IDF Jeshi bora kabisa duniani na MOSSAD idara bora zaidi ya ujasusi duniani!

IDF Jeshi bora kabisa duniani na MOSSAD idara bora zaidi ya ujasusi duniani!

Israel alishindwa vita akabaki na Golan heights. Yaani how comes Tanzania ilishindwa vita na Iddi Amin ila ikabaki na Kagera salient?

Sinai ilirudishwa kwa Egypt, aliyekwambia Israel ilikuwa inalitaka jangwa lenye mchanga na mazalia ya magaidi nani? Sinai ni eneo la Egypt lilichukuliwa na Israel kwa muda kama adhabu ya Egypt kuwavamia mwaka 1967 kwenye Six Days war. Israel haikuiendeleza Sinai, haikuijenga wala haikuweka makazi ya raia. Eneo liliendelea kuwa na Egypt inhabitants mpaka 1982 Israel ilipowarudishia kwa kuitambua kama taifa huru, maana yake kukataa matakwa ya Palestina.
Hiyo ni ushindi wa kidiplomasia kwa Israel, Egypt ndio nchi ya kwanza ya Kiarabu kuitambua Israel (kuikana Palestina) na kufanya nayo amani. Ndio maana ikafukuzwa Arab League ambako ilikuwa kinara na Saddat akaja kuuliwa. Unajifanya hujui?

Marekani wakati anaingilia vita nchi zaidi ya kumi si zilikuwa zinasaidia Egypt na Syria? Na hayo makubaliano kuna aliyelazimishwa, si wangeendelea kupigwa kama wangetaka. Mbona Waarabu waliweka hadi mgomo wa kuiuzia mafuta Marekani.
Tunaongelea eneo la Egpty na Sio Syria, na kusema Israel hajataka Sinai ni Sitaki mbichi hizi, kama kweli alikua halitaki kwanini asubiri hadi achezee kichapo? Toka 60s hadi 70s kwanini hakurudisha.

Egpty Mara kwa Mara walikaa Meza kwa Amani kuomba hilo eneo warudishiwe na Israel alikataa mpaka hio vita ikatokea.

Na point yangu ni hizo Propaganda za Israel kwamba walishinda hivi vita.
 
Tunaongelea eneo la Egpty na Sio Syria, na kusema Israel hajataka Sinai ni Sitaki mbichi hizi, kama kweli alikua halitaki kwanini asubiri hadi achezee kichapo? Toka 60s hadi 70s kwanini hakurudisha.

Egpty Mara kwa Mara walikaa Meza kwa Amani kuomba hilo eneo warudishiwe na Israel alikataa mpaka hio vita ikatokea.

Na point yangu ni hizo Propaganda za Israel kwamba walishinda hivi vita.
Nakuelewa sababu unaongea kama raia na upo sahii!!!!Kwenye uwanja wa mapambano asikari waliokua frontline pande zote mbili pale jangwa la sinai wana adithi tofauti kuhusu aina ya tactics walizokabiliana nazo na ubora na udhaifu wa kila upande kwenye skeleton structure ya vita vyenyewe
 
Kijana kawasome Hezbollah kwanza nenda Wikipedia kaisome operation bint jubeil
Sawa kabisa kwa maoni yako kaka unaongea kama raia na upo sahii!!Sisi wadau na wachambuzi wa kijeshi hatupati ubora wa jeshi Wikipedia!!!!Tunaenda frontline kushuhudia kinachojiri uwanja wa mapambano katika eneo husika
 
Mleta mada una hoja nzuri zenye mantiki lakini jaribu kuepuka kuwekeza nguvu kubwa kwenye kupinga hoja kinzani.
Hoja inapingwa kwa hoja na sio kutengeneza mazingira ya kila hoja yako ikubalike na wote. Hii inatengeneza kuwe na wigo finyu wa mambo mengi kutanabaishwa bayana kwa wasomaji wenzangu.

Wengine tuko hapa kujifunza hivyo wekeni chakula cha ubongo mezani ili na sisi "Ngumbalo" wa haya mambo tujifunze.

Binafsi sina cha kuchangia ktk mada hii maana sina ABC's zozote juu ya intelijensia wala mambo yanayofanyika uwanja wa vita.


Cc: Mohamed Said, Nelson Jacob lushasi, Detective J, ,HIMARS
Sawa kaka nimekuelewa tupo pamoja
 
Nelson...
Uraia una uhusiano gani na uwezo
wa akili?

Mimi si mwanasiasa nimekueleza mara nyingi umeshindwa kuelewa lau wewe si raia.
Raia wana uelewa wao na watu wa medani za kijeshi na wataalamu wa haya mambo uelewa wao ni tofauti na raia wa kawaida kama wewe mzee wangu
 
Tatizo mkuu huna hoja kwenye uandishi wako ndo maana sometime nakupotezea.

