IDF Jeshi bora kabisa duniani na MOSSAD idara bora zaidi ya ujasusi duniani!

Hafsi ndio mwarabu wa wapi mkuu
 
Mkuu kwa hiyo Muhammad na yeye alikua mtume wa Maarabu au???
Mnavamia uzi wangu na mada tofauti wakuu...
 
Wasionekane ulaya na sio dunia nzima.....huwezi kuwamaliza wayahudi.......wamejaribu warumi,wahispania,waturuki,waarabu,waajemi,waamedi na wajerumani........ila wooote wameshindwa wakaishia kupata aibu.
 
Madhara ya ukoloni..............mzee wangu anawapenda wakoloni wa kiarabu kuliko ubantu wake.
Yupo radhi kua mtumwa wa wakoloni wa kiarabu
 

Members of IDF with arab origins.....most of them are Druze and Sinai arab minorty.
 
Hafsi ndio mwarabu wa wapi mkuu

Hafs: The Lying, Unreliable Transmitter of the Quran​

For most of the Muslim world, the particular Arabic version of the Quran that is recited is the reading attributed to Hafs Ibn Abi Dawud Al Kufi. What makes this rather ironic, in fact, astonishing is that this specific narrator/relater/reciter of the Quran was known to be a liar who was an untrustworthy thief. This is why Sunni scholars decreed that his hadiths are to be abandoned.
 
Tulia upate dawa , hivi hizo post zako mbona unazifumbia macho ?
Wengine man mioyo migumu lakini tutajaribu kuilainisha


View: https://youtube.com/shorts/B2XIBDQEb9U?si=wZ6gS2t4H_JF-TUa
Dawa gani mkuu au ndio unadata na propaganda news za you tube???
Wewe upo nje ya mada....au huu uzi huujui???
Hapa tunazungumzia ufanisi wa MOSSAD NA IDF NA DUNIA NZIMA INAJUA.......WALIVYOWAINGIZA MKENGE WAARABU WA HAMAS OCTOBER 07
NB: UDINI WAPELEKEE WABANTU WATUMWA WA WAKOLONI
 
Naona walamba nanihii mko busy na utopia

Saidieni wazazi wenu wanateseka

Achacheni na hizi propaganda
 



View: https://vm.tiktok.com/ZGem1Q3eW/
 

Kama hawajaandika wao Bible why Allah kwenye Quran anasema kipindi cha Muhammad kuwa anaconfirm kuwa ni vitabu vyake vyote Torat na Injili vinavyounda books of Books Bible.. swali Allah ni mjinga mpumbavu au muongo chagua jibu moja ukubaliane na Biblia kaandika Allah au Alllah ni stupid.

وَقَفَّيْنَا عَلَىٰٓ ءَاثَـٰرِهِم بِعِيسَى ٱبْنِ مَرْيَمَ مُصَدِّقًۭا لِّمَا بَيْنَ يَدَيْهِ مِنَ ٱلتَّوْرَىٰةِ ۖ وَءَاتَيْنَـٰهُ ٱلْإِنجِيلَ فِيهِ هُدًۭى وَنُورٌۭ وَمُصَدِّقًۭا لِّمَا بَيْنَ يَدَيْهِ مِنَ ٱلتَّوْرَىٰةِ وَهُدًۭى وَمَوْعِظَةًۭ لِّلْمُتَّقِينَ ٤٦

Then in the footsteps of the prophets, We sent Jesus, son of Mary, confirming the Torah revealed before him. And We gave him the Gospel containing guidance and light and confirming what was revealed in the Torah—a guide and a lesson to the God-fearing.

Kisha tukafuata nyayo za Manabii, tukamtuma Isa bin Maryamu, akiisadikisha Taurati iliyoteremshwa kabla yake. Na tukampa Injili yenye uwongofu, na nuru, na inayosadikisha yaliyoteremshwa katika Taurati, ni mwongozo na mazingatio kwa wachamngu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…