Mbona hawatangazi vifo vyao mziki wa FPV drones Mpaka wameenda kunyang'anya wavuvi wa ghaza net za samaki eti ziwalinde na drone hahah wanakufa kama kuku huku Hezbollah wanarusha tu drone wakiwa underground

Unataka watangaze vifo ambavyo havipo? Au wewe unataka kuua Askari wa Israel kutumia hisia zako? Muueni tena Netanyahu kwa Hisia tuone Kama inawezekana!!!
Muarobaini wa Drones za Magaidi wa Hezbollah umepatikana sasa hivi ni kipondo tu kinaendelea mpaka wanyooke!!!!