Kwanza nikupongeze then Nasave hii for future use, ni vijana wachache sana wanaweza hata kufikiria tu acha kujiuliza kitu cha namna hii! Nimekuwa nikiwaza sana mradi wa mama Samia wa green energy ambao anapromote gas za kutoka Uarabuni na Ulaya, why not green energy kutoka kwenye mazao? Nafaka yoyote inaweza kuwa gas ya kutumia majumbani na ikawa liquified ikauzwa kwa nusu lita, lita moja au atakavyo mnunuzi na ikaenda hadi vijijini kabisa wakacha mkaa na kuni! Ambayo hata mtu maskini kabisa anaweza kununua kwa bei ya mkaa wanaotumia sasa hivi. Zipo nchi zilizofanikiwa sana lkn watanzania wakisikia green energy (hasa viongozi) wanajua ni gas tu ya petroleum hatuna kujiongeza kabisa kwa kuwa kule kuna possibility ya upigaji probably