IDF Jeshi bora kabisa duniani na MOSSAD idara bora zaidi ya ujasusi duniani!

IDF Jeshi bora kabisa duniani na MOSSAD idara bora zaidi ya ujasusi duniani!

Unawafahamu Hamas? Mbona hadi leo wanawatoeni jasho mmeshindwa hata kuwaokoa mateka wenu?
Jasho lipi mkuu?????
Mm kilichopo ni kwamba waarabu wa hamas......wanakula kichapo taratiiibu hatua kwa hatua.....mpaka imefika hatua ya kuvua magwanda ya kijeshi na kukimbilia kujificha nyuma ya wanawake na watoto wakililia waarabu wa Qatar wawasaidie kubroke cease fire.
Maana mosad waliwaingiza mkenge kwa intelejinsia feki kupitia waturuki.
 
Kasome vizuri biblia uielewe.. Jesus alikuja specific for Wayahudi ndio maana aliwaletea Injil maana walikuwa wamestuck kwenye mila na Sheria za Mussa ambazo kuna time zinawabana mno ilifika time Jumamosi hata kitu cha maana hawawezi kukifanya Yesu akawaambia wafanye.. mfano tu Hamas walitumia siku ya Sabato kuwavamia Waisrael na ilichukua muda mrefu Israel kurespond sababu ya Sabato.. So Kuita mbwa ni mfano Yesu aliutoa kipindi kile kuwa Kuwa yeye alikuja kwa ajili ya Wayahudi and anakuja mtu mwingine alithi, je wewe kwenu even Mtoto wa Nje ya Ndoa hana urithi kwenye familia yenu ya kiislam.

Kumbuka utakachoponda katika ukristo jua Uislam ndio ulipo copy mengi..
Mohammad alimtia mke wa Mtoto wake wa Kufikia na akaamua kumuoa kabisa kuthibitisha kuwa Mtoto wa kufikia sio mtoto wako unawezza kumuoa kabisa.

Baada ya Wayahudi kukataa Injil Yesu kwa sababu ni Mungu aliupa Injil watu wote wa Duniani akawaambia wanafunzi wake waieneze Dunia nzima na imekuwa hivyo.
Ndio Christian ilianzia hapo..

Wajua Uislam ni for Arabs walio Mecca na karibu na Mecca Qran 26:13-16
Na Quran 26:22 Shetani anamshhukia Mwongo na mtenda madhambi... aya hii inatuonesha sura harisi ya Muhammad alifyoingiwa na Shetani kwani aya mnamfiti vizuri kabisa
Mfafanulie vizuri mkuu
 
So umeumbuka and umeamua kutumia Taqiyya ramadhani hii? kweli.. Kama Israel ni Occupations force na waislam mnaamini kila kitu anapanga Allah.. so lawama na hasira zenu zimuendee Allah... Ardhi ni ya Waisrael according to Allah. all name mnayowaita Wasrael yanamuendea Allah. kwa kuwapa ardhi Hebrew na aliwaambia wasitoke hadi kiama... Nyie ndi mmekuwa Wapinzani wa Allah... na hii mnavyowatetea Arabs immigrant to the holly land mnadhibitisha kuwa Allah is nothing to you all and Allah is not Exist so keep goin on mtamshinda Allah
Oky
 
Nelson...
Jifunze kuandika.
Tuanze na matumizi ya dots.

Zinatakiwa ziwe 3 ...
Matumizi ya !!!

Tumia kwenye riwaya.

Matumizi ya herufi kubwa.
Yana sehemu maalum.

Inaelekea hukufika mbali.
Unahitaji shule zaidi.

Nelson,
Angalia hapo chini picha hizo.
Huo ndiyo ujuzi wangu katika somo hili na mengine.

Ndiyo unaona hapa nyumbani naalikwa kuzungumza SUZA, Centre For Foreign Relations Kurasini na vyuo vingine.

Kalamu yangu inafika mbali nina wajibu mkubwa kulinda heshima yangu.
Siwezi kuwa sehemu ya mjadala wako.

