IDF yaua magaidi 60 ya hamas, yakamata 210 ni operesheni kubwa maalumu ya kijeshi almaarufu Operation Iron Wall huko magharibi mwa mto Jordan

Uwongo, Gaza iko mashariki west bank kaskazini magharibi mwa Gaza,wanatenganishwa na israel,baada ya 7oktoba hakuna mpalestina kwenda israel,hao hamas walivukaje hapo!?
Acha kushupaza fuvu nimekueleza baada ya Oct 07,2023 makundi yote ya kigaidi yaliungana dhidi ya Israel na ndiyo maana mpaka sasa hivi kuna vikosi vya Israel Biko huko kuwatia jambajamba magaidi, Haya kwa akili yako ndogo unafikiri vikosi vya Israel vimeenda huko west-bank kusherehekea Valentine?. West Bank wako magaidi ambao walikuwa wanaishambulia Israel na huko pia walikuwa wamejenga mahandaki. Toka Oct 07,2023 majeshi ya Israel yalikuwa yanaingia west-bank na kufanya operation zao na wana toka.
 
Kwaiyo hii Habari imetangazwa na IDF wenyewe Tutaiyamini vip!!!!!
Mbona wewe unaamini habari inayotangazwa na Aljazeera wakati kituo hicho ni washirika wa magaidi wa Hamas hata kwenye uvamizi wa Oct 07,2023 nao walikuwemo na walikuwa wa kwanza kuingia kwenye makazi ya wayahudi kuwaua?
 
Hamas kwao Gaza, west bank islamic jihad,fatah
Hujui lolote. Hamas ni chama kama unavyoweza kusema chadema. Wao wanatawala Gaza ila wana wafuasi west bank pia, hata fatah au Islamic jihad wana wafuasi Gaza pia. Na sio hapo tu hata wewe unaweza kuwa mfuasi wa hamas ulipo
 
Kiyama kwa mayahud na makafiri

Ee mtume wetu tunaomba jaalali tukapate thawab za kuonja bikra peponi inshallah πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹
 
Huu ushabiki huu ndo maana ni ngumu sana kuiondoa ccm madarakani
 
Wakati wanawaleta wale mateka walikuwa wanawafuatilia kwa Siri wanarudi kwenye mashimo gani ,wamewaelekezea moto huko huko kwenye mahandaki
 
Hujui lolote. Hamas ni chama kama unavyoweza kusema chadema. Wao wanatawala Gaza ila wana wafuasi west bank pia, hata fatah au Islamic jihad wana wafuasi Gaza pia. Na sio hapo tu hata wewe unaweza kuwa mfuasi wa hamas ulipo
Hebu lete mpambano mmoja wa Hamas na IDF west bank
 
Uwongo, israel wanapiga wapalestina West Bank na kubomoa majumba Ili kuongeza makazi ya walowezi,west bank walitulia muda mrefu wakati Gaza ikibomolewa
 
Hakuna Hamas west bank, Hamas eneo lao la utawala ni Gaza,inaelekea hata ramani ya eneo husika huijui.

Uraia ni mmoja West Bank na Gaza ni taifa moja.
Kuitenganisha Gaza na West Bank ni sawa na kutenganisha Alaska na majimbo mengine ya Marekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…