IDF Jeshi bora kabisa duniani na MOSSAD idara bora zaidi ya ujasusi duniani!

Dini ya wagiriki na walatini na waitaliano na jamii nyingine duniani zinazoamini katika msalaba.Dini hiyo sikubahatika kupata nafasi ya kua mfuasi.Ila nipo kwenye utafiti kuhusu Mungu wa wakrsto na nikimaliza hapo nitafanya utafiti pia kuhusu Mungu wa waislam.
Nelson...
Una maana ulipozaliwa hukubatizwa?

Umekuwa ukiwa huna dini hadi ulipopata kuwa na akili ndiyo ukaanza utafiti wako wa dini?

Nakutahadharisha uwe makini na mkweli vinginevyo wengi hapa wakikugundua kuwa ni muongo hakuna atakaekutia maanani.

Mimi nimeanza madarsa kusomeshwa Qur'an Msikti wa Ijumaa Moshi Mtaa Chini nikiwa na miaka 6.

Kisha nikaanzishwa darasa la kwanza Lutheran Primary School sikumbuki Muislam katika darasa hili wanafunzi wenzangu wote umri wa miaka 6/7 walikuwa Wakristo wengi wao Walutheri.

Sasa wewe hukupittia ''stage'' hii?
Wazazi wako walikuacha ukiwa kitoto kidogo cha Kipagani?

Hiyo hapo chini picha ya shule nilipiga mwaka wa 1989 miaka 31 baada ya kuwa mwanafunzi ndani ya kanisa hili nilipoanza darasa la kwanza.

Hapo niliposimama ni mlango mkuu wa kuingia kanisani na ndipo ndani ya kanisa hili lilipokuwa darasa letu tukisomeshwa madeski yetu yalikuwa viti vya kanisa.

1697463382790.png
 
Nelson...
Una maana ulipozaliwa hukubatizwa?

Umekuwa ukiwa huna dini hadi ulipopata kuwa na akili ndiyo ukaanza utafiti wako wa dini?
Yeah sijawahi kupewa hayo mapokeo ya wayahudi na wakrsto maana nimelelewa na chifu wa Wanyambo na tuna dini yetu ya asili ya kibantu maana sio ni wabantu kamili na sio machotara.
Nilipewa mkia wa ngombe na usinga.
Utafiti wa dini za kigeni niliuanza mwaka 1997 nikianza na Mungu wa wakrsto kwa kupitia uganga wa asili wa wabantu na elimu ya nyota ya waajemi.
Vile vile naendelea na utafiti wa Mungu wa waarabu na waislamu kupitia uganga wa asili na elimu ya waarabu wa kale ya kuabudu nyota na mwezi.
NB: Kumbuka mimi mzee wangu natokea koo za machifu wa kinyambo na kinyankore na kinyarwanda na Kinyoro na Kiganda tuliounganishwa wote na Kabaka Mutesa wa Buganda!!Ukoo wangu ndio unalinda funguo za tamaduni zetu za kibantu
 
Yeah sijawahi kupewa hayo mapokeo ya wayahudi na wakrsto maana nimelelewa na chifu wa Wanyambo.
Nilipewa mkia wa ngombe na usinga.
Utafiti wa dini za kigeni niliuanza mwaka 1997 nikianza na Mungu wa wakrsto kwa kupitia uganga wa asili wa wabantu na elimu ya nyota ya waajemi.
Vile vile naendelea na utafiti wa Mungu wa waarabu na waislamu kupitia uganga wa asili na elimu ya waarabu wa kale ya kuabudu nyota na mwezi.
NB: Kumbuka mimi mzee wangu natokea koo za machifu wa kinyambo na kinyankore na kinyarwanda na Kinyoro na Kiganda tuliounganishwa wote na Kabaka Mutesa wa Buganda!!Ukoo wangu ndio unalinda funguo za tamaduni zetu za kibantu
Nelson...
Chifu wa Wanyambo yupi?
Nani jina lake.

