kuna kitabu nilisoma nikikumbuka nitakupa jina lake, wanaelezea pia kitu kingine kilichosababisha Egypt kupigwa kuna waarabu wenzake aliokua anawaamini wanaweka mipango sawa walikua wanavujisha siri kwa adui ndo maana baadae akaamua yaishe na toka kipindi hiko akaacha shobo,,, hadi sasa pale kwa waarabu kuna tawala ambazo ni vibaraka wa wazungu, wanajua influence ya mzungu ikitoka pale na wao wanapinduliwa.........mkoloni kipindi anawapa uhuru nchi za kiarabu kuna koo alizipa utawala wa nchi huku wakiwa hawakubaliki na watu wao ila waliwapa sababu ni vibaraka wao na hizo familia ili ziendelee kutawala hazina namna zaidi ya kulamba miguu ya wazungu mfano mzuri ukoo wa Saudi ,kwahio hapo mwarabu kumtoa Israel sio kazi rahisi maana kuna waarabu pia wanamsapoti Israel japo kwa juu wanaweka ule unafiki wao wa muislam ndugu yake muislam