IDF yaua magaidi 60 ya hamas, yakamata 210 ni operesheni kubwa maalumu ya kijeshi almaarufu Operation Iron Wall huko magharibi mwa mto Jordan

IDF yaua magaidi 60 ya hamas, yakamata 210 ni operesheni kubwa maalumu ya kijeshi almaarufu Operation Iron Wall huko magharibi mwa mto Jordan

Uwongo, israel wanapiga wapalestina West Bank na kubomoa majumba Ili kuongeza makazi ya walowezi,west bank walitulia muda mrefu wakati Gaza ikibomolewa
Endelea kulishwa Matango pori kuamini ujinga
 
Hebu lete mpambano mmoja wa Hamas na IDF west bank
Hamasi ni wafuas sio serikali wewe. Kule Gaza ndipo walikofanikiwa kuwa na serikali ila hamas ni chama kina wafuasi sehem tofauti. Unabisha nini hata hili sasa. Mbona mara kibao hamas wamedai mauaji west bank ni wao wanahusika
 
Siku hizi wapigania uhuru wanaitwa magaidi!
 
Siku hizi wapigania uhuru wanaitwa magaidi!
Siku hizi hata Wabakaji,Watesaji,Watekaji nyara na wauaji wanaitwa Wapingania Uhuru au kidhungu Resistance!!! Oct 07,2023 walivamia huko Israel wakabaka watu,wakatesa,wakateka nyara na wakaua raia wasio na hatia 1,200 na kuna wajinga wanawaita wapigania uhuru!!!!
 
Hiii habari ni chai kutoka kijiwe cha walokole wa kwimba!!!! Aipo popote zaid uko kwimba na kiteto!!!! Wanapenda kusikia Damu ya wapelestina imemwagika wakiona kimya Wanaoteshwa na jehova kuwa damu imemwagika wafanye tambiko!!!!
 
Back
Top Bottom