IDF yawaua Fahmi Salami na Salah Dahman ambao makamanda waandamizi wa Hamas waliohusika na shambulizi la Oktoba 7, 2023

Swali we utaishi milele? Sa kufa ni kawaida je mateka wamerudi? Je vita Gaza imeisha
Sasa tufanyaje sheikh wangu? Hezbollah alianzisha vita na Israel sababu ya kuwa support Hamas sasa naona Hezbollah wapo kimya tu na Gaza watu wanaendelea kuuwawa tu
 
Mlutuambia Yahya Sinwar mlisha muwa yeye na Mohamad Al Dheif badaye mkasema kakimbia na nguo za kike badaye mkasema oh tumemuwa mkatuonyesha mpaa picture zake hao mbona hamtuonyeshi picture zao 🀣
Kwani ulionyeshwa maiti ya Nassarrah?
 
We Jamaa bhana πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Unazani wanajua hata wanashabikia nn...wao ili mradi inaonyesha Israel atanufaika kwa namna yoyote basiwamechukizwa na anguko la Assad.
 
Mayahudi waongo hawajaua hata mmoja hao wote wako hai na bado wanawapelekea moto IDF. Hata picha hawawezi kukuonesha hawana.
Mlutuambia Yahya Sinwar mlisha muwa yeye na Mohamad Al Dheif badaye mkasema kakimbia na nguo za kike badaye mkasema oh tumemuwa mkatuonyesha mpaa picture zake hao mbona hamtuonyeshi picture zao 🀣
 
Hata Malaika wa kwenye Bibilia pia wamekopiwa kwamfano Gabriel kawa jibriil, Michael baada ya kukopiwa kawa Mikaiil.

Hakuna cha haja ya Aya vitu viko wazi.

Aya hiyo iko kitabu kipi ndani ya biblia?
 
Sheikh umepaniki sana. Pole naelewa jinsi frustration zinamfanya mtu awe kama kachanganyikiwa.
 
Ina miaka 1300 je kabla ya hapo Allah alikuwa wapi? Usingizini halafu akakurupuka na kuleta Kitabu?!

Na ni kwanini kitabu chake kisiwe cha kipekee badala kukopi?
Hivi wewe uko sawa kweli, Mungu akitaka kitu kiwe wewe nani upinge. Nilicho kuliza wewe una sema Qur'an ime copy tumekuwambia mimi na Gavana tupe mstari mmoja tu kwenye Qur'an umefanana na Bible zenu fake huna jibu.

Mimi sina time kupoteza na vichaa. Leta dalili unacho ongea kama ni kweli kama huna basi yaishe.

Nimekuliza ukristo nani kauleta huna, nimekuliza Paulo nani kampa utume huna, nimukuliza Yesu alikuwa sio mkristo dalili zenu wapi Yesu alisema yeye ni kristo huna. Nakuliza swali lingine una dalili Yesu alikutana na Paulo, John, Mathew, Luke, na Mark huna. Sa hawa wote hakuna aliye hata muona Yesu mnasema Paulo alikutana naye barabarani πŸ˜† πŸ˜‚ Hivi mtu akitana na wewe barabarani tu bila dalili nyie mnamuamini. Ikiwa Mtume Muhammad kitabu kimoja kimetumia miaka 23 mpaa kikamilike tena kwa njia ya Gabriel. Nyie Yesu mnavyo dai slikutana naPaulo barabarani, na mna vitabu sijui vingapi hahaha vichaa kweli nyie.

Dalili ya muongo ni fupi sana, bibilia imetungwa na Shetani wenu Paulo. Si kitabu cha Mungu.
 
Hivi wewe uko sawa kweli, Mungu akitaka kitu kiwe wewe nani upinge
Kwahiyo Allah ndie anayetaka mpigwe huko Gaza na Lebanon? Sasa huyo Allah ambaye hana msaada wowote kwenu wa nini sasa?!

Allah kama anauwezo kwanini asimzuie Netanyahu?!
 
Kwahiyo Allah ndie anayetaka mpigwe huko Gaza na Lebanon? Sasa huyo Allah ambaye hana msaada wowote kwenu wa nini sasa?!

Allah kama anauwezo kwanini asimzuie Netanyahu?!
Kwani usimulize Yesu hilo swali mnasema alikufa msalabani, vipi amuwache mwanaye kama anauwezo mpaa apigiliwe msalabani.

Kwanini usimulize Ayoub aliliwa mpaa miguu yake nafunza na alikuwa katika Mitume wake , uje ushangae ya wapalestina

Maswali yako niyakitoto sana aisay, we unadhani vipenzi vya Mungu wanalala na kuamka bila mitihani afu akupeleke peponi πŸ˜„ 🀣

Nyie wakristo wote vipebzi vya Mungu kamtoa mpaa Yesu kwa ajili yenu hahahaha.
 
Ina miaka 1300 je kabla ya hapo Allah alikuwa wapi? Usingizini halafu akakurupuka na kuleta Kitabu?!

Na ni kwanini kitabu chake kisiwe cha kipekee badala kukopi?
Hakiwezi kuwa cha kipekee tumiaga akili ingekuwa kuna mungu zaidi ya mmoja kama makafir mnavyodai hapo vitabu vingekuja na mafundisho tofauti, ila kwakuwa mungu ni mmoja mafundisho ya quran hayawezi kuwa tofauti, ila ajabu ni wale wala nguruwe ambao wanadai mungu ni watatu hao ndio wapo kwenye hasara
 
Hakiwezi kuwa cha kipekee tumiaga akili ingekuwa kuna mungu zaidi ya mmoja kama makafir mnavyodai hapo vitabu vingekuja na mafundisho tofauti,
Mbona Kitabu cha Dini ya Masingasinga Guru Granth Sahib ni cha Mungu.

Na hakijakopi.
 
Kwanini usimulize Ayoub aliliwa mpaa miguu yake nafunza na alikuwa katika Mitume wake , uje ushangae ya wapalestina
Kwahiyo Allah anayapa Magaidi ya Hamas mtihani?πŸ˜πŸ˜†
 
Mbona Kitabu cha Dini ya Masingasinga Guru Granth Sahib ni cha Mungu.

Na hakijakopi.
Ukiangalia kwa hali ya kawaida tu ng'ombe hawezi kuwa mungu, kuna vitu kwa akili ya kawaida tu unaona huu ni uongo, ila torati, injili, zaburi, na quran ni vitabu vya mungu bila ya shaka yoyote
 
Ukiangalia kwa hali ya kawaida tu ng'ombe hawezi kuwa mungu, kuna vitu kwa akili ya kawaida tu unaona huu ni uongo, ila torati, injili, zaburi, na quran ni vitabu vya mungu bila ya shaka yoyote
Masingasinga sio Hindus fanya research Mungu wa Singasinga anaitwa WAHEGURU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…