KIsa chako kinanivutia ningependa kujua historia hii.
Ukiwa hutojali ningependa kufahamu vipi Wanyambo walizuia Ukristo usiingie katika himaya yao.

Nakueleza haya kwa kuwa nimeandika kitabu cha Maisha ya Rajabu Ibrahim Kirama aliyeishi wakati wa Chief Abdiel Shangali.

Kitabu hiki kina historia ya vipi Ukristo uliingia Uchaggani na vipi machifu walisaidia Liepzig Mission kutoka Ujerumani kulipa nguvu kanisa hili ambalo unaliona leo limeshamiri Kilimanjaro yote.

Sasa kuwa Chief wa Wanyambo alihimili vishindo vya Kanisa ni historia ya pekee.

Ningependa kuijua zaidi.

1697465585304.png
 
Nelson...
Una maana ulipozaliwa hukubatizwa?

Umekuwa ukiwa huna dini hadi ulipopata kuwa na akili ndiyo ukaanza utafiti wako wa dini?

Nakutahadharisha uwe makini na mkweli vinginevyo wengi hapa wakikugundua kuwa ni muongo hakuna atakaekutia maanani.

Mimi nimeanza madarsa kusomeshwa Qur'an Msikti wa Ijumaa Moshi Mtaa Chini nikiwa na miaka 6.

Kisha nikaanzishwa darasa la kwanza Lutheran Primary School sikumbuki Muislam katika darasa hili wanafunzi wenzangu wote umri wa miaka 6/7 walikuwa Wakristo wengi wao Walutheri.

Sasa wewe hukupittia ''stage'' hii?
Wazazi wako walikuacha ukiwa kitoto kidogo cha Kipagani?

Hiyo hapo chini picha ya shule nilipiga mwaka wa 1989 miaka 31 baada ya kuwa mwanafunzi ndani ya kanisa hili nilipoanza darasa la kwanza.

Hapo niliposimama ni mlango mkuu wa kuingia kanisani na ndipo ndani ya kanisa hili lilipokuwa darasa letu tukisomeshwa madeski yetu yalikuwa viti vya kanisa.

View attachment 2783797
Mzee wangu sijawahi kubatizwa wala kusilimishwa na nimesoma shule za serikali na shule za jadi za kichifu.
Kwanza Mzee wangu nitake radhi kwa kuwaita wazee wangu WATUKUFU MACHIFU WA KOO WANYORO NA WANYAMBO NA WANYANKOLE NA WATUSI KUA WALINILEA KIPAGANI.
Wakoloni wa kiarabu na kizungu walikudanganya kua imani za kibantu ni upagani?
Sijapendezwa na wewe kuniita KITOTO cha mpagani mzee wangu
 
Nelson...
Chifu wa Wanyambo yupi?
Nani jina lake.

KIsa chako kinanivutia ningependa kujua historia hii.
Ukiwa hutojali ningependa kufahamu vipi Wanyambo walizuia Ukristo usiingia katika himaya yao.

Nakueleza haya kwa kuwa nimeandika kitabu cha Maisha ya Rajabu Ibrahim Kirama aliyeishi wakati wa Chief Abdiel Shangali.

Kitabu hiki kina historia ya vipi Ukristo uliingia Uchaggani na vipi machifu walisaidia Liepzig Mission kutoka Ujerumani kulipa nguvu kanisa hili ambalo unaliona leo limeshamiri Kilimanjaro yote.

Sasa kuwa Chief wa Wanyambo alihimili vishindo vya Kanisa ni historia ya pekee.

Ningependa kuijua zaidi.

