Idris amfungukia LULU

Idris amfungukia LULU

Macho yanatofautiana.....mimi nikiambiwa nitaje bongo movie wazuri (ninaowafahamu) nitaanza na Lulu....na mimi ku-assess uzuri wa mtu huwa situmii vigezo vya Lundenga
Hawajui wanachokiponda hao! LULU kawa mbaya lini? watu wamemuona tokea kiko kitoto kweli mpaka sasa hivi kitoto cha bandia ! kwa kawaida mtoto akizaliwa mzuri au ukimuona mzuri at age 2-7 at age 15- 20++ uzuri huongezeka mara mia (at her prime) iweje Lulu iwe kinyume chake? mchukieni lakini kabinti kanavutia na ninauhakika wengi wenu huwa mnazaa nae mkiwa bafuni na wengine hawamaliziki kwa wake zao mpaka wamfikirie Lulu!
 
Back
Top Bottom