IDF, walituamisha Mateka Gaza wapo kwenye Mahandaki, mateka anasema walikuwa wanakaa kwenye nyumba

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanaukumbi.

Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) lilisema kuwa Hamas imewaficha mateka kwenye mahandaki kumbe ni uongo baada ya kushindwa kujua walipo mateka wakaamua kudanganya, kumbe mateka wote wanaishi kwenye nyumba za kawaida majigambo mengi wanaenda kuwaokoa mateka wameishia kuwauwa watoto wachanga na kushambulia hospitali na shule.

Mmoja wa Mateka wa Thai anasema walioachiliwa alilazimika kusema hivi kuhusu jinsi alivyotendewa:

"Alisema kwamba hakuteswa wala kushambuliwa, na alikuwa amelishwa chakula kizuri.

Alitunzwa vizuri sana.

Inaonekana kana kwamba alikaa ndani ya nyumba, siyo handaki."

==================

🇵🇸🇹🇭 The sister of one of the Thai released hostages had to say this about the way he was treated:

"He said that he was neither tortured nor assaulted, and he had been fed good food.

He was very well taken care of.

It seems as though he stayed in a house, not a tunnel."

View: https://x.com/censoredmen/status/1728573117310570857?s=48&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
=======================

Huyo mwanamke anaongea ni malaaya mthailand aliyeenda kujiuza alikuwa hawara wa mmoja wa viongozi wa Hamas wala hakuwa mateka huyo alikuwa akiishi nyumba ya kawaida uraiani
 
unajua maana ya 'it seems...'

waislamu mlishauriwa kwenda shule sio kwenda madrasa tu qumamake...
Kiingereza ndiyo shule!?..mbuzi kabisa,na Kama kasema 'it seems..' maana yake hakuwa kwenye nyumba!?..it seems ni 'negation'!?
 
Wanaukumbi.

Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) lilisema kuwa Hamas imewaficha mateka kwenye mahandaki kumbe ni uongo baada ya kushindwa kujua walipo mateka wakaamua kudanganya, kumbe mateka wote wanaishi kwenye nyumba za kawaida majigambo mengi wanaenda kuwaokoa mateka wameishia kuwauwa watoto wachanga na kushambulia hospitali na shule.

Mmoja wa Mateka wa Thai anasema walioachiliwa alilazimika kusema hivi kuhusu jinsi alivyotendewa:

"Alisema kwamba hakuteswa wala kushambuliwa, na alikuwa amelishwa chakula kizuri.

Alitunzwa vizuri sana.

Inaonekana kana kwamba alikaa ndani ya nyumba, siyo handaki."
=======================
🇵🇸🇹🇭 The sister of one of the Thai released hostages had to say this about the way he was treated:

"He said that he was neither tortured nor assaulted, and he had been fed good food.

He was very well taken care of.

It seems as though he stayed in a house, not a tunnel."

View: https://x.com/censoredmen/status/1728573117310570857?s=48&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Wewe mleta mada ni mjinga kabisa.
Yaani unashindwa hata kuelewa context.
Mateka walikuwa mikononi mwa Hamas, halafu IDF onawasaka mafichoni ili iwakomboe sasa unategemea ukweli walipo mateka utakuwa wapi? IDF wangesema kile wanachohisi, na pia kiintelijensia wangesema kisicho halisi ili michakato ya nyuma ya pazia kuwasaka mateka iendelee kimya kimya kwenye sehemu husika.

Pili hakuna namna mateka anaweza kujua alipo, siku zote ni lazima atengenezwe mazingira ya kutokujua kwa hakika yupo wapi. Hivyo mateka akija kusema alikuwa ndani ya ndege haina maana kweli alikuwa ndani ya ndege inaweza iwe tofauti kabisa.
 
Umewahi tekwa?

Kiswahili tele mdomoni.
 
Wanaukumbi.

Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) lilisema kuwa Hamas imewaficha mateka kwenye mahandaki kumbe ni uongo baada ya kushindwa kujua walipo mateka wakaamua kudanganya, kumbe mateka wote wanaishi kwenye nyumba za kawaida majigambo mengi wanaenda kuwaokoa mateka wameishia kuwauwa watoto wachanga na kushambulia hospitali na shule.

Mmoja wa Mateka wa Thai anasema walioachiliwa alilazimika kusema hivi kuhusu jinsi alivyotendewa:

"Alisema kwamba hakuteswa wala kushambuliwa, na alikuwa amelishwa chakula kizuri.

Alitunzwa vizuri sana.

Inaonekana kana kwamba alikaa ndani ya nyumba, siyo handaki."

==================

🇵🇸🇹🇭 The sister of one of the Thai released hostages had to say this about the way he was treated:

"He said that he was neither tortured nor assaulted, and he had been fed good food.

He was very well taken care of.

It seems as though he stayed in a house, not a tunnel."

View: https://x.com/censoredmen/status/1728573117310570857?s=48&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Wee mjahidni ungerudi tu kwenye propaganda zako za CCM ulikokuwa. Huelewi hata unachokisikia.
 
Huyo mwanamke anaongea ni malaaya mthailand aliyeenda kujiuza alikuwa hawara wa mmoja wa viongozi wa Hamas wala hakuwa mateka huyo alikuwa akiishi nyumba ya kawaida uraiani
Huyo mwanamke anaongea ni malaaya mthailand aliyeenda kujiuza alikuwa hawara wa mmoja wa viongozi wa Hamas wala hakuwa mateka huyo alikuwa akiishi nyumba ya kawaida uraiani
Angalia hawa wanaosema wamekwenda shule, huyu alikwenda shule kuhudhuria sio kijifunza, wapi huyo dada amesema alikuwa mateka? Huyo dada anamuongelea kakayake ambaye alikuwa mateka
 
Acha na huyo punguani mateka kahojiwa na muandishi wa habari kama kweli walikuwa wanaishi kwenye mahandaki kama wanavyosema Israela mateka anasema walikuwa wanaishi kwenye nyumba sasa huyu punguani anajifanya mke wa waziri mkuu.
Acha au punguza lugha kasirishi mkuu. Mateka anasema walifundishwa/walilazimishwa/walielekezwa waseme nini.
Hata ungekuwa ni wewe, kama unaelekezwa kusema uongo tu ili uachiliwe, chap! utasema huo uongo tena kwa msisitizo ili maisha yaendelee.
 
Back
Top Bottom