Wewe una ile "Trust me bro" style ya uandishi, unataka uaminiwe tu maneno yako ambayo hayajulikani yanatoka wapi.

Katika kila field kuna wasomi wake, na msomi hajitangazi bali anatambuliwa, same kwenye vita kuna waandishi wa vita wanatambulika.

Wewe unajidai kukutana na viongozi wote hao, tuumbue humu na picha na evidence kuthibitisha maneno yako kama Mzee wetu Mohamed Said anavyofanya otherwise zitakua ni Porojo tu.
Upo sahii kwa maoni yako kama raia ndugu yangu!!!
 
Vita ni Objective
-objective ya Egpty kurudisha eneo lake la sinai
-Objective ya Israel kulinda sinai

Baada ya Vita Israel akaachia eneo na Egpty akachukua, hapa tu hapataki longo longo.
Vita sio objective,s kuna mambo nimeorodhesha hapo juu unaweza kuyajadili kidogo ili kutambua ubora wa jeshi husika hasa katika vita kama vya yom kipur!!!!Na katika vita vya yom kipur objective za IDF hazikua kulinda sinai tertory!!!Ukizungumza kama raia upo sahii kabisa!!!Lakini ukizungumza kama wataalamu wa medani za uwanja wa mapambano ni tofauti
 
Tatizo mkuu huna hoja kwenye uandishi wako ndo maana sometime nakupotezea.

Wewe una ile "Trust me bro" style ya uandishi, unataka uaminiwe tu maneno yako ambayo hayajulikani yanatoka wapi.

Katika kila field kuna wasomi wake, na msomi hajitangazi bali anatambuliwa, same kwenye vita kuna waandishi wa vita wanatambulika.

Wewe unajidai kukutana na viongozi wote hao, tuumbue humu na picha na evidence kuthibitisha maneno yako kama Mzee wetu Mohamed Said anavyofanya otherwise zitakua ni Porojo tu.
Upo sahii kaka ukizungumza kama raia kwenye majadiliano ya mada zinazohusu majeshi na vita
 
Nelson...
Nimekueleza mara nyingi mimi si mwanasiasa.

Watu wanakusoma.
Umekuwa kichekesho.

Kuna mtu hapa anaitwa "Smart."
Msome.
Upo sahii kaka kwa maoni yako kama raia na mwanasiasa !!Ubora wa majeshi haupo kwenye siasa za mdomoni na mihadhara ya ukumbini
 
Usiogope mzee wangu amani ipo wote watanzania na tunalindwa na katiba yetu tukufu
Nelson...
Mimi si katika waoga.

Mwaka wa 1988 niliandika makala, "In Praise of Ancestors," katika jarida lililokuwa linaitwa Africa Events likichapwa London.

Mhariri wake alikuwa Mohamed Mlamali Adam.

Makala yangu ilitanguliwa na utangulizi wa Mlamali uliosema kuwa haiwezekani kuandikwa historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika bila kutaja mchango wa Waislam.

Mlamali akataja majina ya Abdul na Ally Sykes, na Saadan Abdu Kandoro.

Toleo hili la gazeti lote lilikusanywa.
Toleo lililofuatia lilichapa barua ya Dr. Kataroge Mayanja Kiwanuka wa Idara ya Uhamasishaji Umma CCM Dodoma ikijibu makala yangu.

Barua ilijaa vitisho dhidi yangu, kejeli na nikaitwa, "mbilikimo" ambae kama sitaacha kuandika makala kama ile nitashughulikiwa.

Nilikuwa naijua fika nguvu iliyokuwapo nyuma ya barua ile.

Lakini mwandishi kanitukana na pili kanitisha.

Lazima nimjibu lakini sitajibu tusi nililotukanwa.

Nitamjibu kwa kuandika makala kueleza nani Abdulwahid Sykes katika historia ya uhuru wa Tanganyika.

Mlamali akachapa makala yangu: "Abdulwahid Sykes Founder of a Political Movement."

Sikubakisha kitu.

Makala hii gazeti halikukusanywa kuchomwa moto wala haikujibiwa hadi leo.

Jamaa zangu wakanitahadharisha kuwa nitakamatwa.

Jibu langu lilikuwa nitakamatwa kwa kuandika historia ya wazee wangu waliounda TANU kupigania uhuru?

Kwani hilo ni kosa?

Mwaka wa 1998 kitabu cha maisha ya Abdul Sykes kikachapwa London na kuingia nchini.

Nelson nilitaka nikufahamishe kuwa mimi si muoga katika kusema kweli.

Futa fikra hiyo akilini kwako.
 
Back
Top Bottom