IDF bado inawapelekea moto makali magaidi wa Hezbollah huko Lebanon!!!

IDF bado inawapelekea moto makali magaidi wa Hezbollah huko Lebanon!!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Magaidi wa Hezbollah bado wanapata kipondo ki Takatifu kutoka majeshi hodari ya Israel!!!
 
Attachments

  • -6722658566563920436.mp4
    13 MB
  • -4460673808229838396.mp4
    2.8 MB
  • 8737607483994051758.mp4
    9.5 MB
  • IMG_5366.jpeg
    IMG_5366.jpeg
    559.8 KB · Views: 22
IDF iko Lebanon-Kusini wamejaa tele sijui ni waoga kivipi sasa!!!
Mbona hawatangazi vifo vyao mziki wa FPV drones Mpaka wameenda kunyang'anya wavuvi wa ghaza net za samaki eti ziwalinde na drone hahah wanakufa kama kuku huku Hezbollah wanarusha tu drone wakiwa underground
 
Unataka watangaze vifo ambavyo havipo? Au wewe unataka kuua Askari wa Israel kutumia hisia zako? Muueni tena Netanyahu kwa Hisia tuone Kama inawezekana!!!

Muarobaini wa Drones za Magaidi wa Hezbollah umepatikana sasa hivi ni kipondo tu kinaendelea mpaka wanyooke!!!!
 
Back
Top Bottom