Attachment 333
Senior Member
- Nov 4, 2024
- 103
- 53
Wekeza mkuu wawekezaji waliopo wana mizinguo sana - Hawatoshelezi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu mtag mmoja mwenye huo mtaji aje atupe mawazohuo mtaji $50,000 hadi $200,000? mbona wapo humu?mimi nawewe tunaweza ona labda $50,000 ni nyingi lakini ni mtaji wa kawaida sana.
Tena wengine wanasema wanamtaji wa mil 20 lakini nikutafuta mawazo tu
Utoe wazo utafaidikaje na hilo wazo?, mimi nikitoa wazo itabidi nitoe na maelekezo ikibidi hata mchanganua wa hilo wazo, (business plan)Umejuaje mkuu...nimegundua pia kuna wadau hawataki maneno mengi na pengine hua wanaingia kama guests wansoma kimyakimya wangependa kufaidika na mawazo na idea mbalimbali
Mzee wa chimbo elekeza watu watupie Hela ktk biashara ipi kariakooHakuna wawekezaji humu mze ndo mana nasema wenye hela hum wachache sana na may be hakuna kabisa. Mm namjua mmoja tu ambaye anaweza kuwa na mtaji wa milion 100
Naomba nichangie kidogo . kuweka hela kwenye bond sio uvivu wa kufikiri ,matajiri wote hao unaowajua asilimia kubwa wanaweka hela huko baada ya kukusanya kwenye biashara na vyanzo vingine ,
Huwezi weka hela zote kwenye biashara ,kuna kipindi umri ukifika huwezi kimbizana na biashara kwa kiwango kikubwa . lets say 50% kwenye biashara ,30% kwenye bond ,20% cash hio ndio mfano portfolio . na ni dunia nzima ipo hivyo.
Hahaha! Kariakoo mtaiweza wazee? Kariakoo habari ya mjini ni pochi. Ukitaka dukani kwako wasikauke watu weka pochi tuMzee wa chimbo elekeza watu watupie Hela ktk biashara ipi kariakoo
Ili ndilo ufanyika na kuweza kuwagroom wanafunzi wenye mawazo hayoKwa ulimwengu wa sasa, Wenye fedha zao hutafuta mawazo mapya, tena kwa gharama kubwa ili kukuza zaidi biashara zao. Huajiri watu wa kuwashauri na ku_plan mienendo ya biashara zao.
Kwa mataifa yaliyo endelea huanzishwa mashindano mbali mablia hasa katika vyuo vikuu ili kupata best brain na kuwekeza ili wawasaidie katika hizo biashara zao pindi wakkihitimu.
Hivyo hata mweznye ZERO amount ya fedha, anaweza kuwa na wazo bora zaidi la bashara la kumshawishi mwenye bilioni zake na akakubali kuwekeza kwake.
Bahresa ndo mambo yake sana hay. Hata ile Sarafu, azam pesa ni vijana wadogo tu wamepeleka mawazo yao yakatikiKwa ulimwengu wa sasa, Wenye fedha zao hutafuta mawazo mapya, tena kwa gharama kubwa ili kukuza zaidi biashara zao. Huajiri watu wa kuwashauri na ku_plan mienendo ya biashara zao.
Kwa mataifa yaliyo endelea huanzishwa mashindano mbali mablia hasa katika vyuo vikuu ili kupata best brain na kuwekeza ili wawasaidie katika hizo biashara zao pindi wakkihitimu.
Hivyo hata mweznye ZERO amount ya fedha, anaweza kuwa na wazo bora zaidi la bashara la kumshawishi mwenye bilioni zake na akakubali kuwekeza kwake.
Kuna wakati nilisikia MO alikuwa na hii program ya kutoa ufadhiri (Ila sina hakika - Ibakie kama tetesi)Ili ndilo ufanyika na kuweza kuwagroom wanafunzi wenye mawazo hayo
Hii imekaa vyema sana, Mifano ha kuwepo hapa nchini.Bahresa ndo mambo yake sana hay. Hata ile Sarafu, azam pesa ni vijana wadogo tu wamepeleka mawazo yao yakatiki
😅😅😅😅Hao watu humu jf hawapo kijana, jf hali zetu tunazijua wenyew. Hasahasa tuliowahi kuonana ndo kabisaaaaaaaaa.. siku nimejikoki kwenda kuonana na Evelyn Salt nilivaa kanzu nikajua nn, yeye mwenyew kavaa kijora cha elfu 6 mia 5. Tulivyoonana tu stendi kila mtu akakimbia
Mm tena kuonana na watu wanaotoka JamiiForums basi
Ukiwa na funds ni rahisi sana kufanya hio njia..matajir wananufaika na hionjia.Kuna wakati nilisikia MO alikuwa na hii program ya kutoa ufadhiri (Ila sina hakika - Ibakie kama tetesi)
Hii imekaa vyema sana, Mifano ha kuwepo hapa nchini.
Wakati mama anahangaika kuwatafutia mjomba zake soko la gesi na umeme wa kulipia wengine tupambane kuja na hii kuanzia ngaz ya kaya. Sijui vyuo vyetu vya tech huwa wanasomea nini hasa.Kwanza nikupongeze then Nasave hii for future use, ni vijana wachache sana wanaweza hata kufikiria tu acha kujiuliza kitu cha namna hii! Nimekuwa nikiwaza sana mradi wa mama Samia wa green energy ambao anapromote gas za kutoka Uarabuni na Ulaya, why not green energy kutoka kwenye mazao? Nafaka yoyote inaweza kuwa gas ya kutumia majumbani na ikawa liquified ikauzwa kwa nusu lita, lita moja au atakavyo mnunuzi na ikaenda hadi vijijini kabisa wakaachana na mkaa na kuni! Ambayo hata mtu maskini kabisa anaweza kununua kwa bei ya mkaa wanaotumia sasa hivi. Zipo nchi zilizofanikiwa sana lkn watanzania wakisikia green energy (hasa viongozi) wanajua ni gas tu ya petroleum hatuna kujiongeza kabisa kwa kuwa kule kuna possibility ya upigaji probably
😅😅😅😅Hao watu humu jf hawapo kijana, jf hali zetu tunazijua wenyew. Hasahasa tuliowahi kuonana ndo kabisaaaaaaaaa.. siku nimejikoki kwenda kuonana na Evelyn Salt nilivaa kanzu nikajua nn, yeye mwenyew kavaa kijora cha elfu 6 mia 5. Tulivyoonana tu stendi kila mtu akakimbia
Mm tena kuonana na watu wanaotoka JamiiForums basi
Ikiwa na 1b aisee mbona dunia yote yakoKwa kweli wenye mitaji hiyo waje tu watoe elimu. 100m-1b kibongobongo unaishi poa ukituliza akili na kuweka nidhamu.