Mlaleo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 14,809
- 11,825
Unamatatizo ya kuelewa au mkaidi? mimi huwa nakuja na reference nimeweka zote kasome Quran aya nilizo quote.Mkuu hizi adithi wewe umetoa wapi???
Waislam... Ukisema Waarabu tafsiri yake ni Watu wanaohama hama jangwani watu wasio na makazi Maalum.. kuna mazoea watu kujiita Waarabu but original name walipewa mabedui ambao hadi sasa wengi wanaendeleza same tabia kama wamasai mfano. Muhammad alikuwa ni Quraish, kuna wa Yemen, Asyria, kuna Phonexian kule Lebanon , Wahindi kule Qatar, kuna Kurdish n.kKwa waarabu au wayahudi mkuu??
Allah ni jina la kizushi tu Mungu wa Waislam anaitwa LAH Herufi za kwanza AL maana yake Mungu kwa lugha ya Aramaic Lugha mama ya Arab. so Lah alikuwa Mungu wa Wapagani yaani Mungu Mwezi aliabudiwa na kuhusu Nyota na Mwezi inasemekana walizaa wabinti watatu Manat, Al-lat na Al-Uzza so upo sawa kusema Al lah ni Mungu wa Nyota na Mwezi.Afu huyo allah ndio yule mungu wa waarabu na waislamu wanaoabudu nyota na mwezi na malikia wa anga???
NB: MAELEZO MENGI UNANICHANGANYA NIJIBU KWA KIFUPI NIELEWE MKUU
Mohammad alunga unga kuchukua hadith za kale za waumini wa dini mbali mbali kaunganisha unganisha akalazimisha watu ku surrender (Islam) or die