Idris amfungukia LULU

lulu ni photogenic tu , hana uzuri huo kma anavyoonekana kwenye picha, ni kafupi kama skuna za miaka 47, camera za i phone 6 na galaxy s5 zinafanya kazi

Teh teh,we ni noumaaah.
 
Macho yanatofautiana.....mimi nikiambiwa nitaje bongo movie wazuri (ninaowafahamu) nitaanza na Lulu....na mimi ku-assess uzuri wa mtu huwa situmii vigezo vya Lundenga
Hawajui wanachokiponda hao! LULU kawa mbaya lini? watu wamemuona tokea kiko kitoto kweli mpaka sasa hivi kitoto cha bandia ! kwa kawaida mtoto akizaliwa mzuri au ukimuona mzuri at age 2-7 at age 15- 20++ uzuri huongezeka mara mia (at her prime) iweje Lulu iwe kinyume chake? mchukieni lakini kabinti kanavutia na ninauhakika wengi wenu huwa mnazaa nae mkiwa bafuni na wengine hawamaliziki kwa wake zao mpaka wamfikirie Lulu!
 
Sawa ila nna mashaka Evelyn Salt kama atanikubali maana alishaniwekea kiuzibe. Hata hapa naona macho hayabanduki...full kutukodolea

Hahaha simba wenyewe walinzi hodari lakini wanachapa sembuse salt.....
Ongeza juhudi kidogo.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…