bachelor sugu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,689
- 3,646
Aisee we acha tu yaani hadi kizunguzungu utadhani kuna mtu anatujambia but tukomae tu maana waswahili wanasemaNipo ndugu, si unajua shilingi imekuwa ngumu kutwa kucha twakimbizana nayo lakini haikamatiki!
Itakuwa haina maana kupewa umri mrefu halafu tukawa masikini itakuwa bora kwa wale waliotangulia iwapo tutaikubali shilingi iendelee kutuponyoka.