View attachment 2783813
Sawa mdini
 
Historia ya wanyambo baba zangu machifu inaanzia mbali sana kutokea kwa Babu yetu mkuu na mtume wetu KINTU aliyetugawa kikabila na kihimaya sisi wanyambo na waganda na wanyoro na wanyankole na wanyarwanda na watwa na waha na wahangaza na warundi
Mimi natokea kwa msururu wa vizazi vya chifu Ruhinda mpaka kufikia kwa Babu yangu mkubwa Mtemi Ndagara wa kutokea kwa himaya za Bachwezi na Wanyoro na Wakitara ambao ni vitukuu vya mtume wetu KINTU.
Mababu zangu hawakukataa wageni wa kiarabu na kizungu waliokua wanaweka makazi karagwe wakitafuta pembe za ndovu,ila walikataa kuwauza watu utumwani.Mfano mzuri ni mwarabu Hamed ibrahim aliyetokea Ujiji na watumwa wake akaja kufuga ngombe na pia machotara wa kiarabu akina Khamis bin Abdalah kutokea Ujiji na Tippu tibu wa kutokea Zanzibar na Sayid bin Habib walifika sana kwenye makazi ya kifalme ya babu zangu hasa baada ya kifo cha Ndagara na akarithi babu yangu Rumanyika wakiomba awasaidie wampeleke kwa Malkia wa Unyarwanda ambapo enzi hizo walikua hawataki ugeni wa waarabu na wazungu maana walisikia huko kuna pembe za ndovu ni nyingi na walitamani kwenda huko na huyu mwarabu Khamis bin Abdalah alitaka mpaka kuoa mwanamke wa kinyarwandwa akiwafananisha na wahabeshi na alikaa karagwe miaka 19 kufikia mwaka 1853
Wazee wangu walikua wakarimu na hawakuzuia wageni kutoka pwani au ulaya kuweka kambi na waliwaruhusu wakoloni wa kizungu kuanzisha mishonari zao kwa makubaliano maalumu na hata waraabu walieneza uislamu pia.
Ni kwa kifupi tu kuhusu koo zangu za kichifu za babu zangu wapendwa walioturithisha utamaduni mkubwa wa kibantu.
NB: Sisi wajukuu wa watemi kwenye tabaka letu dini za kigeni hazikuingia labda kwenye tabaka za wakulima na wafugaji ambao kwa sababu zao binafsi wakikubali dini za kigeni na watemi hawakuwazuia.
NB: Nimelelewa chini ya mtukufu chifu Rumanyika wa 3 na wasaidizi wake wa kiroho aliyetupa malezi bora kabisa ya maadili ya kibantu na kuuthamini tamaduni na dini zetu.
 
Nelson,
Imekuwaje ukapewa jina Nelson?

Orodha ya Machifu:
  1. 1675 - 1700 Ruhinda V
  2. 1700 - 1725 Rusatira
  3. 1725 - 1750 Mehinga
  4. 1750 - 1775 Kalemera I Ntagara Bwiragenda (alifariki 1775)
  5. 1775 - 1795 Ntare V "Kiitabanyoro"
  6. 1795 - 1820 Ruhinda VI Orushongo "Lwanyabugondo" (b. 1777 - d. 1820)
  7. 1820 - 1853 Ndagara I "Luzingamcucu lwa nkwanzi"
  8. 1853 - 1881 Rumanyika I Rugundu
  9. 1882 - 1886 Ndagara II Nyamkuba
  10. 1886 - 1893 Kalemera II Kanyenje
  11. 1886 - 1893 Kakoko -Regent
  12. 1893 - 1914 Ntare VI
  13. 1914 - 1916 Kahigi -Regent
  14. 1916 - 1939 Daudi Rumanyika II
  15. 1939 - 1962 - 9.12. B. Itogo Ruhinda VII
Katika hawa ni mtawala yupi aliyekuwa wa kwanza kubatizwa?
Katika orodha hii mlezi wako Rumanyika 111 hayuko.

Baada ya Rumanyika wa 11 anakuja Itogo Ruhinda VII na ndiyo mwisho wa utawala wa uchifu.

Kuna maelezo yoyote?

Hivi sasa Wanyambo majority ni Wakristo, Waislam ni wachache sana.
Unayo idadi ya Wanyambo wenye kufuata imani kama yako?

Unaweza kueleza sababu ya hali hii?
 
