Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
hongera boss kwa idea nzuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna magonjwa matatu ya virusi ambayo huwashambulia mbuzi sana na hivyo Kupunguza uzalishaji na wewe kama mfugaji utahitaji kuwakinga mbuzi wako kwa kuwapa chanjo dhidi ya magonjwa hayo ambayo ni;
1. Pesti des petis ruminants (PPR)
Mbuzi hupewa akiwa na miezi 6+ na chanjo hii huwa ni ya maisha hakuna haja ya kurudia kuchanja tena
2. Caprine pox
Hupewa chanjo hii wakiwa na umri na miezi 6+ na chanjo hii hudumu kwa miaka 2 tu baada ya hapo utatakiwa kurudia tena
3. Contagious caprine pleuro pneumonia
Huchanjwa wakiwa na miezi 6+ na chanjo hii hurudiwa baada ya mwaka mmoja....
Hitimisho:
Kila baada ya miezi mitatu ni muhimu kuwapa dawa ya minyoo (Albendazole) hapa mbuzi watakuwa na afya na mwonekano mzuri
Kwa huduma hizi za chanjo tusisite kutafutana kwa wakazi wanaokaa dar na pwani tu. Karibuni sana
Mkuu Serio hawa weusi nimewapenda vp ni wa hapa hapa tz au wa nchi za wenzetu,Km ni wa hapa kwetu dah mwenye project hiyo anastahili pongezi.
Ok itakuwa vizuri ila shida naiona kwenye kupata parent stock ya ukweli hasa yenye body weight and size nzuri,inayozaa mapacha,Aisee ukiipata na mm nijuze mkuu
Upo mkuu??tumepoteana mjini humu aisee.Good idea.... One day yes!
Nipo ndugu, si unajua shilingi imekuwa ngumu kutwa kucha twakimbizana nayo lakini haikamatiki!Upo mkuu??tumepoteana mjini humu aisee.