IDF imewapiga risasi mateka 3 na kuwauwa huko Gaza, wanasema bahati mbaya.

🚨BREAKING: Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kuhusu Mateka 3 Aliowaua Waisraeli

"Pamoja na watu wote wa Israeli, ninainamisha kichwa changu kwa huzuni kubwa na kuomboleza kuanguka kwa wana wetu watatu wapendwa waliotekwa nyara, miongoni mwao Yotam Chaim na Samer Fouad al-Talalka.

Hili ni janga lisilovumilika. Taifa zima la Israel litaomboleza jioni hii. Moyo wangu unaziendea familia zinazoomboleza katika wakati wao mgumu.

Ninawaimarisha mashujaa wetu wanaopenya misheni takatifu ya kuwarudisha watu wetu waliotekwa nyara, hata kwa gharama ya maisha yao.

Hata katika jioni hii ngumu, tutafunga majeraha yetu, tutajifunza somo na kuendelea na juhudi za hali ya juu kuwarudisha salama watekaji wetu nyumbani."
 
Haya ushahidi huo hapo kutoka usa military intelligence via cnn
 

Attachments

  • Screenshot_20231215-213008_Instagram.jpg
    82.6 KB · Views: 2
  • Screenshot_20231215-214306_Chrome.jpg
    144.7 KB · Views: 2
Wanajeshi wa Israeli kuhusu Oktoba 7:

"Helikopta ya Apache ya Israeli ilirushwa Kibbutz Be'eri"

Ushahidi huo unasema kuwa helikopta ya Apache ya Israel ilifyatulia risasi Kibbutz Be'eri, mashahidi wa kushangaza.

"Na ghafla unaona helikopta inapiga moto kwenye kibbutz ... sielewi"

"Tangi huchoma ganda ndani ya nyumba".

Nilikuwa mmoja wa wa kwanza kuandika juu ya hii. Nilipata mashambulizi makubwa kuwa ni uzushi na uongo. Uchunguzi wa polisi baadaye ulithibitisha kwamba nilikuwa sahihi. Sasa hawa hapa mashahidi wa tukio hilo.

Jeshi la Israel linahusika na idadi kubwa zaidi ya waliofariki tarehe 7 Oktoba


View: https://x.com/megatron_ron/status/1735758301902626851?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Ngoja tuwasubiri Waisrael weusi wa Bonyokwa na Kimara Temboni. Waje wawatetee mabwana zao🤣
Ritz ndugu yangu na kaka yangu heshima kwako. Mbona sasa hunijibu swali langu sitachoka kukuliza hadi hunijibu. Huyo mwamba jamaa zombie kwenye avatar picha Yako naye pia ni muislamu?
 
.
 

Attachments

  • IMG_20231215_141520.jpg
    72 KB · Views: 1
Ngoja tuwasubiri Waisrael weusi wa Bonyokwa na Kimara Temboni. Waje wawatetee mabwana zao🤣
We jamaa nimekuangalia upo Jf tangu 2011 inamaana we ni mtu mzima, sasa why unaandika kitoto sana? Hata sisi madogo tunakuzidi point. Ukiacha ushabiki unaweza kuandika vitu vya maana. Usitake kila mtu akubaliane na unachokiamini halafu acha matusi umeshakuwa babu sasa.
 
Hagari anawataja mateka hao kuwa ni Yotam Haim, ambaye alitekwa nyara na Hamas kutoka Kfar Aza,
Yotam Haim....!
===
Aliyeuwawa akiwa na Mpendwa wetu Joshua L. Molel (R.I.P) alikuwa anaitwa "Tal Chaimi". Ukiondoa herufi ya kwanza na ya mwisho kwenye jina la Ukoo unapata Haim na ukiondoa herufi mbili za mwanzo na Moja ya mwisho unapata "Ta". Yaani 'Ta Haim'.

Na IDF inasema hatataja jina la huyo wa tatu kwa sababu familia imekataa asitajwe. Tunataka tujue hiyo familia ambayo imeondokewa na Mpendwa wao aliyekuwa pamoja na Yotam Haim! Lengo tuweke kumbukumbu sawa.
 
Wewe mtoto sikiliza kwanza niweke sawa hii ni ID yangu ingine nilijiunga mwaka mpya baada ya kipigwa Ban na IDs zangu kufutwa, na miaka 19 naijua JF mmekuja nyie vizazi vya smart phone meharibu JF kabsa JF imebadilika kuna wajinga wengi na mashabiki mandazi kama wewe.
JF ni jukwaa huru sijui kama ulisoma sheria zao na kanuni wakati unajiunga wapi nimekulazimisha ukubali ninachokiandika? Wapi nimesema lazima kila mtu lazima akubaliane na mimi?
Sikia kama unachukizwa na post zangu zipotezee sawa unapokuja kwangu unalia lia sina cha kukusaidia.
 
Huyo rubani alikufa agent wa Hamas.
 
Kumtukana kila aliye kinyume na wewe ni nini hiyo kama sio kupenda walio na maoni sawa na wewe? Kuwa huru na jukwa ndo kutukana? Ikiwa watu wazima mpo huku kusambaza matusi itakuwaje kuhusu vijana! Amka mzee acha utoto.
Vita ya Israel haikuathiri hata kidogo mbona una uchungu nayo? Relax chukulia mambo kawaida.
 
Unaweza kuniambia hayo matusi ninayosambaza? Usiwe punguani wewe JF kuna sheria na matusi hayaruhusiwi ripoti kwa Mods hayo matusi zaidi ya hapo unaleta utoto unalia lia tu.
 
Unaweza kuniambia hayo matusi ninayosambaza? Usiwe punguani wewe JF kuna sheria na matusi hayaruhusiwi ripoti kwa Mods hayo matusi zaidi ya hapo unaleta utoto unalia lia tu.
Kwa mfano hapa mi ndo nikuite punguani si utaona kama nakukosea adabu au ni sawa tu?
 
Kwa mfano hapa mi ndo nikuite punguani si utaona kama nakukosea adabu au ni sawa tu?
Nimekuuliza hayo nayosambaza ni yqpi? Kuniita punguani siyo kama umeona kuna kitu kinaoungua sawa siyo tusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…