Mzee wangu sijawahi kubatizwa wala kusilimishwa na nimesoma shule za serikali na shule za jadi za kichifu.
Kwanza Mzee wangu nitake radhi kwa kuwaita wazee wangu WATUKUFU MACHIFU WA KOO WANYORO NA WANYAMBO NA WANYANKOLE NA WATUSI KUA WALINILEA KIPAGANI.
Wakoloni wa kiarabu na kizungu walikudanganya kua imani za kibantu ni upagani?
Sijapendezwa na wewe kuniita KITOTO cha mpagani mzee wangu
Nelson,
Upagani si tusi.
Lingekuwa ni tusi usingeona linatumika katika vitabu bila ya wasiwasi.

''(especially in historical contexts) a person holding religious beliefs other than those of the main or recognized religions.''
 
Nelson,
Imekuwaje ukapewa jina Nelson?

Orodha ya Machifu:
  1. 1675 - 1700 Ruhinda V
  2. 1700 - 1725 Rusatira
  3. 1725 - 1750 Mehinga
  4. 1750 - 1775 Kalemera I Ntagara Bwiragenda (alifariki 1775)
  5. 1775 - 1795 Ntare V "Kiitabanyoro"
  6. 1795 - 1820 Ruhinda VI Orushongo "Lwanyabugondo" (b. 1777 - d. 1820)
  7. 1820 - 1853 Ndagara I "Luzingamcucu lwa nkwanzi"
  8. 1853 - 1881 Rumanyika I Rugundu
  9. 1882 - 1886 Ndagara II Nyamkuba
  10. 1886 - 1893 Kalemera II Kanyenje
  11. 1886 - 1893 Kakoko -Regent
  12. 1893 - 1914 Ntare VI
  13. 1914 - 1916 Kahigi -Regent
  14. 1916 - 1939 Daudi Rumanyika II
  15. 1939 - 1962 - 9.12. B. Itogo Ruhinda VII
Katika hawa ni mtawala yupi aliyekuwa wa kwanza kubatizwa?
Katika orodha hii mlezi wako Rumanyika 111 hayuko.

Baada ya Rumanyika wa 11 anakuja Itogo Ruhinda VII na ndiyo mwisho wa utawala wa uchifu.

Kuna maelezo yoyote?

Hivi sasa Wanyambo majority ni Wakristo, Waislam ni wachache sana.
Unayo idadi ya Wanyambo wenye kufuata imani kama yako?

Unaweza kueleza sababu ya hali hii?
Mzee wangu kubatizwa ndio vitu gani hivyo sivijui sababu sisi wa ukoo wa kichifu tunakaangwa na sio kubatizwa.Na katika himaya yetu hakuna chifu wa mwisho,uchifu na utawala ni muendelezo usio na mwisho milele na milele japo hauna nguvu za umiliki na utawala kama zamani.
Huwezi kumjua Mtukufu Chifu Rumanyika wa tatu mlezi wangu sababu wewe umesoma historia yetu kupitia vitabu vya wakoloni wa kizungu ila sisi tuna historia ya watu wetu kupitia urithi wa babu zetu.Ukimjua kwanza Kintu basi utavijua vizazi vyake vya uzao wa kichifu mpaka sasa 2023.
NB:Hili jina Nelson nilipewa na mzee wangu sababu alikua na urafiki na rafiki yake wa kiboer aliyeitwa Nelson van de Krulk na kuhusu Wanyambo wengi kua wakrsto au kua waislamu nilishakujibu hapo juu mzee wangu.
 
Dini zote zinatambuliwa.
Wewe wakoloni wa kiarabu na kizungu ndio walikudanganya kua dini zao pekee ndio zinazotambulika na ndio dini "Main" na dini za wabantu ni upagani?
 
Kama nilivyokueleza kwa Muislam hatakiwi kuingia katika ubishi wa kuwapo kwa Mungu wa Kweli kuepusha Allah kukejeliwa.

Mimi sina tatizo na imani yako.

Kama ulivyosema dini zote zinatambuliwa.
 
