IDF: Mpango wa kulipua kituo kikuu cha nyuklia cha Iran cha Fordow, uko tayari. Kinachosuburiwa ni amri tu

IDF: Mpango wa kulipua kituo kikuu cha nyuklia cha Iran cha Fordow, uko tayari. Kinachosuburiwa ni amri tu

DATAZ

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2012
Posts
4,712
Reaction score
11,991
Ni kwa mujibu wa JERUSALEM POST, Taarifa ya 17/06/2025 1903 hrs Easy African time.

Kama mpango wa kumuua Ayatollah ulivyo tayari, ndivyo pia mpango wa kulipua kituo kikubwa Cha kurutunusha Uranium kilicho chini ya Ardhi Cha Fordow uliyo. Kinachosubiriwa ni amri tu.
================
The IDF on Tuesday said that it has a ready plan for striking Iran's underground Fordow nuclear facility the moment that the political echelon gives the order.

Until now, IDF officials have been evasive when asked about when they would attack Fordow, though there were a few open denials that the IDF had already attacked Fordow, when such false reports came out over the weekend
 
Ni USA ndio anauwezo huo wa boom linaitwa mother of all booms lakini watafail tu kwa uwezo wa Mungu na nina uhakika Iran alisha jiandaa vizuri kujiprotect na boom hilo.

Israel wanazo 5,000 tons ambazo zikiporomoshwa nyingi nyingi sehemu moja zitafanya madhara makubwa, kwa Sasa kinachosubiriwa ni kama USA atakubali kupiga, akigoma wanajipigia.
Raundi magaidi wa uislamu hawana jipya wanapigwa kama wametulia.
 
lakini watafail tu kwa uwezo wa Mungu na nina uhakika Iran alisha jiandaa vizuri kujiprotect na boom hilo.
Kinyoongee, bora kumrudia Mungu tu, maana hawa Iran wamezingua sana, nadhani jina la nchi litakuwa linewaathiri, badala ya Iran itakuwa wanaitwa "I ran".
Yaani Hezbollah na I ran wamekuwa dhaifu kuliko Hamas?
 
Iran acha hizi unnecessary nuclear ambitions ili kuiangamiza Israel ,there’s no way Israel atakaa kimya asubiri kuwa annihilated na nuclear 💣 bomb, Iran akiachana na hii program vita inaisha kesho na vikwazo vyote watamuondolea
Kiburi na dharau ...pride bullshit...waache wale kiburi yao...leo ama kesho utasikia tu kimenuka...nasisitiza tunadili na kupiga kwa nguvu mapumbu tu
 
Ni USA ndio anauwezo huo wa boom linaitwa mother of all booms lakini watafail tu kwa uwezo wa Mungu na nina uhakika Iran alisha jiandaa vizuri kujiprotect na boom hilo.
Naona mpaka unaomba mungu.😁😁😁😁 Ile damu ya yule mwanamke aliyeuliwa kwasababu hajafunika kichwa bado inawalilia na inafanya kazi. Huwezi kumtoa uhai mtu kwasababu hajafunika kichwa.
Kipindi waisrael wanafukuzwa kwenye taifa lao, walisambaa duniani kote kwahiyo kuna viongozi wakubwa kwenye nchi kubwa duniani.
Ukimchunguza Trump, utakuta ana damu ya kiisrael kwahiyo ni ngumu kuwaacha ndugu zao wafe. Ushajiuliza kwanini Israel ilikuwa rahisi kuundwa upya 1948?
Israel ipo kwenye Biblia na Quran na pale, wapelestina ni wakimbizi na wavamizi. Biblia ina historia na maelezo yote kuhusu taifa la Israel hapo wapelestina wangeipoteza Biblia ili kufuta ushahidi
Hapo Ufaransa, Marekani, Canada, Uingereza, na German bado kuna waisrael kwahiyo hawawezi kuwaacha ndugu zao wafe.
 
Natanzi wameishindwa wamebaki kuipapasa juujuu tu sembuse Fordo iliyoko nusu maili chini?
Afu kwenye vita hi hakuna alicho gain Israel msikilize huyu Nuclear scientist kabla ya kufa, aliulizwa huogopi kufa alisema kufa tutakufa tu lakini sisi tumeisha wakabidhi vijana hio kazi.

Sa Israel wanajisifia wameuwa wale ma Nuclear Scientist kumbe wamejazana huko Iran


View: https://youtube.com/shorts/eKWAWg2VaEs?si=I5Gf_iYyFEf_mHaf
 
Ni USA ndio anauwezo huo wa boom linaitwa mother of all booms lakini watafail tu kwa uwezo wa Mungu na nina uhakika Iran alisha jiandaa vizuri kujiprotect na boom hilo.
Sio MOB ni MOP(Massive Ordinance Penetrater) kilo 13,000kg
 

Attachments

  • Screenshot_20250617-201829.png
    Screenshot_20250617-201829.png
    209.9 KB · Views: 36
Ni kwa mujibu wa JERUSALEM POST, Taarifa ya 17/06/2025 1903 hrs Easy African time.

Kama mpango wa kumuua Ayatollah ulivyo tayari, ndivyo pia mpango wa kulipua kituo kikubwa Cha kurutunusha Uranium kilicho chini ya Ardhi Cha Fordow uliyo. Kinachosubiriwa ni amri tu.
================
The IDF on Tuesday said that it has a ready plan for striking Iran's underground Fordow nuclear facility the moment that the political echelon gives the order.

Until now, IDF officials have been evasive when asked about when they would attack Fordow, though there were a few open denials that the IDF had already attacked Fordow, when such false reports came out over the weekend
Hili ndo neno sasa, mama Iran ashaandaliwa vizuriiii na keshalainika keshaloa kilichobaki ni kuliwa
 
Back
Top Bottom