Napenda kukuzindua kuwa kuna vijana kadhaa wa Kiyahudi wanafunzi wamepita kwangu katika kuandika Ph D zao.

View attachment 2937612
Grande Mosque, Paris 1993
Msikiti huu ulitumika kuwaficha Wayahudi waliokuwa wanatafutwa na Gestapo
View attachment 2937613
Grande Mosque, Paris 2011
Kulia Salim Himidi Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje, Mstaafu Comoro
View attachment 2937614
ZMO Berlin, 2011
Palipata kuwa Makao Makuu ya Gestapo

Sasa mzee wangu......wewe unadhani paris au moroni au berlin umefika peke yako.......au unataka na sisi vijana wako tuweke picha zetu tulizopiga sehemu mbalimbali duniani?????
Tatizo ni moja.........mimi sio mtu wa dini bali mchambuzi wa makala na mtafiti huru sinaga upande.
Unadhani wewe kuwafundisha vijana wa kiyahudi....ndio itaondoa ukweli kua waafidhina wa kiislamu na waarabu wanawachukia na kuwaombea mabaya wayahudi.
Sababu wayahudi wamekataa kufuata utamaduni na dini ya kiarabu.
NB: Wayahudi wasingekua strong wangekua kama wakurdi,wayazidi,waajemi, na wamoor wa sahel...........!!!
 
Kuna watu mna mahaba mno na wauwaji
🤣🤣🤣🤣 hapa mada ni jinsi mossad walivyowaingiza mkenge waarabu wa HAMAS October 07.
Mahaba yalianzia hapa mkuu......wenyewe IDF wanakuambia dawa ya moto ni moto mara kumi.......angalia chini
Screenshot_20240228-070918.png
 
Elite force wa kikundi cha waarabu wa hamas.......walibaka na kuua wanawake wa kiyahudi October 07.....afu kuchukua maiti kama mbadala wa kubadilishana baadae na wafungwa na mateka wa kipalestina.
Walichosahau ni kwamba MOSSAD NA IDF
Screenshot_20240228-070918.png
walihitaji ushahidi wa picha tu na videos na wazisambaze....ili waanze walichokusudia bila ulimwengu kuingilia........na kusema wanaua waarabu.
NB: WATURUKI NDANI YA HAMAS WALIKUA VIPANDIKIZI VYA MOSSAD
 
Mkuu karibu upate historia za mambo ya kijeshi.........na ujasusi.
Unaruhusiwa kuchangia
Nelson...
Huwezi kujifunza elimu kubwa bila ya angalau kuwa na elimu ya chuo kikuu.

Chuo kikuu wanakufundisha kwanza kabisa namna ya kuandika.
Hafiki mtu chuo kikuu akawa hana ujuzi wa kuandika.

Hujui wapi unatakiwa kuanza na herufi kubwa wala hujui wapi hutakiwi kuanza na herufi ndogo.

Afanyae haya ni mtu ambae kavamia.

Hana elimu ya kutosha.
Hili mosi.

Pili wanakufundisha somo linaitwa Research Methodology yaani namna ya kufanya utafiti.

Huu ndiyo msingi wa kujifunza mambo wewe mwenyewe na kuchangia elimu mpya katika jamii.

Tatu wanakupa elimu na kukuelekeza kwa wasomi waliotafiti na kuandika elimu unazotaka kujifunza.

Sizioni sifa hizi kwako.
Hata pale ninapokufunza unashindwa kujifunza kutoka kwangu.

Hakuna msomi asiye na mwalimu.

Unahitaji kujielimisha ili upate elimu ya kukusaidia wewe mwenyewe na jamii yako.
 
Nelson...
Huwezi kujifunza elimu kubwa ikiwa bila ya angalau kuwa na elimu ya chuo kikuu.

Chuo kikuu wanakufundisha kwanza kabisa namna ya kuandika.

Hafiki mtu chuo kikuu akawa hana ujuzi wa kuandika.

Hujui wapi unatakiwa kuanza na herufi kubwa wala hujui wapi hutakiwi kuanza na herufi ndogo.

Afanyae haya ni mtu ambae kavamia.

