Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Ndiyo huyu walimwita kwa kifupi Yoni?Nitauleta kaka uzi kumuhusu Jonathan ntenyahu!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo huyu walimwita kwa kifupi Yoni?Nitauleta kaka uzi kumuhusu Jonathan ntenyahu!!
Tunaongelea eneo la Egpty na Sio Syria, na kusema Israel hajataka Sinai ni Sitaki mbichi hizi, kama kweli alikua halitaki kwanini asubiri hadi achezee kichapo? Toka 60s hadi 70s kwanini hakurudisha.Israel alishindwa vita akabaki na Golan heights. Yaani how comes Tanzania ilishindwa vita na Iddi Amin ila ikabaki na Kagera salient?
Sinai ilirudishwa kwa Egypt, aliyekwambia Israel ilikuwa inalitaka jangwa lenye mchanga na mazalia ya magaidi nani? Sinai ni eneo la Egypt lilichukuliwa na Israel kwa muda kama adhabu ya Egypt kuwavamia mwaka 1967 kwenye Six Days war. Israel haikuiendeleza Sinai, haikuijenga wala haikuweka makazi ya raia. Eneo liliendelea kuwa na Egypt inhabitants mpaka 1982 Israel ilipowarudishia kwa kuitambua kama taifa huru, maana yake kukataa matakwa ya Palestina.
Hiyo ni ushindi wa kidiplomasia kwa Israel, Egypt ndio nchi ya kwanza ya Kiarabu kuitambua Israel (kuikana Palestina) na kufanya nayo amani. Ndio maana ikafukuzwa Arab League ambako ilikuwa kinara na Saddat akaja kuuliwa. Unajifanya hujui?
Marekani wakati anaingilia vita nchi zaidi ya kumi si zilikuwa zinasaidia Egypt na Syria? Na hayo makubaliano kuna aliyelazimishwa, si wangeendelea kupigwa kama wangetaka. Mbona Waarabu waliweka hadi mgomo wa kuiuzia mafuta Marekani.
Ops hana tofauti na kupigana tu Israel na Israel akakubali Muzik wao ..Upo sahii kaka ila je limeshiriki operation ngapi duniani kama IDF!!!
Nelson...
Mimi si mwanasiasa
Upo sahii kaka kimtazamo wakoOps hana tofauti na kupigana tu Israel na Israel akakubali Muzik wao ..
Nakuelewa sababu unaongea kama raia na upo sahii!!!!Kwenye uwanja wa mapambano asikari waliokua frontline pande zote mbili pale jangwa la sinai wana adithi tofauti kuhusu aina ya tactics walizokabiliana nazo na ubora na udhaifu wa kila upande kwenye skeleton structure ya vita vyenyeweTunaongelea eneo la Egpty na Sio Syria, na kusema Israel hajataka Sinai ni Sitaki mbichi hizi, kama kweli alikua halitaki kwanini asubiri hadi achezee kichapo? Toka 60s hadi 70s kwanini hakurudisha.
Egpty Mara kwa Mara walikaa Meza kwa Amani kuomba hilo eneo warudishiwe na Israel alikataa mpaka hio vita ikatokea.
Na point yangu ni hizo Propaganda za Israel kwamba walishinda hivi vita.
Sawa kabisa kwa maoni yako kaka unaongea kama raia na upo sahii!!Sisi wadau na wachambuzi wa kijeshi hatupati ubora wa jeshi Wikipedia!!!!Tunaenda frontline kushuhudia kinachojiri uwanja wa mapambano katika eneo husikaKijana kawasome Hezbollah kwanza nenda Wikipedia kaisome operation bint jubeil
Aliongoza operation nyingi za vikosi vya kikomando 275 na 375 katika operation za siri za IDF na washirika wake!!!!Code name yake kabla hajafa ilikua""Lion""Ndiyo huyu walimwita kwa kifupi Yoni?
Sawa kaka nimekuelewa tupo pamojaMleta mada una hoja nzuri zenye mantiki lakini jaribu kuepuka kuwekeza nguvu kubwa kwenye kupinga hoja kinzani.
Hoja inapingwa kwa hoja na sio kutengeneza mazingira ya kila hoja yako ikubalike na wote. Hii inatengeneza kuwe na wigo finyu wa mambo mengi kutanabaishwa bayana kwa wasomaji wenzangu.
