Mbona unawaota Sana USA? Huamini uwezo wa wazayuni au?Ni USA ndio anauwezo huo wa boom linaitwa mother of all booms lakini watafail tu kwa uwezo wa Mungu na nina uhakika Iran alisha jiandaa vizuri kujiprotect na boom hilo.
Ni USA ndio anauwezo huo wa boom linaitwa mother of all booms lakini watafail tu kwa uwezo wa Mungu na nina uhakika Iran alisha jiandaa vizuri kujiprotect na boom hilo.
Kinyoongee, bora kumrudia Mungu tu, maana hawa Iran wamezingua sana, nadhani jina la nchi litakuwa linewaathiri, badala ya Iran itakuwa wanaitwa "I ran".lakini watafail tu kwa uwezo wa Mungu na nina uhakika Iran alisha jiandaa vizuri kujiprotect na boom hilo.
Kiburi na dharau ...pride bullshit...waache wale kiburi yao...leo ama kesho utasikia tu kimenuka...nasisitiza tunadili na kupiga kwa nguvu mapumbu tuIran acha hizi unnecessary nuclear ambitions ili kuiangamiza Israel ,there’s no way Israel atakaa kimya asubiri kuwa annihilated na nuclear 💣 bomb, Iran akiachana na hii program vita inaisha kesho na vikwazo vyote watamuondolea
Naona mpaka unaomba mungu.😁😁😁😁 Ile damu ya yule mwanamke aliyeuliwa kwasababu hajafunika kichwa bado inawalilia na inafanya kazi. Huwezi kumtoa uhai mtu kwasababu hajafunika kichwa.Ni USA ndio anauwezo huo wa boom linaitwa mother of all booms lakini watafail tu kwa uwezo wa Mungu na nina uhakika Iran alisha jiandaa vizuri kujiprotect na boom hilo.
Afu kwenye vita hi hakuna alicho gain Israel msikilize huyu Nuclear scientist kabla ya kufa, aliulizwa huogopi kufa alisema kufa tutakufa tu lakini sisi tumeisha wakabidhi vijana hio kazi.Natanzi wameishindwa wamebaki kuipapasa juujuu tu sembuse Fordo iliyoko nusu maili chini?
Ukiwa kobaz lazma ukaze shingo kila kituNi USA ndio anauwezo huo wa boom linaitwa mother of all booms lakini watafail tu kwa uwezo wa Mungu na nina uhakika Iran alisha jiandaa vizuri kujiprotect na boom hilo.
Shida ni makobaziIran acha hizi unnecessary nuclear ambitions ili kuiangamiza Israel ,there’s no way Israel atakaa kimya asubiri kuwa annihilated na nuclear 💣 bomb, Iran akiachana na hii program vita inaisha kesho na vikwazo vyote watamuondolea
Kinacho fanyika ni kuwaandaa watu kisaikolojia tu. Any time breaking news itatoka. Na watu waataliaTrump ni winga mzuri ,ukiangalia post zake ana promote siraha za USA ampi sifa israel
Njoo ujaribu uone shingo unayo itafuta inafit kwenye oring yakoUkiwa kobaz lazma ukaze shingo kila kitu
Takua apa amna kituKinacho fanyika ni kuwaandaa watu kisaikolojia tu. Any time breaking news itatoka. Na watu waatalia
Sio MOB ni MOP(Massive Ordinance Penetrater) kilo 13,000kgNi USA ndio anauwezo huo wa boom linaitwa mother of all booms lakini watafail tu kwa uwezo wa Mungu na nina uhakika Iran alisha jiandaa vizuri kujiprotect na boom hilo.
Hili ndo neno sasa, mama Iran ashaandaliwa vizuriiii na keshalainika keshaloa kilichobaki ni kuliwaNi kwa mujibu wa JERUSALEM POST, Taarifa ya 17/06/2025 1903 hrs Easy African time.
Kama mpango wa kumuua Ayatollah ulivyo tayari, ndivyo pia mpango wa kulipua kituo kikubwa Cha kurutunusha Uranium kilicho chini ya Ardhi Cha Fordow uliyo. Kinachosubiriwa ni amri tu.
================
The IDF on Tuesday said that it has a ready plan for striking Iran's underground Fordow nuclear facility the moment that the political echelon gives the order.
Until now, IDF officials have been evasive when asked about when they would attack Fordow, though there were a few open denials that the IDF had already attacked Fordow, when such false reports came out over the weekend