Hana elimu ya kutosha.
Hili mosi.

Pili wanakufundisha somo linaitwa Research Methodology yaani namna ya kufanya utafiti.

Huu ndiyo msingi wa kujifunza mambo wewe mwenyewe na kuchangia elimu mpya katika jamii.

Tatu wanakupa elimu na kukuelekeza kwa wasomi waliotafiti na kuandika elimu unazotaka kujifunza.

Sizioni sifa hizi kwako.

Hata pale ninapokufunza unashindwa kujifunza kutoka kwangu.

Hakuna msomi asiye na mwalimu.

Unahitaji kujielimisha ili upate elimu ya kukusaidia wewe mwenyewe na jamii yako.
Sasa chuo kikuu kipi mzee wangu???
Na unajua maana ya elimu mzee wangu????
Na kuna aina ya elimu nyingi.....kwa binadamu.
Unazungumzia elimu ipi mzee wangu???
 
Israel they used to wage fair war before but after october 7 walipewa ushauri terror mpige ki terror ndio hatorudia tena... na Respond ya Israel imewaogopesha muslim country zote... Masikio yamezibwa hadi Mwisho wa Hamas.. lieni tukaneni,toeni laana lakii Kichapo hadi wajisalimishe na waachie mateka. Walichofanya Hamas hakisameheki hata kwa Allah

Kumbe uliwapa ushauri ukiwa Manzese , uwanja wa fisi??😛😛😛
 
Sasa chuo kikuu kipi mzee wangu???
Na unajua maana ya elimu mzee wangu????
Na kuna aina ya elimu nyingi.....kwa binadamu.
Unazungumzia elimu ipi mzee wangu???

Hayo maswali yako unayouliza unadhihirisha hicho kiwango cha elimu yako . Yaani hata hiyo sunday school hujafika .

Itakuwa mwalimu wako ni Gwajima . Pale kwenye lile banda lake ndiyo university yako 😛😛😛😛😛😛😛😛
 
Allah never spoke,Allah never create anything by saying be and it was Allah alidanganya kusema Adam and Jesus was created by saying BE and ikawa Quran 3:59 and kaumbuka aya nyingine akasema Amemuumba Adam kwa Udongo.. So Allah tayari anakuwa sio Mungu wa Ukweli bali uongo

Tukiendelea na isemavyo Biblia juu ya ujumbe wa Yesu tunapata ushahidi zaidi kutokana na Injili ya Mathayo:
Hao Thenashara Yesu aliwatuma, akawaagiza, akisema, Katika njia ya Mataifa msiende, wala katika mji wo wote wa Wasamaria msiingie. Afadhali shikeni njia kuwaendea kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.
Mathayo 10.5-6

Kwa nini Yesu alisema maneno kama haya ya kukataa na kukataza kuwafunza dini ila Waisraili tu?

Kwa nini alitumia mifano mibaya kama hivyo "mbwa" na "nguruwe" kwa kuwakusudia hao watu wengine wasio Mayahudi, yaani ndio mimi na wewe mwenzangu?

Wataalamu wa Kikristo na wasio Wakristo wamestaajabishwa na maneno hayo.

Ni maneno machache katika aliyoyasema Yesu ambayo yamewatatiza wasomaji Wakristo kuliko maneno haya.

Wapo wanaoona kuwa Yesu alitumia matusi yale kuwaita wote wasio Mayahudi kufuata mwenendo wa Kiyahudi, yaani ndio hivyo Mayahudi wawaonavyo binaadamu wote wasio kuwa wao. Na wapo wasemao kuwa Yesu akipenda kufunza kwa mifano, na hivyo anafananisha kama kwamba yeye anaamini hiyo imani mbovu ya Kiyahudi ya kudharau watu wasiokuwa kabila yao.

Na wapo wengine ambao wanaona maneno yale ni ya Mathayo, na yeye Mathayo (au ye yote yule aliyeandika Injili hiyo) kamuambatisha nayo Yesu maneno hayo, kwa kuwa yeye mwandishi alikuwa Mkristo wa kabila la Kiyahudi na anacho kiburi cha Kiyahudi.

