IDF: Mpango wa kulipua kituo kikuu cha nyuklia cha Iran cha Fordow, uko tayari. Kinachosuburiwa ni amri tu

US ndiyo alishakuwa Mungu wenu kila kitu US sasa jiandae mną pigwa na Israel sasa!!
Israel hi chui kwenye karatasi kisha failed Nuclear ya Iran kashindwa ivunja hata baba yake pia hawezi kuivunja.

Uko Tela Aviv bado hata shelter inasemekana kumbe hazisaidii lolote kwa Missiles za Iran karibu utaletwa kuzikwa huko kwenu isanzu haha
 
Tuko said if you want to shoot ,shoot don't talk
 
Iran acha hizi unnecessary nuclear ambitions ili kuiangamiza Israel ,there’s no way Israel atakaa kimya asubiri kuwa annihilated na nuclear 💣 bomb, Iran akiachana na hii program vita inaisha kesho na vikwazo vyote watamuondolea
Israel anazo nuclear warhead za nn?
 
Ni USA ndio anauwezo huo wa boom linaitwa mother of all booms lakini watafail tu kwa uwezo wa Mungu na nina uhakika Iran alisha jiandaa vizuri kujiprotect na boom hilo.
Sina imani na intelijensia ya muajemi
 
Iran acha hizi unnecessary nuclear ambitions ili kuiangamiza Israel ,there’s no way Israel atakaa kimya asubiri kuwa annihilated na nuclear 💣 bomb, Iran akiachana na hii program vita inaisha kesho na vikwazo vyote watamuondolea
Na Amani itarudi maana hatofadhili makundi ya kupigana na israel
 
Okay lakini nasikia Israel wameishiwa Missiles za air defense zimebaki chache sana itabidi ainue tu mikono
Mkuu unaishi kwa kuipimia kifikra sana Israel. Unafikili angekua na uwezo mdogo Kama unavyofikilia angeanzisha vita na taifa Kama Iran ambalo anajua lina nguvu pia kijeshi?.
 
Labda wamechora ramani tuu ila hawana silaha za kukilipua,hapo wanamsubiria bwana Yao USA alete madege yake makubwa ya kubeba mabomu ya zaidi ya tani 15.
 
Iran ya Ayatollah ifunzwe adabu mpaka waundoe utawala wa sharia wa Ayatollah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…