Iddi Amin kiongozi bora kuwahi kutokea Afrika

Idd Amin alikwa so smart msimponde tu kwa sababu ya shinikizo la chuki! km mtu Drs ''0'' hana hata Elimu ya Chekechea, aliwatetemesha Wasomi na matajiri wenye influence kubwa Duniani kina Obote, Nyerere, kichwa ngumu Beberu wa kale Israel, Angesoma je?

Hakuna kiongozi yeyote wa kiafrica na Dunia aliye wahi thubutu, kumfokea, kumzodoa hadharani hata kufikia kumfukuza kama mbwa, na kumuua Beberu mu- Israel huru Duniani, hata USA na ujeuri wake wote haiwezi, lkn dogo mweusi Idd Amin dada alifanya hayo kwa faida na heshima ya wana wa Africa!

Mu-israel Dorah Bloch, Idd Amini alimuua kwa jeuri tu ili kulipiza kisasi kwa Mabeberu. akafanya sawa sawa na Mmarekani George spyn alivouawa kwa jeuri tu ya Wazungu tena wauaji wanaangalia kwa dharau sana.

Kwa kitendo hiki dhalili dhidi ya mweusi hakuna kiongozi hata mmoja wa Africa, AU, japo aliye nyanyua mdomo tu, kulaani kitendo hiki. wamewaachia Wamarekani weusi wapambane na hali yao! na nyie mtafuatia wanawaona mabwege tu.

Aliongoza Uganda miaka 7 bila kutikisika nakuponea chupuchupu kuuawa mara 30, Lakini Obote alivokuwa Rais goigoi alikoswa koswa kufa mara moja tu kwenye uwanja wa mpira Risasi ikala kidevu kizembe sana, alipinduliwa kirahisi sana km mwanamke. akabaki kuwa ombaomba mtaani kwa Mzanaki. akapewa nchi tena akashindwa kizembe, sasa huyu!!!! leo hii angekuwa Baba wa Taifa Uganda.

Idd Amin Hakusoma kabisa lkn ameisotesha Tanzania kiuchumi, miaka 30 msoto bila hela! chini ya falsafa ya kufunga mkanda, uchumi mbovu! na kuifanya Tanzania kuwa ombaomba Ulaya, TZ haikuwahi kusimama tena kiuchumi km mwanzo, na kwa kichapo hiki cha uchumi hamtamsahau.

Kama ni kuua waganda, ni sawa walimsaliti, km vile hapa kwenu mnaua, Anzoli gwanda, Ben Saanane, Tundu LIssu mnasema eti msaliti hawezi ku-survive hivihivi tu, Hao mabeberu, wakoloni, Israel ya leo wanaua wangapi mpaka leo hii? au kwa vile wana hela? mnawatetea?

Idd Amin alichukiwa na anachukiwa kwa sababu ni Mwafrica Mweusi, angekuwa Mzungu ndiyo ameua waafrica wenzenu kwenye ardhi ya Africa mngenyamaza kimya! km matahaira. ninge waona wa maana km mngewasema wauaji km Pik Botha, Cecil Rhodes. nk, Soweto Masscre tena sasa watoto, Sharpville massacre ni mauaji ya kidhalilishaji sana, mbona hamlaani na yalitokea hadaharani, miaka hiyohiyo ya utawala wa Idd Amin.

Yes! hakusoma lkn alikuwa na uthubutu wa kujieleza kisomi kwa kiingereza hata kulaani kweupee utawala wa makaburu Rhodesia, tena akiwa sehemu nyeti km UNO,OAU nk kuliko msomi uchwara Jiwe wenu huyoo anaogopa kwenda UNGA kujitambulisha.

Ni kujidanganya kusema eti mlishinda Vita, vya kumng'oa, lkn yeye aliwachapa kisaikolojia na kuwadhalilisha kiuchumi. Mkala chakula cha nguruwe km Yanga ajili ya shida, hata waislamu walikula hiki chakula. mkafulia nguo Magwanji ya Mwanza, funga mikanda, jamaa kapaa zake salama usalimini Saudiaaaaaa! kula bata! Amua hapo nani mjanja!

Tatizo lenu mmelishwa maneno ya kishamba bila kuchanganya na zenu hadi leo! hamta heshimika! hata anaewalisha anawaona mabwege tu. na anajua mnajua kuwa anawadanganya lakini mnakubali ujinga ni sawa lazima awadharau!1!!!! mleta mada Big up!
 
