Identification zetu JF zinaficha mengi sana

Joshua Mbezi

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2024
Posts
1,994
Reaction score
4,446
Nimejaribu kutafakari kwa kina juu ya mienendo ya baadhi yetu ndani ya jukwaa hili nikaishia kuwaza;

Ndani ya hili jukwaa Kuna watu wamejipa ukuu ila ni hakika yangu ukikutana nao lazma utapigwa na butwaa.

Kuna watu Wana tabia fulan ndani ya hili jukwaa ila naamin tungepata nafasi ya kujuana tungebaki tunashangaana

Ni Iman yangu kuwa ndani ya hili jukwaa Kuna watu wanakula mlo mmoja ila ndo wanaoongoza kwa kuanzisha nyuzi za kumiliki mpunga mrefu.

Ndani ya hili jukwaa Kuna waume za watu na kwenye jamii wanaheshimika lkn humu kutwa nzima wapo busy kuanzisha nyuzi za kutafuta warembo
 
Sio identification ni IDENTITY.
 
Mtuache kwanza tuomboleze kifo cha babu yetu Ayatollah. Ayatollah kuondoka imeniuma kichiz. Israel and America you'll pay dearly for this.

Niacheni nilie maamaee😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😒

adriz wee ni mbusii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…