Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂Unawaza kula kula tu![emoji276]
Mkuu wangu mpaka unahodha na uvuvi..?? Nini sasa hujafanya..?🙌🤭Issue sio kupata nahodha muzuri, kwenye huo msafara wa kwenda kuvua basi hakikisha anakuwapo mtu wako mmoja mwenye akili na mwaminifu, kuibiwa itakuwa ngumu sana. Mimi nimeifanya hiyo business pale Mwanza miaka fulani.
Unahodha niujulie wapi? Nilikuwa msimamizi wa mitumbwi ya uvuvi miaka fulani.Mkuu wangu mpaka unahodha na uvuvi..?? Nini sasa hujafanya..?🙌🤭
Biashara inayolipa kwa kasi ukiwa na wateja ni ya chakula tu.Location ni katikati ya mji, around car wash na pubs za vinywaji.. hizo ndo location nzuri za barbershop
Kaka; kwani pesa ndefu ni sh ngapi? Hiyo figure ulionayo kichwani mwako, wengine wataiona kama pesa ya kawaida sana. Ndio maana hata definition ya utajiri nayo inategemea na location uliopo. Kwa muktadha wa mjadara hu, tufanye hiyo 30M ni pesa ndefuNiwe nimewahi kushika ama la!,haiondoi maana halisi kuwa sio pesa ndefu
Hongera mkuu kwa mafanikio ila umetoa code sana!Good idea.
Mimi umilionea niliuotea hivi.
Nilifungua DUKA LA UWAKALA WA LINE ZOTE KATIKA ENEO LA MPAKA WA KENYA NA TZ.
THEN NIKAWEKA MTAJI WA MILLION 15.
NIKATAFUTA LINE ZA KENYA ZA SAFARICOM MPESA.
KISHA NIKATAFUTA KUWA WAKALA WA BENKI.. CRDB WAKALA NA NMB NA NBC KWA TANZANIA.
THEN KWA KENYA NKAPATA UWAKALA WA BENKI YA EQUITY BANK NA KCB BANK.
Hapa nikawa nimepata access ya kuwa foreign exchange agency kwa sababu wateja wangu wengi walikuwa ni wasafiri na wafanyabishara wanaoutumia bandari ya Mombasa na kuchukua mzigo Nairobi. Mara zote wanapokuja kwangu huitaji kutoa voda mpesa then niwapatie ya kenya kuepuka usumbufu.
Kupitia tu hapa kwa siku nikawa nalaza hadi laki 6 faida.
Baada ya wateja kuniamini wakawa wananitumia fedha zao wakiwa mikoani (arusha, Dodoma, iringa) then mimi ninawatumia wauazaji wa mizigo yao.
Ukiwa mpakani utakuwa na wateja tofauti tofauti ni wewe tu kuwa muaminifu.
1. Wauzaji wa mirungi (kumbuka mrungi kenya huwà ni legal so wewe kama wakala mwenye access na uwakala wa nchi mbili unachokifanya ni kutakatisha fedha zao coz haziwezi kuwafikia directly so muuza mrungi wa TZ atakutumia wewe wakala kupitia line ya wakala mwingine kama float then wewe utamtumia muuzaji wa kenya wa mrungi kupitia mpesa safaricom).
2. Ukiwa mpakani pia unakuwa na access ya kuwa wakala wa CLEARING AGENCY, INSURANCE ETC.
tosti ni kweli haina mpizan.lazima nipite hapo dukan kwa asas nnichkue naingia M.R uji wa wapemba narudi mageton frelimo tis nalalaUganda mbona mbali sana, Zamani Arusha walikua vizuri sana lakini IRINGA kwa mikate Tanzania nzima hawana mpinzani wana kitu cha Tosti hatari tupu, Dar hakuna mkate mzuri tunateseka tu