Idi Amin Dada akiwa amebebwa na wazungu

Idi Amin Dada akiwa amebebwa na wazungu

blackcrow

Member
Joined
Sep 24, 2020
Posts
21
Reaction score
43
Pichani ni #Al-hajj Idi Amin Dada akiwa amebebwa na wazungu akizungushwa katika mitaa mbalimbli ya Jiji la kampala
nchini uganda. Hii picha inafichwa sana na wazungu kutokana na kitendo cha Iddi Amin.

#Idi Amin baada ya tukio hilo alisema Afrika tunaweza kuitawala Ulaya na Amerika kama ambavyo Wao walivyoweza kututawala.
Leo hii Embu fikiria Wangekuwepo kina Idd Amin na Gaddaf, Wangekubali Majaribio ya Chanjo ya Corona yafanyikie Hapa Afrika?

Viongozi wetu kuna Jambo la kujifunza

hapa.

FB_IMG_16136842396748400.jpg
 
Magu Anapata pressure kutoka pande zote, huku wahuni wanapost misiba ya korona...huku analazimishwa chanjo wakati yeye na washauri wake wanaona sio sahihi lakini impact ya lockdown pia ni kubwa na mbaya zaidi ambayo itapelekea kuzorota kwa uchumi na kupelekea kua watumwa wa kukubali terms and conditions za hiyo misaada......ooh maybe I'm dreaming....!!
 
Magu Anapata pressure kutoka pande zote...huku wahuni wanapost misiba ya korona...huku analazimishwa chanjo wakati yeye na washauri wake wanaona sio sahihi....lakini impact ya lockdown pia ni kubwa na mbaya zaidi ambayo itapelekea kuzorota kwa uchumi na kupelekea kua watumwa wa kukubali terms and conditions za hiyo misaada......ooh maybe I'm dreaming....!!
Tuungane nae sasa maana yupo kwa maslahi ya taifa na si kwa maslahi ya mataifa ya nje kama waliopita
 
Hii picha ilitoka kwenye kitabu kinaitwa ‘State of Blood’ kiliandikwa na mmoja wa viongozi wa serikali baada ya kupelekewa taarifa kwamba ‘he was next’.

Amin hakutembezwa mitaani bali ilikuwa ni sehemu ya hoteli moja kubwa Kampala.
 
Magu Anapata pressure kutoka pande zote, huku wahuni wanapost misiba ya korona...huku analazimishwa chanjo wakati yeye na washauri wake wanaona sio sahihi lakini impact ya lockdown pia ni kubwa na mbaya zaidi ambayo itapelekea kuzorota kwa uchumi na kupelekea kua watumwa wa kukubali terms and conditions za hiyo misaada......ooh maybe I'm dreaming....!!
Kweli you are dreaming, if not then you are Mataga, Nani kasema anataka lockdown? Kwanini hutaki kutumia kiungo sahihi kufikiri?
 
bange zake zilimtuma aje kuanzisha vita kwetu, angekomaa na Uganda tu wala kusingekua na shida.
Yeah, ila ukiwasikiliza waganda wenyewe na ukiwa vijiwe vya kahawa pale Kampala, au ukikutana na wazee wa zamani utapata mambo mengi mazuri
 
Back
Top Bottom