IDF Jeshi bora kabisa duniani na MOSSAD idara bora zaidi ya ujasusi duniani!

Vita ni objective, bila Objective unaanza vipi vita?
 
Nilikujibu kutokana na maelezo yako ya awali!!!!Kuhusu ulichonieleza hapa sina la kuongezea sababu unajisemea mwenyewe kuhusu hili!!!!Wasomi tunapenda na kusikia na upande wa pili na sio upande mmoja tu unaojisemea wenyewe kila kitu!!!!Tungepata kumsikia huyo aliyekuandikia barua ya vitisho au hakujitambulisha?????
 
Ariel Sharon wakisikia jina lake wale watu wanajikojolea bila shuruti.😜😜😜😜😜
Ariel Sharon kuna war structure ya IDF aliibuni mwaka 1982 na waliitumia IDF in urban war in beirut ilikua inahitaji akili nyingi kuweza kuelewa aliwaza nini kubuni vile!!!Heshima yake sababu ni mwanajeshi asiyeogopa kukabiliana na adui mazingira yoyote yale!!!
 
Atakua ni muhafidhina asiyependa maoni ya wengine na mabadiliko!!!Ndio maana barua yake ilijaa kejeli na vitisho mzee wangu
 
Nelson...
Usiwe mkaidi usiweke !!!??? unachafua unachiandika.
Nakuwekea hapa rejea usome:

In 1985, President Nyerere, while conferring an honorary degree on Basil Davidson, challenged the University of Dar es Salaamto write a correct history of Tanzania.

In 1988, while commemorating thirty years of the Tabora Declaration, Nyerere in reference to early TANU members and as a tribute to them Nyerere asked the Party to take stock of those who joined TANU between 1954 and 1958.

Nyerere said: “That was the most trying period in the history of our Party and few people were courageous enough to join and work for the Party.” [1]
In supporting Nyerere for his recent call and taking up the challenge to record a correct history which he had for the first advanced in 1974 and again in 1985 the present author published an article in African Events[2] in which Abdulwahid and other forgotten TANU pioneers received prominence.

In that article the author did what no other scholar had done before.

He mentioned the fact that Muslims were in the forefront during the struggle for independence. It was at that time taboo to associate Islam or Muslims with the independence movement.

The author received sharp rebuke from a Party historian, Dr Mayanja Kiwanuka, a leading member of the panel which wrote the Party book Historia ya Chama Cha TANU 1954-1977, the official history of the Party. The Party historian had this to say:
(the)... article...argues that although Muslims in Tanzania played a crucial role in the struggle for independence, there is a deliberate effort to downplay their contribution.

Consequently, the entire article contains half-baked fairy tales to sustain his argument, more so by mentioning names of several TANU stalwarts who happened to be Muslims...

The greatness of TANU, indeed that of its founder-leader, Mwalimu Nyerere, is that, in so short a time since its inception, it managed to weave together into a formidable, relatively homogenous nationalist movement, a people so ethnically, culturally and religiously diverse... Said’s major goal is to sow seeds of discord, and at any price, truth to him is a matter to be ignored. [3]




[1] Daily News, 6 th October, 1988.
[2]

[3] See Africa Events, May, 1988, letter by Dr K. Mayanja Kiwanuka.
 
Vipi na ile barua ya vitisho unayo hapo tusome alichoandika huyo muhafidhina asiyekua na heshima aliyekupa vitisho mzee wetu??????
 
IDF na Mossad ni wasiri mno hata majasusi wao huwezi kuwajua
The advantages walizonazo IDF/ Mossad ni kuwa watu wao au asili ya watu wao wapo almost nchi zote duniani. Kwa mfano ukifuatilia historia ya kupanda kwa Hitler Adolph, ni kuwa aliwachukia wayahudi waliokua jeshi la ujeruman baada ya kuonekana ni wasaliti kwa nchi yao ya ujeruman. Na Ujeruman ilishindwa vita ya kwanza ya Dunia, ikiaminika kuwa wayahudi walikua wakitoa siri kwa wayahudi wenzao wa Kiingereza. Ndio maana Hitler akaja na sera yake kinazi.
 
Vipi na ile barua ya vitisho unayo hapo tusome alichoandika huyo muhafidhina asiyekua na heshima aliyekupa vitisho mzee wetu??????
Nelson...
Tosheka na hayo niliyokuwekea.

Lakini nakusihi sana ondoa ????

Watu wengi wanakusoma leo na utakapokuwa haupo miaka mingi watapita watu hapa kukusoma pengine kukufanya wewe kama rejea zao.

Sasa kama watakunukuu chuo kikuu kama wanafunzi wakiweka hizo ??? na !!! zako utakuwa kichekesho.

Wakati tunajibizana nilikuwa kijana bado.


Nje ya Ofisi za Africa Events, Banner Street, London​
 
Haya nimetosheka mzee wangu tuachane na huyo muhafidhina aliyekukosea heshima na adabu kwa kukuandikia barua ya vitisho!!!Tuendelee na mada yétu ya ubora wa IDF kwenye uwanja wa mapambano!!
 
Yeah upo sahii kaka historia ya IDF na Mossad imeanzia mbali sana mkuu
 
Haya nimetosheka mzee wangu tuachane na huyo muhafidhina aliyekukosea heshima na adabu kwa kukuandikia barua ya vitisho!!!Tuendelee na mada yétu ya ubora wa IDF kwenye uwanja wa mapambano!!
Nelson...
Nilikuwekea orodha ya majeshi bora na source yake.
Israel ilikuwa chini ya Misri.

Ukasema unazo source 10.
Tafadhali tuwekee.
 
Nelson...
Nilikuwekea orodha ya majeshi bora na source yake.
Israel ilikuwa chini ya Misri.

Ukasema unazo source 10.
Tafadhali tuwekee.
Si nilikujibu mzee wangu nikakuambia ninazo na kuziona source zaidi ya 10 na nikazipuuzia!!!!Ukiwa kama raia wa kawaida utaamini source hizo ila ukiwa upande wa pili kama mtaalamu wa medani za kivita mtazamo wa ubora wa jeshi ili kuweza kulipa rank unaonekana uwanja wa mapambano wa pande mbili tofauti!!!Kwa mfano hapo kwa India na Pakstani rank ulizowaweka utagombana na wapakistani au hapo kwa israel na egpty!!!!Taasisi gani iliandaa hizi rank mzee wangu
 
Nelson...
Nichukulie kuwa huna na hujui ulipozipata.

Unapuuza taarifa.

Nifahamishe sababu ya kufanya hivyo.

Rank hizi sikuweka mimi.

Nimezikuta mtandaoni na nimeweka source.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…