Mzee wangu kubatizwa ndio vitu gani hivyo sivijui sababu sisi wa ukoo wa kichifu tunakaangwa na sio kubatizwa.Na katika himaya yetu hakuna chifu wa mwisho,uchifu na utawala ni muendelezo usio na mwisho milele na milele japo hauna nguvu za umiliki na utawala kama zamani.
Huwezi kumjua Mtukufu Chifu Rumanyika wa tatu mlezi wangu sababu wewe umesoma historia yetu kupitia vitabu vya wakoloni wa kizungu ila sisi tuna historia ya watu wetu kupitia urithi wa babu zetu.Ukimjua kwanza Kintu basi utavijua vizazi vyake vya uzao wa kichifu mpaka sasa 2023.
NB:Hili jina Nelson nilipewa na mzee wangu sababu alikua na urafiki na rafiki yake wa kiboer aliyeitwa Nelson van de Krulk na kuhusu Wanyambo wengi kua wakrsto au kua waislamu nilishakujibu hapo juu mzee wangu.
Nelson...
Ahsante umenielimisha.
 
Nelson...
Kama nilivyokueleza kwa Muislam hatakiwi kuingia katika ubishi wa kuwapo kwa Mungu wa Kweli kuepusha Allah kukejeliwa.

Mimi sina tatizo na imani yako.

Kama ulivyosema dini zote zinatambuliwa.
Upo sahii mzee wangu na ni makosa makubwa sana kudhani unachoamini ni sahii kuliko wengine.
Nipo naendelea na utafiti wangu wa Mungu wa walokole(Wakrsto).
Na ninaendelea pia na utafiti wangu wa Mungu wa waislamu.
Naomba unisaidie KITABU KIZIMA CHA AL AZIF KAMA UNACHO NA ULIKULA YAMIN KWA AL QUAS MAANA NATAKA NIFANYE MKUTANO NA AL QUAS NIMUULIZE BAADHI YA MASWALI KUHUSIANA NA UTAFITI WANGU
SASA MIMI KITABU CHANGU KINAISHIA DARAJA LA TATU HAKIJAKAMILIKA HIVYO SIWEZI KUFANYA AUDIENCE NAE KIROHO
 
Unanishangaza.
Ikiwa wewe tayari una imani yako Mungu ndiye unae toka alipokuumba.

Sasa kuwatafuta hao waungu wengine si utamuudhi mungu wako?

Kwani waungu wako wengi?
 
Nelson,
Imekuwaje ukapewa jina Nelson?

Orodha ya Machifu:
  1. 1675 - 1700 Ruhinda V
  2. 1700 - 1725 Rusatira
  3. 1725 - 1750 Mehinga
  4. 1750 - 1775 Kalemera I Ntagara Bwiragenda (alifariki 1775)
  5. 1775 - 1795 Ntare V "Kiitabanyoro"
  6. 1795 - 1820 Ruhinda VI Orushongo "Lwanyabugondo" (b. 1777 - d. 1820)
  7. 1820 - 1853 Ndagara I "Luzingamcucu lwa nkwanzi"
  8. 1853 - 1881 Rumanyika I Rugundu
  9. 1882 - 1886 Ndagara II Nyamkuba
  10. 1886 - 1893 Kalemera II Kanyenje
  11. 1886 - 1893 Kakoko -Regent
  12. 1893 - 1914 Ntare VI
  13. 1914 - 1916 Kahigi -Regent
  14. 1916 - 1939 Daudi Rumanyika II
  15. 1939 - 1962 - 9.12. B. Itogo Ruhinda VII
Katika hawa ni mtawala yupi aliyekuwa wa kwanza kubatizwa?
Katika orodha hii mlezi wako Rumanyika 111 hayuko.

Baada ya Rumanyika wa 11 anakuja Itogo Ruhinda VII na ndiyo mwisho wa utawala wa uchifu.

Kuna maelezo yoyote?

Hivi sasa Wanyambo majority ni Wakristo, Waislam ni wachache sana.
Unayo idadi ya Wanyambo wenye kufuata imani kama yako?

Unaweza kueleza sababu ya hali hii?
Duh!
 
Back
Top Bottom