Idd Amin aliwatesa sana wazungu na wahindi. Hawatakaa wamsahau. Pia wabaya wake waafrika wenzake walikiona cha mtemakuni. Huyu jamaa waganda wamemsahau kabisa.

Alifia uhamishoni kama raia wengine. Hakuna siku ya kumuenzi wala kumbukumbu zake kitaifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lile kaburi lipo Jedah mkuu! mpaka leo, M baya wake akifa tu, au akistaafu mbona atashuhudia kwa macho yake mwili wake ukiletwa Uganda kirahisi tuu! tena mchana kweupeee! na atatoa heshima zake za mwisho atake asitake wewe subiri tu. kwa sasa kukaa kwao kimya wana mjengea umaarufu marehemu.
 
Mabaya ya nyerere hayamfanyi IDD awe mwema IDD alivuruga Nchi na yeye mwenyewe alitubu na alienda kuhijji maka x50 ili awe guru

Sasa wewe unachokitetea kipi?
Wewe nawe hujielewi, sasa km alitubu,akasamehewa wewe unakumbusha makosa yake km nani? wakati mkubwa alisha msamehe bado wewe una mhukumu
 
Na ujanja wenu wote wa kuwa mstari wa mbele ktk ukombozi wa Bara la Africa aliwafungisha mikanda ya njaa nchi nzima miaka mingi!
 
Kuna muda huwa nawaza kuhusu Iddi Amin nikagundua alikuwa kiongozi mzuri aliyeandikwa vibaya

Iddi Amini angekuwa hai pengine Uganda ingekuwa na maendeleo kupita hata Marekani. Iddi Amini hakupenda kutawaliwa kipuuzi kama wanavyokubali viongozi wa sasa wa kiafrika huwa nawaza mfano Ghadaf na amini wangekuwa bado viongozi kuna upuuzi tusingeuona.

Baadhi ya kauli za iddi amini "Africa inaweza kuwatawala wazungu" na imejidhihirisha pichani. Nimemsoma nimegundua alifanya mazuri mengi hayajaandikwa

Ushauri wangu kamsome Iddi Amin vizuri utagundua jambo.


Sent using Jamii Forums mobile app
Alikuwa ni kiongozi bogus na mjinga Kama bokassa.Binadamu ukumbukwa kwa mabaya yake
 
Mabaya ya nyerere hayamfanyi IDD awe mwema IDD alivuruga Nchi na yeye mwenyewe alitubu na alienda kuhijji maka x50 ili awe guru

Sasa wewe unachokitetea kipi?
Ukimuona dikteta nyumba za ibada ni sawa na kumuona shetani kanisani au msikitini
 
Eid Amini na Gaddafi wangekua kwenye power mpaka leo Africa nzima ingejaa misikiti bila huduma zozote za msingi
Idd amini ndo kafa kitambo sana.

Sasa ukimtizama Gaddafi tunaona kuwa hakujaza misikiti, ila nchi yake ilikuwa na huduma zote za msingi kuliko unapotokea wewe.
 
Iddi amin Dadah + Muamar Gadafii = Mashetani waafrica
Hamna kiongozi mzuri anaua hadi member wa familia yake
Mtu anaua rai laki 5 mpuuzi moja ana msifu?


Ndio maana Mimi na kubali watu type ya JK, Mohammad Jibril,Kenyata
Zuma
Siasa ni ustarabuuu
Umewasoma vizuri au ndio umefuata mkumbo wa hisia za watu tu? Kaka chini SOMA ujue yaliyojificha
 
Hawa wanafunzi wa kata ni shida tupu hivi anajua idd amini aliua watu wake wangapi tena wasomi, mtu aliyeamini kwenye ukabila na udini ambaye aliwapa wanajeshi kipaumbele halafu unakuja kutusimulia utopolo wako
 
Huyu mwamba aliwapelekesha wazungu na wahindi hawana hamu nae
 
Uzuri au ubaya wa mtu unapimwa kimizania, mabaya yakizidi mazuri unaitwa mbaya, mazuri yakizidi mabaya unaitwa mzuri, Afande Idd Amin Dada angekuwa mwema asingelitolewa kwa fedheha na jeshi la Tanzania wakisaidiana na raia wa Uganda waliochoshwa na maonevu yake
 
Back
Top Bottom