Idea mbalimbali za biashara kwa wenye mitaji mikubwa kuanzia Milioni 100 hadi 500

felakuti

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2024
Posts
659
Reaction score
1,207
Katika pitapita zangu sijaona thread mahususi yenye idea mbalimbali za biashara ama uwekezaji itakayoweza kuwasaidia wenye mtaji mikubwa kuanzia Milioni 100 hadi 500 kuanzisha biashara zitakazowasaidia kupata faida.

Nakaribisha maoni na mawazo mbalimbali ya aina ya biashara za kufanya kwa wenye mitaji mikubwa kuanzia milioni 100 hadi 500.

Karibu.
 
Wenye mitaji hiyo hawapo jf
 
Yani mtu wa mtaji wa 100k amshauri mwenye mtaji wa 500mil kweli?
Kwa ulimwengu wa sasa, Wenye fedha zao hutafuta mawazo mapya, tena kwa gharama kubwa ili kukuza zaidi biashara zao. Huajiri watu wa kuwashauri na ku_plan mienendo ya biashara zao.

Kwa mataifa yaliyo endelea huanzishwa mashindano mbali mablia hasa katika vyuo vikuu ili kupata best brain na kuwekeza ili wawasaidie katika hizo biashara zao pindi wakkihitimu.

Hivyo hata mweznye ZERO amount ya fedha, anaweza kuwa na wazo bora zaidi la bashara la kumshawishi mwenye bilioni zake na akakubali kuwekeza kwake.
 
Sasa kumbe wanasoma kimya kimya utapataje mawazo yao

Yani mtu wa mtaji wa 100k amshauri mwenye mtaji wa 500mil kweli?
Nimejibu kulingana na ulichosema kua hawapo wwnye mitaji hio, nikakuambia pengine wapo na sio lazima uwajue na pengine hawapendi kujulikana wanapita kimya kimya na wao ni binadamu wanaitaji mawazo ya aina mbalimbali za biashara na uwekezaji wa kufanya kwa mitaji hio, mana nimeona wengi wanaotaka kufanya biashara na wanaokuja kuomba msaada ni mitaji kuanzia labda 20 kushuka chini...na pia sio wao tu, hata wengine wanaweza kufaidika na idea hizi za uwekezaji
 
Kwa ulimwengu wa sasa, Wenye fedha zao hutafuta mawazo mapya, tena kwa gharama kubwa ili kukuza zaidi biashara zao. Huajiri watu wa kuwashauri na ku_plan mienendo ya biashara zao.

Kwa mataifa yaliyo endelea huanzishwa mashindano mbali mablia hasa katika vyuo vikuu ili kupata best brain na kuwekeza ili wawasaidie katika hizo biashara zao pindi wakkihitimu.

Hivyo hata mweznye ZERO amount ya fedha, anaweza kuwa na wazo bora zaidi la bashara la kumshawishi mwenye bilioni zake na akakubali kuwekeza kwake.
Asante mkuu. Nafikir ndicho nilitaka kusema kua watu hudhani mwenye milion100 na kuendelea ndio mwenye mawazo na idea mbalimbali za biashara na uwekezaji, kumbe haipo hivyo, hata ambaye hana yawezekana ni mzuri sana kwenye kuchungulia fursa na kujua ipi na ipi ina faida mana hakuna anaetaka kuwekeza sehem ambayo haimpi faida yoyote..
 
Umejuaje mkuu...nimegundua pia kuna wadau hawataki maneno mengi na pengine hua wanaingia kama guests wansoma kimyakimya wangependa kufaidika na mawazo na idea mbalimbali
Hao watu humu jf hawapo kijana, jf hali zetu tunazijua wenyew. Hasahasa tuliowahi kuonana ndo kabisaaaaaaaaa.. siku nimejikoki kwenda kuonana na Evelyn Salt nilivaa kanzu nikajua nn, yeye mwenyew kavaa kijora cha elfu 6 mia 5. Tulivyoonana tu stendi kila mtu akakimbia

Mm tena kuonana na watu wanaotoka JamiiForums basi
 
Hao watu humu jf hawapo kijana, jf hali zetu tunazijua wenyew. Hasahasa tuliowahi kuonana ndo kabisaaaaaaaaa.. siku nimejikoki kwenda kuonana na Evelyn Salt nilivaa kanzu nikajua nn, yeye mwenyew kavaa kijora cha elfu 6 mia 5. Tulivyoonana tu stendi kila mtu akakimbia
Hii hoja bado haishawishi mkuu. Huyo ni mtu mmoja kati ya watu zaidi ya maelfu na malaki waliomo humu. Huwezi ku determine economic status ya kikundi cha watu malaki kwa economic status ya mtu mmoja.
 
Back
Top Bottom