IDF: Mashambulizi ya Iran yamemalizika, wananchi wanaweza toka mafichoni na kuendelea na shughuli zao ila kwa tahadhari. Tutalipiza

 
Target ya Iran ilikua ni Airbase na oil facilities na makombora asilimia 90 yamehit Target kwa udhaifu wa iron dome kushindwa kulinda anga hadi asilimia 90 ya makombora kupiga Target Iran wangekua wamelenga raia ingekua ni msiba zaidi ya Adolf Hitler alivyowachinja wayahudi.
 
Nawaza jibu litakalotolewa na kilio kitakachokuja cha kuuwa wanawake na watoto
Kwa kuwa na wao waisrael.hawatajibiwa waaache waendeleze upumbafu tel aviv itamalizwa kabla hata ndege zilizoenda kushambulia hazijarudi yaani zikirudi hakuna mji wahuni waajemi wametenga missile 1000 wanaita swams au shambulio kama la nyuki sasa makombora mengi mithili ya shambulizi la nyuki watapona kweli wakae chini wafanye cease fire mkubwa ukivuliwa nguo chutamaa wairan walikubali kuchutamaa na raisi kukubali agreement ya cease fire wasilipe kisasi cha Haniyeh ila wahuni wamewaita weak sasa acha zipigwe kidogo ili waheshimiane.
 
Hapo kwenye mujibu,hatutaki kobasi waanza kulia lia siwaliona wenzao palestina na hizbola wana faidi sana mziki wa myaud,sasa nawao zam imewafikia
 
Kwangu mimi raia sio hatari kama zile ndege bora amefagia ndege zile ndio zinazoleta maafa kwa jirani zake, hao raia tunasubiri mazayuni yashushe raia Tehran ndio tuone wanaume ni akina nani
 
Mi nilisema hapa,
Ile safari walivyoondoka wayahudi tarehe 8 oct. Kwenda Gaza,walikua hawaendi kwa Hamas tu walikua wanaenda kupigana na yoyote atayetia pua.ndo kinaendelea sasa
 
Irani imeithibitishia Israeli kuwa wanaweza kuwapiga kutokea ardhi ya Irani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…