Ama kusema kuwa hakutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa Israeli inaonekana kama kilivyosema kitabu cha The Interpreter's Bible kuwa Yesu hakika kwanza aliamini kuwa alitumwa kwa Waisraili tu.

Ni jambo la kustaajabisha kuwa Mungu au Mwana wa Mungu aje duniani atumwe na kwanza asiujue utumwa wake ila aamini tu kuwa katumwa kwa watu wake wa Kiyahudi basi.

Na kama yeye ni Mungu au Mwana wa Mungu, katumwa na nani? Kama katumwa na Mungu, basi yeye si Mungu.

Si hilo tu, bali hata akiwa ni Nabii na Mtume wa Mungu tunamtaraji aujue tangu mwanzo huo ujumbe wake aliokuja nao, asiwe kutapatapa, kupapasa, na kuhangaika katika jambo la msingi.
 
Nobody......in Egyptian state television report this.......but Generaly Abdel Ghan el Gamasy knows the truths........Na alikataa Sadat aache propaganda aongee ukweli......sababu Cairo ilikua within IDF artillery range since October 15 1973
Screenshot_20240317-000544.png
 
Kasome vizuri biblia uielewe.. Jesus alikuja specific for Wayahudi ndio maana aliwaletea Injil maana walikuwa wamestuck kwenye mila na Sheria za Mussa ambazo kuna time zinawabana mno ilifika time Jumamosi hata kitu cha maana hawawezi kukifanya Yesu akawaambia wafanye.. mfano tu Hamas walitumia siku ya Sabato kuwavamia Waisrael na ilichukua muda mrefu Israel kurespond sababu ya Sabato.. So Kuita mbwa ni mfano Yesu aliutoa kipindi kile kuwa Kuwa yeye alikuja kwa ajili ya Wayahudi and anakuja mtu mwingine alithi, je wewe kwenu even Mtoto wa Nje ya Ndoa hana urithi kwenye familia yenu ya kiislam.

Kumbuka utakachoponda katika ukristo jua Uislam ndio ulipo copy mengi..
Mohammad alimtia mke wa Mtoto wake wa Kufikia na akaamua kumuoa kabisa kuthibitisha kuwa Mtoto wa kufikia sio mtoto wako unawezza kumuoa kabisa.

Baada ya Wayahudi kukataa Injil Yesu kwa sababu ni Mungu aliupa Injil watu wote wa Duniani akawaambia wanafunzi wake waieneze Dunia nzima na imekuwa hivyo.
Ndio Christian ilianzia hapo..

Wajua Uislam ni for Arabs walio Mecca na karibu na Mecca Qran 26:13-16
Na Quran 26:22 Shetani anamshhukia Mwongo na mtenda madhambi... aya hii inatuonesha sura harisi ya Muhammad alifyoingiwa na Shetani kwani aya mnamfiti vizuri kabisa

Yesu alikuwa Mtume kwa ajili ya wana wa Israeli tu.

Mwenyewe alijua mipaka ya utume wake. Kwahiyo alisema:

1. Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli. (Mathayo 15:24).

2. Wakati mwanamke mmoja asiyekuwa mwana wa Israeli alipokuja kwa Yesu Kristo kuomba baraka zake, Yesu akakataa na zaidi ya kukataa aliwatusi wasiokuwa Waisraeli.

“Akasema si vyema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia m’mbwa.” (Mathayo 15:26, Marko 7:27).

3. Hao thenashara (kumi na mbili) Yesu aliwatuma, akawaagiza, akisema, katika njia ya mataifa msiende, wala katika mji wowote wa Wasamaria msiingie.

Afadhali shikeni njia kuwaendea kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli. (Mathayo 10:5-6).

4. Baadhi ya Wakristo wanadhani kwamba wakati Waisraeli wote wamefikishiwa ujumbe, kisha makabila mengine pia yahubiriwe.

