Cantona fundi mkuu
JF-Expert Member
- May 21, 2023
- 295
- 313
- Thread starter
- #21
Pinga hoja kwa pointsHaya ndio mawazo na vipaumbele vya mtu mweusi 😏
Pinga hoja kwa pointsHaya ndio mawazo na vipaumbele vya mtu mweusi 😏
Nini ni nini?Ndo Nini ni Nini?
Kumpangia mtu ni km kutoa amri.. kwa ajili zako timamu kutoa wazo na kumpangia mtu vinaendana.?Mawazo mfu
Kufuturisha ni ibada ya mtu kutokana na feeling yake juu ya jambo fulani moyoni mwake, huwezi kumpangia mtu sehemu ya kutoa sadaka yake, tofautisha hamasa na ibada
Kumpangia mtu ni km kutoa amri.. kwa ajili zako timamu kutoa wazo na kumpangia mtu vinaendana.?
Hiyo sio hoja mkuu ni njaa 😹😹Pinga hoja kwa points
Una IQ ndogo sana.Hiyo sio hoja mkuu ni njaa 😹😹
Una IQ ndogo sanaUnadungwa 🖕
Punguza njaa, km iftari alishaandaa ikulu na wahitaji..!! Hizo za huko mtaani andaa wewe.!!Una IQ ndogo sana.
Alishaifanya wapi??Punguza njaa, km iftari alishaandaa ikulu na wahitaji..!! Hizo za huko mtaani andaa wewe.!!
Mnataka kumfanya rais shishi food mponyeshe njaa zenu.
Big dady 11 umeona mama mwenyewe kagoma kuwafuturisha huku 😹😹😹Hizi futari hazina utukufu wa Mungu ndani yake. Ni sawa na tu na harusi au shughuli zingine za kifahari. Kuna haja gani ya kutangaza futari kwenye vyombo vya habari wakati inajulikana futari ni mlo baada ya kufunga siku nzima? Kwa muda mrefu sana SHETANI kahangaika kupenya kwa waislamu ila safari hii kapatia mno kupitia futari. Shetani kaja kitofauti mno.
Idea ishachukuliwa na kufanyiwa kaZBig dady 11 umeona mama mwenyewe kagoma kuwafuturisha huku 😹😹😹
Idea imefanyika.. JF ni kubwa sana imeeafikiaHizi futari hazina utukufu wa Mungu ndani yake. Ni sawa na tu na harusi au shughuli zingine za kifahari. Kuna haja gani ya kutangaza futari kwenye vyombo vya habari wakati inajulikana futari ni mlo baada ya kufunga siku nzima? Kwa muda mrefu sana SHETANI kahangaika kupenya kwa waislamu ila safari hii kapatia mno kupitia futari. Shetani kaja kitofauti mno.
Hii haijaandaliwa na mama ila imeandaliwa na AY,Madee na CheggeMlio puuzia idea yangu Leo Kuna walikuchukua na kukifanya👇👇View attachment 3279871
Kwan unavyojua ww kuna Jambo anbalo Rais huandaa yeye km yeye?? Watu huandaa Kisha yy hupewa taarifa tu Kisha husaini kutoa mpungaHii haijaandaliwa na mama ila imeandaliwa na AY,Madee na Chegge
Labda goal la mamaMko poa wakuu
Nmepata wazo nimeona niwape mumpelekee mama au watu wake wa karibu..
Njooni na iftari ya FTURU NA MAMA..
Hii iwe km give back tu commonly..
Ifanyike kwny chungu cha 28 au 29.
Wahusika wa iftari hii wawe watu wenye uhitaji maalumu km yatima, walemavu wasiojiweza kiuchumi, na maskini..
Kuna makundi na mashirika mbali mbali wanaowajua hao watu hivyo wapewe mualiko wa kula ftari na raisi..
Hii kwanza kiimani ni atapata swawabu pia kisiasa jamii italipokea vzur sana hili na kuona ni raisi anaejali watu wote.
Pia baada ya ftari kuwe na give back tu commonly. Wahitaji hao wapewe Mchele,nyama na vitu mbali mbali kwa ajili ya skukuu hata zile gesi wapewe hao ndo wanauhitaji sana kuliko wale mnaowapa..
Onyo msije mkaalika watu maarufu na matajiri kama wengi wanavyo fanya.
Pia kusiwe na mashati ya kijani..
Kusema ukwel mama mtaani akubariki ki ivyoooo.. ila akija na hii FTURU NA MAMA wale wote waliokuwa wanampinga lazma watamsifia kwa kuwafturisha watu wenye uhitaji.
Naomba kuwasilisha wazo langu mengne mtajazia wenyewe..
Pia hata makampuni mnaweza mkaandaa kitu km icho alafu mkamuita mama awe mgeni rasmi..
Ukisema huu Uzi kwa jicho la upinzani au uchadema chadema lazma povu likutoke bila sababu za msingi.
Ila kwa jicho la tatu hili jambo Lina utu ndani yake.
Kwa mahitaji ya;
content creator
Videographer
Photographer
Graphic designer
Digital marketer
0692477610 Whatsapp