Wengine tuko hapa kujifunza hivyo wekeni chakula cha ubongo mezani ili na sisi "Ngumbalo" wa haya mambo tujifunze.
Binafsi sina cha kuchangia ktk mada hii maana sina ABC's zozote juu ya intelijensia wala mambo yanayofanyika uwanja wa vita.
Cc: Mohamed Said, Nelson Jacob lushasi, Detective J, ,HIMARS
Na mimi nazungumzia ubora wa IDF sababu kwa watu wa medani za uwanja wa mapambano hili jambo lipo wazi kabisaKuna watu humu unawakera kwa hiki ulichoandika. Ingawa hiki ulichokiandika ndio ukweli wenyewe.
Raia wana uelewa wao na watu wa medani za kijeshi na wataalamu wa haya mambo uelewa wao ni tofauti na raia wa kawaida kama wewe mzee wanguNelson...
Uraia una uhusiano gani na uwezo
wa akili?
Mimi si mwanasiasa nimekueleza mara nyingi umeshindwa kuelewa lau wewe si raia.
Usiikane karama yako mzee wanguNelson...
Credit nilizonazo si katika siasa.
Upo sahii kwa maoni yako kama raia ndugu yangu!!!Tatizo mkuu huna hoja kwenye uandishi wako ndo maana sometime nakupotezea.
Wewe una ile "Trust me bro" style ya uandishi, unataka uaminiwe tu maneno yako ambayo hayajulikani yanatoka wapi.
Katika kila field kuna wasomi wake, na msomi hajitangazi bali anatambuliwa, same kwenye vita kuna waandishi wa vita wanatambulika.
Wewe unajidai kukutana na viongozi wote hao, tuumbue humu na picha na evidence kuthibitisha maneno yako kama Mzee wetu Mohamed Said anavyofanya otherwise zitakua ni Porojo tu.
Vita sio objective,s kuna mambo nimeorodhesha hapo juu unaweza kuyajadili kidogo ili kutambua ubora wa jeshi husika hasa katika vita kama vya yom kipur!!!!Na katika vita vya yom kipur objective za IDF hazikua kulinda sinai tertory!!!Ukizungumza kama raia upo sahii kabisa!!!Lakini ukizungumza kama wataalamu wa medani za uwanja wa mapambano ni tofautiVita ni Objective
-objective ya Egpty kurudisha eneo lake la sinai
-Objective ya Israel kulinda sinai
Baada ya Vita Israel akaachia eneo na Egpty akachukua, hapa tu hapataki longo longo.
Upo sahii kaka ukizungumza kama raia kwenye majadiliano ya mada zinazohusu majeshi na vitaTatizo mkuu huna hoja kwenye uandishi wako ndo maana sometime nakupotezea.
Wewe una ile "Trust me bro" style ya uandishi, unataka uaminiwe tu maneno yako ambayo hayajulikani yanatoka wapi.
Katika kila field kuna wasomi wake, na msomi hajitangazi bali anatambuliwa, same kwenye vita kuna waandishi wa vita wanatambulika.
Wewe unajidai kukutana na viongozi wote hao, tuumbue humu na picha na evidence kuthibitisha maneno yako kama Mzee wetu Mohamed Said anavyofanya otherwise zitakua ni Porojo tu.
Upo sahii kaka kwa maoni yako kama raia na mwanasiasa !!Ubora wa majeshi haupo kwenye siasa za mdomoni na mihadhara ya ukumbiniNelson...
Nimekueleza mara nyingi mimi si mwanasiasa.
Watu wanakusoma.
Umekuwa kichekesho.
Kuna mtu hapa anaitwa "Smart."
Msome.
Usiogope mzee wangu amani ipo wote watanzania na tunalindwa na katiba yetu tukufuNelson...
Wala hauko huko unakotaka kutuaminisha uko.
Ariel Sharon wakisikia jina lake wale watu wanajikojolea bila shuruti.😜😜😜😜😜Usimsahau Benjamin Ntenyahu na marehemu Sharoni!!! Idd Amin anamkumbuka vizuri zaidi
Nelson...Usiogope mzee wangu amani ipo wote watanzania na tunalindwa na katiba yetu tukufu