Pulchra Animo
Platinum Member
- Jun 16, 2016
- 8,620
- 15,134
Iddi Amin Mama, inawezekana you’re in deep denial, lakini ukweli ni kwamba hakuna tena uwezekano wa wewe kuendelea kuongoza hii nchi bila kuzidi kuharibu umoja wake wa kitaifa!
Ukubali au usikubali, huna washauri wazuri. Washauri ulionao ni wale wanaokuambia kile wanachodhani unataka kusikia. Ni wachumia tumbo. Wamekuongoza kwenda kwenye cliff!
Now it’s time to heed the call of a common man like me. Kubali yaishe. Ukizidi kushupaza shingo utakuja kujuta kuliko unavyojutia sasa uamuzi wako wa kutokuwasikiliza wazee wenye busara wa taifa hili. Kikwete na wanamtandao wenzake wamekupoteza mazima!