Ukiwa kwenye mateso ya muda mrefu chini ya magaidi
Halafu yale magaidi yakaja kukuachia, inakuwa ni rahisi kusahau yale mateso na kuuona wema wa kuwekwa huru, na ndicho unachokiona kwa mateka hawa.
Wewe huoni hata watanzania wenzako ukiwemo wewe jinsi mlivyoteswa, kugandamizwa, kunyimwa uhuru wenu wa kutoa maoni, kufanywa watumwa ndani ya nchi yenu kwa muda mrefu lakini bado hamuoni hilo badala yake ni kusifia kila kitu kama mazuzu?