Lakini dhana hii si sahihi bali ni kinyume cha mafundisho ya Bwana Yesu. Yeye amesema kwamba: “Lakini watakapo wafukuza katika mji huu, kimbilieni mwingine; kwa maana ni kweli nawambia, hamtaimaliza miji ya Israeli hata ajapo
mwana wa Adamu. (Mathayo 10:23).

5. Bwana Petro mwanafunzi wa Yesu Kristo aliwahubiri wasiokuwa Waisraeli. Wanafunzi wengine, baada ya kupata habari hii walimpinga Bwana Petro kwa kosa lake. Biblia inasema kwamba: “Basi mitume na ndugu waliokuwako katika Uyahudi wakapata habari ya kwamba watu wa mataifa nao wamelipokea neno la Mungu. Na Petro alipopanda kwenda Yerusalemu, wale walio wa tohara wakashindana naye, wakisema, uliingia kwa watu wasiotahiriwa ukala nao. “ (Matendo 11:1-3).

6. Aya za Biblia zifuatazo zinaeleza kwamba Bwana Yesu alikuwa mfalme na mtawala wa Mayahudi. (Mathayo 2:6, 27:29, 27:42, Yohana 1:49.

7. Bwana Paulo ambaye ni mpinzani na mhalifu (anti Christ) wa Bwana Yesu, baada ya kuchukia alianza mahubiri nje ya Wasiraeli.

Biblia inasema kwamba: “Hata Sila na Timotheo walipoteremka kutoka Makedonia, Paulo akasongwa sana na bila neno, aliwashuhudia Wayahudi ya kwamba Yesu ni Kristo walipopingana naye na kumtukana Mungu, akakung'uta mavazi yake, akawaambia, damu yenu na iwe juu ya vichwa vyenu, mimi ni safi; tangu sasa ninakwenda kwa watu wa mataifa. (Matendo 18:5-6).

Baadhi ya Wakristo wanayo shauku ya kugonganisha aya za Biblia. wanasema kwamba Bwana Yesu aliagiza kwamba “Basi enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi.” (Mathayo 28:19).

1. Najibu kwamba aya hii inapinga maagizo yote ya Bwana Yesu yaliyotajwa juu. Kwahiyo haiwezi kuwa agizo la Yesu wala aya ya Injili.

2. Ya pili aya hii imeandikwa mwishoni mwa Injili ya Mathayo, na nitathibitisha baadaye kidogo kwamba aya za mwanzo na za mwisho za kila kitabu ni za kuongezwa baadaye. Aya zile siyo aya sahihi za Biblia.

3. Ya tatu katika aya 28:19 ya Mathayo neno mataifa limetumika kwa maana ya mataifa ya Israeli. Kama Biblia inavyosema kwamba: “Siku zile amri ilitoka kwa Kaisari Augusto ya kwamba iandikwe orodha ya majina ya watu wote wa ulimwengu. (Luka 2:1).

Kaisari Augusto alikuwa mtawala wa Roma tu. Hakuwa na mamlaka yoyote nje ya nchi yake juu ya ulimwengu.

Katika aya hii amri iliyotolewa kwa ajili ya ulimwengu na ya nchi ya Roma tu iliyokuwa chini ya utawala wa Kaisari wala siyo ulimwengu wote. Hivyo ndivyo inavyoeleweka kauli ya Bwana Yesu aliposema:

“Enendeni mkawafanye mataifa yote (ya Waisraeli) kuwa wanafunzi. (Mathayo 28:19).
 
Nobody......in Egyptian state television report this.......but Generaly Abdel Ghan el Gamasy knows the truths........Na alikataa Sadat aache propaganda aongee ukweli......sababu Cairo ilikua within IDF artillery range since October 15 1973View attachment 2937848

MISUKULE IKIWA KAZINI

Sasa chuo kikuu kipi mzee wangu???
Na unajua maana ya elimu mzee wangu????
Na kuna aina ya elimu nyingi.....kwa binadamu.
Unazungumzia elimu ipi mzee wangu???
Nelson...
Kitabu hicho hapo chini kinasomesha historia ya uhuru wa Tanganyika.
Hii ni ''Corrective History.''

Utafiti mpya ukachangia kusahihisha historia iliyokuwapo ambayo ilikuwa na makosa.

