Idea: Mama Samia njoo na ‘Fturu na Mama’ kwa watu wenye uhitaji

Mawazo mfu
Kufuturisha ni ibada ya mtu kutokana na feeling yake juu ya jambo fulani moyoni mwake, huwezi kumpangia mtu sehemu ya kutoa sadaka yake, tofautisha hamasa na ibada
Kumpangia mtu ni km kutoa amri.. kwa ajili zako timamu kutoa wazo na kumpangia mtu vinaendana.?
 
Punguza njaa, km iftari alishaandaa ikulu na wahitaji..!! Hizo za huko mtaani andaa wewe.!!

Mnataka kumfanya rais shishi food mponyeshe njaa zenu.
Alishaifanya wapi??
Vitoto vya lissu vimevurugwa🤣..
Basi mwambieni lissu afanye maana nkimtaja mama mnaweweseka sjui kwann
 
Hizi futari hazina utukufu wa Mungu ndani yake. Ni sawa na tu na harusi au shughuli zingine za kifahari. Kuna haja gani ya kutangaza futari kwenye vyombo vya habari wakati inajulikana futari ni mlo baada ya kufunga siku nzima? Kwa muda mrefu sana SHETANI kahangaika kupenya kwa waislamu ila safari hii kapatia mno kupitia futari. Shetani kaja kitofauti mno.
 
Big dady 11 umeona mama mwenyewe kagoma kuwafuturisha huku 😹😹😹
 
Idea imefanyika.. JF ni kubwa sana imeeafikia
 
Kodi zetu mnataka kuzichezea zaidi
 
Labda goal la mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…