IDF yasema Serikali Iran imeanza tena kuwapelekea fedha magaidi wa Hezbollah kupitia uwanja wa ndege wa Beirut, lengo kukijenga upya kikundi hicho

IDF yasema Serikali Iran imeanza tena kuwapelekea fedha magaidi wa Hezbollah kupitia uwanja wa ndege wa Beirut, lengo kukijenga upya kikundi hicho

Pesa apewe mwingine kuumia aumie mwingine, yani pesa yangu nampa Mtu X afu mtu Y anipangie???
Akili yako ndogo, sasa mtu ànapewa hela aje akuue wewe unasema usipangiwe? Mzima kweli wewe?
 
Marekani anachohitaji Kwa sasa ni kusimamisha vita ya Ukraine moja Kwa moja ili awekeze nguvu zaidi Kwa kuifuta Iran.
Hasira za trump ni Kwa Iran tu
Kile kinamtoa Ukraine nguvu za Russia sio kingine na uku IRAN pia agusiki uyo mkubwa sana si Tramp wala Netanyahu anaetaka Vita na Iran. Lengo lao kuu Palestina vile awana nguvu sana ana air defence system.
 
Kuna jambazi always anasumbua familia yangu na majirani wengine. Third-party mmoja amekuwa na anaendelea kupeleka mapanga na finances kwa jambazi yule then mwehu mmoja anahoji naumia nini jambazi kupelekewa support!
Yep. Walisemaga: Rafiki wa adui yako ni adui yako.
 
anachofanya Iran kwa Lebanon ni sawa na anachofanya Rwanda kwa DRC , Rwanda alitengeneza tatizo ndani ya DRC hlf lawama akawapa serikali ya DRC , kwamba Serikali ya DRC haikiwai watenga watutsi mpk watutsi walipoingia madarakani Rwanda mwaka 1994
Endelea tu kuelezea na anachokifanya marekani kwa Israel ni nini?
 
Pesa apewe mwingine kuumia aumie mwingine, yani pesa yangu nampa Mtu X afu mtu Y anipangie???

Gaidi hatakiwi kusaidiwa chochote kwa nia ya kumuimarisha. Israel ipeleke askari Beirut. Ndege zote toka Iran zipekuliwe. Ndege itakayothibitika kubeba pesa haramu, baada ya abiria kuruhusiwa kutoka, iteketezwe.

Magaidi yasipewe nafasi ya kuharibu amani ya Dunia.
 
Kwani shida iko wapi mbona kila siku SHETANYAHU yupo USA kuomba misaada. Atulie hapo Israel asipate hiyo misaada uone atakavyo chakazwa
Yani Israel ikisaidiwa fine Hizbollah au Hamas ikisaidiwa nongwa pambafu
 
Babaaa. Mkataba ndo unaangaliwa na kuzingatiwa.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Serikali ya Iran kupitia Jeshi lake la irgc wameanza kuwapelekea Fedha magaidi ya Hezbollah kupitia uwanja wa ndege wa Beirut
===============

Iran’s IRGC Quds Force has been smuggling cash to the Hezbollah terror group in Lebanon via the Beirut international airport in recent weeks, the Israeli military says.

In a post on X, the IDF’s Arabic-language spokesman, Col. Avichay Adraee, says the cash has been smuggled to Hezbollah by the Quds Force using civilian flights. The money is being used by the terror group to rebuild itself, according to the IDF.

Adraee says the IDF is in contact with a US-led committee supervising the ceasefire and is regularly updating it with “relevant information in order to foil these transfers.”

“Despite the efforts made, we estimate that some of the money transfers were carried out successfully,” he says.

“The IDF will not allow the organization to strengthen and will use all the tools at its disposal to enforce the understandings in the ceasefire agreement, for the security of the citizens of the State of Israel,” Adraee adds.
Netanyahu ametoka usa juzi kuomba mabomu .. kunashida gani kwani
 
Gaidi hatakiwi kusaidiwa chochote kwa nia ya kumuimarisha. Israel ipeleke askari Beirut. Ndege zote toka Iran zipekuliwe. Ndege itakayothibitika kubeba pesa haramu, baada ya abiria kuruhusiwa kutoka, iteketezwe.

Magaidi yasipewe nafasi ya kuharibu amani ya Dunia.
Gaid kwa mujibu wa nani .. kila adui wa marekan anaitwa gaid na nyie wayahudi wa maji matitu mnaimba hivyo hivyo
 
Back
Top Bottom