Kitabu kimeongeza elimu mpya.

1710732058413.jpeg

Matoleo tofauti ya kitabu
Mara ya Kwanza kimechapwa London, 1998
1710732417935.jpeg

Kimechapwa Nairobi 2008
1710732510150.jpeg

Kitabu kinasomeshwa shule za msingi kufundisha lugha ya Kiingereza na Historia
Huu ni mradi maalum wa Oxford University Press, Nairobi
Kimechapwa 2006
1710732697114.jpeg

Kitabu cha shule za msingi kusomesha Kiingereza na Historia
1710733725182.jpeg

Mwandishi kati ya waandishi 500 walioandika hili kamusi
Mradi wa Harvard na Oxford University Press, New York 2011​

Mwanafunzi wa Shule ya Msingi, Sekondari au Chuo Kikuu katika vitabu hivi atapata elimu ambayo kabla hakuwanayo:
  1. The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.
  2. The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press, Nairobi, 2006
  3. Contributing author for an African anthology: The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007, Nairobi.
  4. Contributing author Dictionary of African Biography (DAB), Oxford University Press 2011, New York.
  5. Uamuzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam.
Nelson...
Hii ndiyo elimu ambayo huijui unaniuliza.

Huu ndiyo mchango wangu kwa jamii yangu, nchi yangu na ulimwengu katika kusomesha elimu mpya.

Hilo kamusi utalikuta katika maktaba naweza kusema ya kila Chuo Kikuu duniani.
 
Nelson...
Kitabu hicho hapo chini kinasomesha historia ya uhuru wa Tanganyika.
Hii ni ''Corrective History.''

Utafiti mpya ukachangia kusahihisha historia iliyokuwapo ambayo ilikuwa na makosa.

Kitabu kimeongeza elimu mpya.

View attachment 2937847
Matoleo tofauti ya kitabu
Mara ya Kwanza kimechapwa London, 1998
View attachment 2937849
Kimechapwa Nairobi 2008
View attachment 2937850
Kitabu kinasomeshwa shule za msingi kufundisha lugha ya Kiingereza na Historia
Huu ni mradi maalum wa Oxford University Press, Nairobi
Kimechapwa 2006
View attachment 2937852
Kitabu cha shule za msingi kusomesha Kiingereza na Historia
View attachment 2937865
Mwandishi kati ya waandishi 500 walioandika hili kamusi
Mradi wa Harvard na Oxford University Press, New York 2011​

Mwanafunzi wa Shule ya Msingi, Sekondari au Chuo Kikuu katika vitabu hivi atapata elimu ambayo kabla hakuwanayo:
  1. The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.
  2. The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press, Nairobi, 2006
  3. Contributing author for an African anthology: The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007, Nairobi.
  4. Contributing author Dictionary of African Biography (DAB), Oxford University Press 2011, New York.
  5. Uamuzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam.
Nelson...
Hii ndiyo elimu ambayo huijui unaniuliza.

Huu ndiyo mchango wangu kwa jamii yangu, nchi yangu na ulimwengu katika kusomesha elimu mpya.

Hilo kamusi utalikuta katika maktaba naweza kusema ya kila Chuo Kikuu duniani.
Mzee wangu to be honest tatizo ni moja ulilonalo......vitabu vyako umeandika mapendekezi yako kiimani,kitamaduni,kihisia na kisiasa.....na mimi naujua mrengo wako......hivyo napata ukakasi kuvisoma....sababu wewe sio mwandishi huru.
Unaegemea upande flani mzee wangu.
 
Nobody......in Egyptian state television report this.......but Generaly Abdel Ghan el Gamasy knows the truths........Na alikataa Sadat aache propaganda aongee ukweli......sababu Cairo ilikua within IDF artillery range since October 15 1973View attachment 2937848
Nelson...
Huwezi kuwa kazi yako ni kunakili kisha huweki hata source.

Ungepitia elimu ya chuo kikuu wangekufundisha haya na ni wakati gani unaweza kuleta kile ulichosoma kwengine.
 
Back
Top Bottom