Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
- Thread starter
-
- #741
Mkuu mambo hayaendi unavyotaka wewe.Ila nataka siku wafanye jambo na nchi ambayo sio ya kiarabu,,,,,,,,.....waarabu hawajielewi hao watu
Mkuu hujafunga 🤣🤣🤣Acha nikatafute kitimoto
Mkuu hujafunga 🤣🤣🤣Acha nikatafute kitimoto
Unafiki unawamaliza, wengi ni ndumi la kuwili ndo maana myahudi kawaweza, na Iran kakaa zake pembeni maana anajua tabia zao anazuga kufadhili vikundi tu ila sidhani ataingia moja kwa moja kwenye mambo ya waarabu labda kwake azidiwe sana, Misri hadi leo hana hamu na waarabu wenzake kwa walichofanya kwenye ile 6 day warMkuu mambo hayaendi unavyotaka wewe.
Why unasema arabs hawajielewi
Mie kafiriMkuu hujafunga 🤣🤣🤣
Nelson...Umeamini maneno yangu Kua IDF na Mossad ni bora kwenye ujasusi......umeona walivyowaingiza mkenge waarabu wa Hamas October 07
Nyote si nduguNelson...
Unakusudia kufanya mjadala huu wa "Waarabu wa Hamas," na mimi?
Hapo mkuu unazungumzia madhara ya kutojua tofauti ya dini na maisha.Unafiki unawamaliza, wengi ni ndumi la kuwili ndo maana myahudi kawaweza, na Iran kakaa zake pembeni maana anajua tabia zao anazuga kufadhili vikundi tu ila sidhani ataingia moja kwa moja kwenye mambo ya waarabu labda kwake azidiwe sana, Misri hadi leo hana hamu na waarabu wenzake kwa walichofanya kwenye ile 6 day war
Nazungumzia jinsi ubora wa IFD na mosad katika ujasusi kwa namna walivyoweza kuwaadaha waarabu wa hamas wakaingia mkenge October 07????Nelson...
Unakusudia kufanya mjadala huu wa "Waarabu wa Hamas," na mimi?
Kafir maana yake.....ni neno la kiebrania cha kale cha mespotamia lenye kumaanisha mpinzaniMie kafiri
Mkuu tatizo lako.....dini imekupumbaza...!!!Wajanja sana hawa.Eti mayahudi wamejichanganya na wamasai.Tanzania kuna wayahudi wengine wa mchongo wanaoitwa sabato lakini kwa wamasai hamna kitu. Wanaanza fitna zao hapo ili baadae waseme Ngorongoro ni mbuga waliyoahidiwa.
Na wewe umeingia kwenye mtego walioingia waarabu wa hamas wakidhani IDF wamelala????Jeshi bora linashambuliwa kwake na silaha za kizamani za vita ya pilli ya dunia watu wanaruka na parachuti wanashambulia kisha wanaondoka na mateka jeshi bora limelala.
Teh teh teh
Mjadala wetu ulikua kuhusu ubora wa ujasusi katika IDF.Nelson...
Unakusudia kufanya mjadala huu wa "Waarabu wa Hamas," na mimi?
kuna kitabu nilisoma nikikumbuka nitakupa jina lake, wanaelezea pia kitu kingine kilichosababisha Egypt kupigwa kuna waarabu wenzake aliokua anawaamini wanaweka mipango sawa walikua wanavujisha siri kwa adui ndo maana baadae akaamua yaishe na toka kipindi hiko akaacha shobo,,, hadi sasa pale kwa waarabu kuna tawala ambazo ni vibaraka wa wazungu, wanajua influence ya mzungu ikitoka pale na wao wanapinduliwa.........mkoloni kipindi anawapa uhuru nchi za kiarabu kuna koo alizipa utawala wa nchi huku wakiwa hawakubaliki na watu wao ila waliwapa sababu ni vibaraka wao na hizo familia ili ziendelee kutawala hazina namna zaidi ya kulamba miguu ya wazungu mfano mzuri ukoo wa Saudi ,kwahio hapo mwarabu kumtoa Israel sio kazi rahisi maana kuna waarabu pia wanamsapoti Israel japo kwa juu wanaweka ule unafiki wao wa muislam ndugu yake muislamHapo mkuu unazungumzia madhara ya kutojua tofauti ya dini na maisha.
Nadharia ya dini yao majority ndio inasumbua.
Sadat ndio maana aliomba cease fire na Israel 1973......namkataba wa kurudishiana baadhi ya maeneo ya sinai pensula 1979 baada ya kuona ushauri waliompa waarabu wenzie ungempoteza......na kumtia hasara zaidi mwaka 1973
Ilibaki kidogo wayahudi wafike Cairo....!!!
Waarabu ndo wanaongoza kwa unafiki,,Myahudi kawaweza sababu wanazungukanaMkuu tatizo lako.....dini imekupumbaza...!!!
Ila ukweli upo wazi kati ya MAARABU NA MAYAHUDI NANI MNAFIKI
Aah ndo wametubatiza sie wala kitimoto hivyoKafir maana yake.....ni neno la kiebrania cha kale cha mespotamia lenye kumaanisha mpinzani
Sababu umekataa kua mtumwa wa waarabu ndio maana unaitwa kafirAah ndo wametubatiza sie wala kitimoto hivyo
Nitumie jina la kitabu mkuukuna kitabu nilisoma nikikumbuka nitakupa jina lake, wanaelezea pia kitu kingine kilichosababisha Egypt kupigwa kuna waarabu wenzake aliokua anawaamini wanaweka mipango sawa walikua wanavujisha siri kwa adui ndo maana baadae akaamua yaishe na toka kipindi hiko akaacha shobo,,, hadi sasa pale kwa waarabu kuna tawala ambazo ni vibaraka wa wazungu, wanajua influence ya mzungu ikitoka pale na wao wanapinduliwa.........mkoloni kipindi anawapa uhuru nchi za kiarabu kuna koo alizipa utawala wa nchi huku wakiwa hawakubaliki na watu wao ila waliwapa sababu ni vibaraka wao na hizo familia ili ziendelee kutawala hazina namna zaidi ya kulamba miguu ya wazungu mfano mzuri ukoo wa Saudi ,kwahio hapo mwarabu kumtoa Israel sio kazi rahisi maana kuna waarabu pia wanamsapoti Israel japo kwa juu wanaweka ule unafiki wao wa muislam ndugu yake muislam
Allah sio anakejeliwa watu wanasema ukweli kuhusu Allah... wewe unajua Allah hana Roho, Allah anapia Nyota Quran 53:1 nae ni Pagani, Hajui nini alianza kuumba, Dunia imewewekewa Milima ili isiyumbe... Allah anasifia Pombe ni ina faida and aya nyingine anasema Pombe ni ya Shetani, mean yeye ni yake na yeye ndie Shetani... usiite tena watu watusi ya Upagani wakati Allah ndie Pagan.. Kuna Mungu wenu yule wa kipagani aliyeitwa Sin hadi Surat zake mnazo mnaziita Yah-sinNelson...
Kama nilivyokueleza kwa Muislam hatakiwi kuingia katika ubishi wa kuwapo kwa Mungu wa Kweli kuepusha Allah kukejeliwa.
Mimi sina tatizo na imani yako.
Kama ulivyosema dini zote zinatambuliwa.
Mkuu Benjamini alikuwa bado wakati huo.Jonathan alikuwa anaenda frontline sababu alikuwa mwanajeshi na kamanda ila mpika mipango alikuwa Benjamini na wenzie pale head quater Jerusalem ya wizara ya ulinzi ya Israel!!