Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
- Thread starter
- #841
Mzee wangu sisi sote watu wazima tuache kupindisha na kuficha maneno.Waarabu na waislamu wanashangilia sana.....dhahama zozote wanazopitia wayahudi.....toka enzi za waajemi na wamedi.....wakaja warumi.....wakaja makhalifa.......na wengineo wengi ambao waliwaondoa wayahudi kwenye aridhi za mababu zao.Ndugu zanguni,
Taarifa za mauaji ya Wayahudi na Hitler yalifanyika kwa siri na kimya kimya katika "Concentration Camps," maarufu katika hizi ni Auschwitz, Poland.
Dunia haikujua nini kilikuwa kinafanyika katika nchi ambazo Hitler alikuwa keshaziteka.
Lakini kulikuwa na uvumi kuwa Hitler amekusudia kuwagharikisha Wayahudi wote na akiwatia katika matanuri ya gesi.
Ilikuwa tabu watu kuamini maneno haya lakini duru za kiinteligensia ziliingia kazini kutafuta ukweli.
Kipindi hiki ilikuwa kama vile Ujerumani na washirika wake watashinda vita.
Kila kukicha Wayahudi walikuwa wanakusanywa na kupelekwa kwenye kambi za mateso na mauaji, kazi ngumu chakula kidogo.
Myahudi kama hakufa kwa kipigo cha askari wa Kijerumani atakufa kwa kazi ngumu au ndani ya gas chamber.
Neno Gestapo likawa linatisha.
Hawaitembelei familia ikabakia salama.
Myahudi akapoteza kabisa utu wake.
Hana thamani.
Vita vikageuka Hitler alipodhani kuwa anaweza kuiteka Urusi.
Urusi kwa kipimo isingeweza kuhimili mikiki ya Hitler lakini General Winter akatokea.
Hili baridi kali ndilo lililoinusuru Soviet Union.
Wajerumani hawakuweza kusonga mbele.
Lakini matanuri hayakusimama kuua.
Gestapo ilisimamisha unyama wao pale ilipowadhihirikia kuwa kilichobakia ni kwa wao kunusuru nafsi zao.
Red Army ilikuwa inasonga mbele nyuma ya majeshi ya Hitler yaliyokuwa sasa yanakimbia yakirudi nyuma.
Allied Forces askari wao walipoingia Auschwitz macho yao hayakuamini waliyoyaona.
Inawezekana vipi binadamu kumfanyia binadamu mwenzake ukatili kama ule.
Wayahudi ndani ya kambi wamebakia mifupa na ngozi.
Imekuwaje hawajafa wote kama ilivyokusudiwa Allah ndiye ajuaye.
Final Solution imeshindikana.
Nimefika nyumba ya kumbukumbu ya holocaust Berlin.
Nimefika mara mbili Msikiti Mkuu wa Paris ambao ulitumiwa kuwaficha Wayahudi waliokuwa wanakimbia kuuliwa na Hitler.
Ofisi yangu Berlin ndani ya Zentrum Moderner Orient (ZMO) jumba hili lilikuwa makao makuu ya Gestapo.
Hili sikulitegemea katika maisha yangu.
Nimetafiti na kusoma mengi katika historia ya balaa lililowakuta Wayahudi na kuangamizwa kwao.
Sijakuta mahali popote watu wanashangilia mateso ya Wayahudi na kuuliwa kwao.
Sijaona wala kusoma popote Gestapo ikisifiwa uhodari wa kukamata Wayahudi, kuwatesa kisha kuwaua kwa.gesi.
Wanasema mungu wao wa kiarabu aitwaye allah kawalaani hivyo lazima wawaue... na kawaambia waarabu kua wayahudi hawana historia wala makazi ya kukaaa na hadhi ya ubinadamu sabanu wamekataa kufuata dini ya kiarabu... hivyo wawaue atawapa thawabu!!
NB: KAMA WAYAHUDI WA MOSSAD NA IDF IMARA...BASI LEO WANGEKUA SEX SLAVE NA WATUMWA WA WAARABU NA WAISLAMU....KAMA VITA VYOTE WALIVYOPIGANA WANGESHINDWA....!!!