zumbemkuu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 11,362
- 9,882
Mungu ndo kawaambia warutubishe uranium ili wakitaka kuangamiza viumbe wemgine alioumba iwe rahisi? Mungu huyu wa ajabu sana. Anaacha watoto wake wanachinjana huku kila mtoto akijiona ana support yake.Ni USA ndio anauwezo huo wa boom linaitwa mother of all booms lakini watafail tu kwa uwezo wa Mungu na nina uhakika Iran alisha jiandaa vizuri kujiprotect na boom hilo.