Idea mbalimbali za biashara kwa wenye mitaji mikubwa kuanzia Milioni 100 hadi 500

Idea mbalimbali za biashara kwa wenye mitaji mikubwa kuanzia Milioni 100 hadi 500

Jamii forum wengi wao ni masikini na WA daraja la kati wenye uwezo wa kumiliki vi ist na wachache sana prado landcruser.Maana wengi Huwa wanalalamika usafiri dar Kwa maana wanapanda daladala,Hivyo,mtu anayepanda daladala ni ngumu sana kuwa na pesa milioni Miatano never
 
Inategemea na asilimia ya faida siku anayonunua, say kama ni 13% kwa mwaka maana yake aliweka 100m maana yake anakunja 1.3m kila mwezi chukulia ana mshahara au ana biashara zingine! Ni ndogo kwa mfanyabishara (assuming that %ge) ila kwa mtu muoga na anayetunza pesa zake inamtosha sana anaona!
Ok mkuu ..na mfano umeshanunua bonds za serikali kwa miaka kadhaa, unaruhusiwa katikati ya mkataba ukaongezea mtaji labda kama.ulianza na 100, huko.katikati ukapata ka 50, ukawekamo inaruhusiwa..na kama.inafaa it means haitakua tena tuseme 1.3m kwa mwezi itaongezeka
 
Unanunua mpya tu kwa sababu unaweza kukuta faida imepanda kwa nini utumie mkataba wa zamani? Unafungua account mpya tu kwa rate mpya iliyopo, kumbuka serikali inatangaza kutokana na uhaba wa pesa iliyonayo, so wakiwa na ukata sana wanapandisha riba na unapotaka zaidi unanunua tu zingine! Kupanda lazima itapanda na hata ile ya awali ukiacha kuchukua inakuwa compounded so riba uliyopata inazaa riba pia
 
Wekeza baharini, nunua meli ndogo ya uvuvi au mizigo. Kwa zilizotumika nchini Ugiriki na Cyprus unapata kuanzia 250million.

Meli ya mizigo route ya Dar kwenda Comoro mizigo ni mingi sana.Pia unaweza ukaleta meli ya kubeba mifugo (Livestock Carrier) kutoka Tanzania kwenda Comoro.
Ok mkuu kwa ambaye ana hio 250m akawekeza huko, atarudisha mtaj wake ndani ya muda gani na ka ruti.kusafirisha mizigo, wanachaji kiasi gani kwa trip..je hakuna ada za serikali hapo
 
Mkuu njooo tuwekeze kwenye biashara ya majeneza inalipa sana hautojuta!
Mkuu mim sina huo mtaji tajwa hapo juu ila.naamin kupitia michango mbalimbali hapa namin itamnufaisha mwingine, pia ni wazo ambalo nimekua nalo ..hio tunaita funeral services na sio majeneza tu, nimewaza pia unawwza kuweka na magari maalum ya kubeba/kusafirisha maiti kwenda kuzika,
 
Jamii forum wengi wao ni masikini na WA daraja la kati wenye uwezo wa kumiliki vi ist na wachache sana prado landcruser.Maana wengi Huwa wanalalamika usafiri dar Kwa maana wanapanda daladala,Hivyo,mtu anayepanda daladala ni ngumu sana kuwa na pesa milioni Miatano never

Kwahio mkuu unahitimisha kua mtu mwenye uwezo wa chini kifedha hawez kua na business.idea au michongo ya kutengeneza pesa sabbabu ni masikini?
 
Mwenye interest na hii kitu anicheki pm tuchore ramani tutafute serious investors tuwe mabilionea
 
Unanunua mpya tu kwa sababu unaweza kukuta faida imepanda kwa nini utumie mkataba wa zamani? Unafungua account mpya tu kwa rate mpya iliyopo, kumbuka serikali inatangaza kutokana na uhaba wa pesa iliyonayo, so wakiwa na ukata sana wanapandisha riba na unapotaka zaidi unanunua tu zingine! Kupata lazima itapanda na hata ile ya awali ukiacha kuchukua inakuwa compounded so riba uliyopata inazaa riba pia
Sasa si utakua na account nyingi , zinaweza kua manageable kweli uweze kuzimonita sehem moja..? Manakwa.mtu anaepata kihela chake baada ya mda flan kwa mda mfup mfup hapo si atakua na akaunt nyingi ...
Au uwe na akaunti nyingi ila riba iwe inaingia sehem moja tu
 
Halafu watakuja wakupinge na kukuita muongo
Mimi najua wafanyabiashara wengi humu wa aina nyingi tu
Ni kweli unachosema
Serious huwa tuna magodown ya mitumba mikoa mi5 nchini mzigo ukishuka hapo bandari tunapeleka mikoani kwa ajili ya kuwauzia wauzaji wa baro moja moja

Kwa anaetaka kufahamu zaidi na aulize swali lolote nitamjibu kiufasaha
 
Ahsante.

Huwa ninafuatilia mambo ya biofuel ndio maana.
Kuna idea pia ya kutengeneza biodiesel (ethanol) nzito kama mbadala wa ,mafuta mazito ya diesel haya yanayotumika kuendesha heavy machines na engines za magari makubwa kwa kutumia malighafi za takataka zitokanazo na mazao kama makapi ya mahindi , mchele ,miwa nk
 
Sasa si utakua na account nyingi , zinaweza kua manageable kweli uweze kuzimonita sehem moja..? Manakwa.mtu anaepata kihela chake baada ya mda flan kwa mda mfup mfup hapo si atakua na akaunt nyingi ...
Au uwe na akaunti nyingi ila riba iwe inaingia sehem moja tu

Kununua bonds nilitangulia kusema ni uwekezaji wa watu waoga na wavivu so unafanyiwa kila kitu na BOT, unawapa account zako tu na terms mlizowekeana tu wao wanakurushia mlivyokubaliana so huna sababu ya kuhangaika kumonitor kama biasha zingine zinazokutaka kuwa actively involved kwenye operations au management. Matajiri wengi wanaweka pesa zao za ziada tu ambazo hawataki zizunguke kila siku na majority ya banks ndio biashara yao, ndio maana wanaweka masharti magumu kukopesha raia. Wanajua kuna uwekezaji rahisi kule kwenye bonds, wateja wanapoweka pesa zao, bank inazichukua inanunua bonds, same as mifuko ya jamii.
 
Yaani wazo la kupata faida wewe na familia yako unataka ulipate bure bure tu!
 
Serious huwa tuna magodown ya mitumba mikoa mi5 nchini mzigo ukishuka hapo bandari tunapeleka mikoani kwa ajili ya kuwauzia wauzaji wa baro moja moja

Kwa anaetaka kufahamu zaidi na aulize swali lolote nitamjibu kiufasaha
Wala siwezi kukubishia kwa sababu mamjua mwanamama mmoja anashusha mpaka zaidi ya containers 10 yuko vizuri
Hongera mkuu kwa kupambana
Kazi ukiona mdosi anaifanya usiidharau ujue inalipa sana
 
Kiufupi takataka ni mali , Nina ideas nyingi sana za kubadilisha takataka kuwa mali au malighafi ya kuzalisha valuable products .
Ilipaswa tuwe na investors wengi kwenye hii sekta ili kupambana na tatizo la takataka , kwenye upande wa plastiki wanajitahidi
 
Back
Top Bottom