Mungu ndo kawaambia warutubishe uranium ili wakitaka kuangamiza viumbe wemgine alioumba iwe rahisi? Mungu huyu wa ajabu sana. Anaacha watoto wake wanachinjana huku kila mtoto akijiona ana support yake.Ni USA ndio anauwezo huo wa boom linaitwa mother of all booms lakini watafail tu kwa uwezo wa Mungu na nina uhakika Iran alisha jiandaa vizuri kujiprotect na boom hilo.
Mooo na wewe upo vitani ?Ujinga ujinga tuu
Ninaimani Iran amrji protect lakini ninasikitika hajawa protect maafisa wake wakauawa kama panziNi USA ndio anauwezo huo wa boom linaitwa mother of all booms lakini watafail tu kwa uwezo wa Mungu na nina uhakika Iran alisha jiandaa vizuri kujiprotect na boom hilo.
Okay safi sana hizi elimu nzuri any way Trump anajisifu ndege za USA zina control anga ya Iran wacha atumie hizo MOPSio MOB ni MOP(Massive Ordinance Penetrater) kilo 13,000kg
Huko Israel kikosi kizima cha Mossad kimechinjwa kwa Missiles za IranNinaimani Iran amrji protect lakini ninasikitika hajawa protect maafisa wake wakauawa kama panzi
Sio MOAB. Hilo bomu linaitwa Massive Ordinance Penetrator (MOP) linabebwa na B-2 bomber tu.Ni USA ndio anauwezo huo wa boom linaitwa mother of all booms lakini watafail tu kwa uwezo wa Mungu na nina uhakika Iran alisha jiandaa vizuri kujiprotect na boom hilo.
Haya lisije shindwa tuSio MOAB. Hilo bomu linaitwa Massive Ordinance Penetrator (MOP) linabebwa na B-2 bomber tu.
Uko nyuma sana kudhani only US ndio wenye uwezo huo. And kajifunze kiundan MOAB ni niniNi USA ndio anauwezo huo wa boom linaitwa mother of all booms lakini watafail tu kwa uwezo wa Mungu na nina uhakika Iran alisha jiandaa vizuri kujiprotect na boom hilo.
Wanadamu msimpangie Mungu, Mungu hahusiki na such small units of human art works.Ni USA ndio anauwezo huo wa boom linaitwa mother of all booms lakini watafail tu kwa uwezo wa Mungu na nina uhakika Iran alisha jiandaa vizuri kujiprotect na boom hilo.
GBU-57 AKA (MOP)Haya lisije shindwa tu
Nilikuwa namsikiliza huyu A researcher in politically abd military affairs anasema hata USA hawezi kuivunja Nuclear station ya Iran kama alivyo failed Israel na yeye ata fail tu.GBU-57 AKA (MOP)
Ni USA ndio anauwezo huo wa boom linaitwa mother of all booms lakini watafail tu kwa uwezo wa Mungu na nina uhakika Iran alisha jiandaa vizuri kujiprotect na boom hilo.
Researcher kutoka wapi?Nilikuwa namsikiliza huyu A researcher in politically abd military affairs anasema hata USA hawezi kuivunja Nuclear station ya Iran kama alivyo failed Israel na yeye ata fail tu.
View: https://youtu.be/OcO57M3lcMA?si=QxOKKEEYVapgSWn5
We jamaa I wish ningekuelewa hiyo boom ndio nini kwenye sentence yako. I think ulimaanisha bomb maana hiyo boom yako ambayo maana yake ni sauti ya mripuko haifit katika kile ulichokimaanisha. The mother of all bombsNi USA ndio anauwezo huo wa boom linaitwa mother of all booms lakini watafail tu kwa uwezo wa Mungu na nina uhakika Iran alisha jiandaa vizuri kujiprotect na boom hilo.
Hao vijana watafikiwa tuAfu kwenye vita hi hakuna alicho gain Israel msikilize huyu Nuclear scientist kabla ya kufa, aliulizwa huogopi kufa alisema kufa tutakufa tu lakini sisi tumeisha wakabidhi vijana hio kazi.
Sa Israel wanajisifia wameuwa wale ma Nuclear Scientist kumbe wamejazana huko Iran
View: https://youtube.com/shorts/eKWAWg2VaEs?si=I5Gf_iYyFEf_mHaf
US ndiyo alishakuwa Mungu wenu kila kitu US sasa jiandae mną pigwa na Israel sasa!!Ni USA ndio anauwezo huo wa boom linaitwa mother of all booms lakini watafail tu kwa uwezo wa Mungu na nina uhakika Iran alisha jiandaa vizuri kujiprotect na boom hilo.