IDF yawaua Fahmi Salami na Salah Dahman ambao makamanda waandamizi wa Hamas waliohusika na shambulizi la Oktoba 7, 2023

Hao walishatangazwa zaidi ya mar 20 kuwa wameuawa
 
Hivi hao israeli wakiuliwa na hamas huwa wanasema pia?
 
Nani ka copy hivi umelewa nilicho sema maneno ya Mitume wa Mungu ujumbe wao ni mmoja tu,
Unajua maana ya Judeo Christianity?!

The term “Judeo-Christian” is used to describe the shared values and traditions of Judaism and Christianity:

Wakati Uisilamu ni "Anti Judaism" yaani ukopi kazi za Mtu halafu unaaza kutumia hizo kazi zake Against...yaani ukopy Simu ya SAMSUNG halafu uanze kutengeneza Propaganda kuwa SAMSUNG ndio feki 😂
 
Binadamu bila dini ni kama mnyama hajui anaenda wapi.
Mbona kuna Matheist wengi leo Duniani na haswa huko West hawachinji nata Nzi ? Wakati watu wenye Dini wanachinjana kila siku.
 
Story nying oh Qur'an ime copy hahaha wakristo noma kweli For your information, God challenged all humankind to produce a single chapter like those in the Qur'an and none managed to even come close.

To make the picture clearer, the shortest chapter in the Qur'an is like a half line, here it is :
Nakuwekea hio sura kwa kuiquote

سورة الـكوثر
بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ
In the name of Allah, the Compassionate, the Merciful.
﴿١﴾ إِنَّا أَعْطَيْنَاكَ الْكَوْثَرَ
1. We have given you plenty.
﴿٢﴾ فَصَلِّ لِرَبِّكَ وَانْحَرْ
2. So pray to your Lord and sacrifice.
﴿٣﴾ إِنَّ شَانِئَكَ هُوَ الْأَبْتَرُ
3. He who hates you is cut off.

Leo miaka 1448 hakuna hata mmoja kaweza kuleta hio sura fupi katika zote, afu we unasema Mtume Muhammad ka quote sijui kwenu hahaha, vichaa kweli nyie
 
Mbona kuna Matheist wengi leo Duniani na haswa huko West hawachinji nata Nzi ? Wakati watu wenye Dini wanachinjana kila siku.
We unadhani mwenye kujua dini ya kislam watachinja binadamu? Hao wachinjaji ni wajukuu wa kina Biden na Shetanyahu.
 
We unadhani mwenye kujua dini ya kislam watachinja binadamu? Hao wachinjaji ni wajukuu wa kina Biden na Shetanyahu.
Mbona Assad amechinja maelfu kwa maelfu?!

Mbona Ayatolah anachinja Mashoga?!

Hao hapo juu pia hawaujui Uisilamu?
 
Mbona Assad amechinja maelfu kwa maelfu?!

Mbona Ayatolah anachinja Mashoga?!
Mimi nataka unitaftie wapi Uislam una halalisha kuchinja watu, ukipata niletee hapa. Hata Viongozi wakikristo wanachinja mbona huwataji?
 
Hizo ni hadithi au Surah ya Qur'an?
Utajua wewe lakini Point yako kuwa Mwanadamu bila Dini ni Mnyama nikakwambia mbona wale wasiokua na Dini hawachinji wenzao kama nyie halafu unanirudisha kulekule kwenye Sura na Quruani.

Naona tutakesha humu.
 
Story ya Nuhu ya kwenye Quruani imekopiwa kutoka Story ya Noah.

Unajuwa nini ku copy hebu tuletee hiyo story ya Nuh iliyokopiwa kutoka biblia halafu utuletee story ya Nuh hiyo kutoka Quran
 
Unajuwa nini ku copy hebu tuletee hiyo story ya Nuh iliyokopiwa kutoka biblia halafu utuletee story ya Nuh hiyo kutoka Quran
Kwenue Quruani inasema Allah alimuamuru ajenge Safina na Quruani imeandikwa miaka mingi baada Biblia.
 
Kwenue Quruani inasema Allah alimuamuru ajenge Safina na Quruani imeandikwa miaka mingi baada Biblia.

Mbona hujatuwekea aya za biblia na aya kutoka Quran ambazo zilikopiwa ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…