Viongozi wa nchi za kiarabu watumie hekima, kweli nchi ya Qartar na Iran, Turkey mnashindwa kukaa pamoja na viongozi wa Hamas ili waachie mateka na vita iishe, badala yake mnawavimbisha kichwa kuwa wapambane, ni nchi gani uteke watu wake halafu ikiangalie hivo hivi? Hamas wanashindwa kuyamaliza na majirani zao wayahudi halafu wanakimbia kutafuta huruma ya kimataifa! Na je UN inaruhusu utekaji wa wananchi? ICC inaruhusu utekaji wa wananchi?