IDF wavamia makazi ya viongozi wa HAMAS na kugundua mahandaki kadhaa

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Kweli haya mapanya buku ya HAMAS yalijiandaa kwa muda mrefu na sidhani kama kuna taifa lolote dunia hii limekumbana na changamoto ya aina hii, yaani tangu umbwaaji wa dunia haijatokea binadamu wakajiandaa kama namna haya mazombi yalikua yamejipanga, hata mahandaki ya Vietnam hayakua hivi.

Ukizingatia haya ni magaidi yanayoendeshwa kidini, ni ujinga sana maana mabilioni yote waliyopewa ya kuboresha Gaza walitumia kwenye kujiandaa kwa jihadi za kijinga ambazo zimesababisha Gaza ifanywe shamba na watu wao akina mama na watoto kufa kwa maelfu, yaani mpaka sasa namba inakaribia kugonga 20,000

Halafu na hiyo Qatar nilisoma sehemu inatafutiwa zengwe maana ndio ilikua inatoa hela nyingi kwa hawa mazombi, japo yenyewe Qatar ilijua inasaidia watu wa Gaza kiuchumi...............
================================

Troops of the 7th Armored Brigade have raided the offices of the commander of Hamas’s Khan Younis battalion and the vacation homes of several senior Hamas commanders, including the terror group’s Gaza leader, Yahya Sinwar, the IDF says.

The commander of the 7th Armored Brigade, Col. Elad Tzuri, says his forces are battling Hamas in the Khan Younis area. He says the brigade also reached the main square in Bani Suheila, on the outskirts of Khan Younis.

During the operations, the brigade’s troops killed “many terrorists,” including some by tank shelling, the IDF says in a statement, adding that troops also uncovered some 30 tunnel shafts, struck dozens of anti-tank missile launch sites and observation posts, and seized weapons used by Hamas operatives, along with intelligence materials.

“We found weapons, tunnels inside vacation homes of senior Hamas officials,” Tzuri says. “We see a lot of tunnel shafts here, still encountering the enemy but gaining operational control of the area,” he adds.

Along with the offices of the Khan Younis battalion commander and holiday homes of senior Hamas commanders, the IDF says the troops also raided an outpost belonging to the terror group’s Deir al-Balah battalion, seizing intelligence materials.

In another raid, troops seized weapons and equipment at the home of a member of Hamas’s elite Nukhba forces, the IDF adds.

Troops of the 7th Armored Brigade operate in southern Gaza’s Khan Younis, in a handout image published by the military on December 17, 2023. (Israel Defense Forces)
 
View: https://youtu.be/_V_hd7BVYaQ?si=PNKhxlSp16SVHy_w

Mashoga wanatafuta ushindi wana act filim ya kihindi 😄

Wagundue mahandaki ya Hamasi hawa wanaota nini, Israel wemekuwa kama wehu kila kukicha wanatuletea story.

Mara tutapump maji ya baharini kwenye mahandaki, mara tutapeleka nguruwe ndani ya mahandaki, wao wenyewe manguruwe orignal wameshindwa waweze nguruwe pori 😄
 
View: https://youtu.be/_V_hd7BVYaQ?si=PNKhxlSp16SVHy_w

Mashoga wanatafuta ushindi wana act filim ya kihindi 😄

Wagundue mahandaki ya Hamasi hawa wabaota nini, Israel wemekuwa kama wehu kila kukicha wanatuletea story mara tutapump maji ya baharini kwenye mahandaki, mara tutapeleka nguruwe ndani wao wenyewe manguruwe wameshindwa waweze nguruwe pori 😄

Halafu mbona huwa mnajifanya kuchukia ushoga huku unaabudu aliyeyafanya....
 
Kweli haya mapanya buku ya HAMAS yalijiandaa kwa muda mrefu na sidhani kama kuna taifa lolote dunia hii limekumbana na changamoto ya aina hii, yaani tangu umbwaaji wa dunia haijatokea binadamu wakajiandaa kama namna haya mazombi yalikua yamejipanga, hata mahandaki ya Vietnam hayakua hivi.

Ukizingatia haya ni magaidi yanayoendeshwa kidini, ni ujinga sana maana mabilioni yote waliyopewa ya kuboresha Gaza walitumia kwenye kujiandaa kwa jihadi za kijinga ambazo zimesababisha Gaza ifanywe shamba na watu wao akina mama na watoto kufa kwa maelfu, yaani mpaka sasa namba inakaribia kugonga 20,000

Halafu na hiyo Qatar nilisoma sehemu inatafutiwa zengwe maana ndio ilikua inatoa hela nyingi kwa hawa mazombi, japo yenyewe Qatar ilijua inasaidia watu wa Gaza kiuchumi...............
================================

Troops of the 7th Armored Brigade have raided the offices of the commander of Hamas’s Khan Younis battalion and the vacation homes of several senior Hamas commanders, including the terror group’s Gaza leader, Yahya Sinwar, the IDF says.

The commander of the 7th Armored Brigade, Col. Elad Tzuri, says his forces are battling Hamas in the Khan Younis area. He says the brigade also reached the main square in Bani Suheila, on the outskirts of Khan Younis.

During the operations, the brigade’s troops killed “many terrorists,” including some by tank shelling, the IDF says in a statement, adding that troops also uncovered some 30 tunnel shafts, struck dozens of anti-tank missile launch sites and observation posts, and seized weapons used by Hamas operatives, along with intelligence materials.

“We found weapons, tunnels inside vacation homes of senior Hamas officials,” Tzuri says. “We see a lot of tunnel shafts here, still encountering the enemy but gaining operational control of the area,” he adds.

Along with the offices of the Khan Younis battalion commander and holiday homes of senior Hamas commanders, the IDF says the troops also raided an outpost belonging to the terror group’s Deir al-Balah battalion, seizing intelligence materials.

In another raid, troops seized weapons and equipment at the home of a member of Hamas’s elite Nukhba forces, the IDF adds.

Troops of the 7th Armored Brigade operate in southern Gaza’s Khan Younis, in a handout image published by the military on December 17, 2023. (Israel Defense Forces)
Mr uharo wewe ulishakuja na uzi kuwa 80% ya mahanadaki yagundilia ukasema pia wamejaza maji ya chimvi😂 badala ya kungundua mateka walipo unaleta uharo wako hapa.
 
Halafu na hiyo Qatar nilisoma sehemu inatafutiwa zengwe maana ndio ilikua inatoa hela nyingi kwa hawa mazombi, japo yenyewe Qatar ilijua inasaidia watu wa Gaza kiuchumi...............
Hizi taarifa umezitoa wapi?
Tupe source ya taarifa yako?
 
🤣🤣🤣
20231217_154407.jpg
 
Safi sana, ndio mjue Myahudi ni mtu wa aina gani, anafagia kila kitu kiwe kizuri au kibaya, vitoto vyenu anapiga tu, temaneni na Myahudi, acheni shobo naye tena hajali dunia itasema nini.
Hamas kundi teule
 
Ndio mnsambaza ile picha ya joshua Mollel akiwa na baiskeli mtu ambaye kauliwa oktoba 14 eti yule ndio joshua🤣🤣.

Ndani kavaa boxer ya jeshi .
 
We falaa hujui Al Hassan ni mjukuu wake? Vipi umeishiwa nini, kama huna jipya nenda kanisani ukatafute wa kukuowa.
Hajasema ilivyo sema Quran mkuu

Embu wewe isemee hiyo ilivyoandika tuone..?
 
Back
Top Bottom