Simon Adebisi
JF-Expert Member
- Aug 7, 2018
- 1,224
- 2,337
Yah hata mm namwelewa sana ila moviez nyingi zinakuwa za kiboya boya tu hazielewekiJamaa anakua sana kuigiza na ana muonekano flani wa kisanii lakini sijui anafeligi wapi yani....
Nahisigi alikua na potential kubwa zaidi ya hapa alipofika since the wire HBO lakini sijui anabugigi kuchagua script au directors wa movie wanamfelisha??
Niko nacheki Luther tje fallen sun af naona naboreka tu yani movie matukio yamewekwa wekwa tu yani sio sawa kabisa ma ukubwa wa jina lake....
Jamaa alikua na potential ya kuwa kama Denzel hivi yani lakini sielewi shida sjui nn yani kwake
Sijui anafeli wapi yani huyu jamaaYah hata mm namwelewa sana ila moviez nyingi zinakuwa za kiboya boya tu hazieleweki
Yaah niliinyaka hii info... sema pia dizani maproduza wa uk wanamkosea kama hawajui kumuandikia script vile yaniKuna kipindi walitaka kumtumia kama James bond ila alifeli kwa kuwa mweusi😀 hawez kublen in kwenye jamii ya weupe
Yes indeed, hakufeli yeye kama yeye.... na bado yupo kwenye list ya next James Bond.Kuna kipindi walitaka kumtumia kama James bond ila alifeli kwa kuwa mweusi😀 hawez kublen in kwenye jamii ya weupe
Jamaa alitakiwa aigize movie za Tyler Perry too zile za Romantic. Huku kwenye action anachemsha tu.
Ile waliofanyia South Africa kama watalii? 🤣Pengine angefit huko maana action kama anakurupukaga hivi.. atlesst kwenye beast of no nation alikaa poa
Tyler Perry mzushi sana 😀 tena akiigiza kama shangazi🤣Jamaa alitakiwa aigize movie za Tyler Perry too zile za Romantic. Huku kwenye action anachemsha tu.
Weka picha wengine hawamjui idriss elbaJamaa anajua sana kuigiza na ana muonekano fulani wa kisanii lakini sijui anafeligi wapi yani.
Nahisigi alikuwa na potential kubwa zaidi ya hapa alipofika since the wire HBO lakini sijui anabugigi kuchagua script au directors wa movie wanamfelisha??
Niko nacheki 'Luther the fallen sun' halafu naona naboreka tu yani movie matukio yamewekwa wekwa tu yaani sio sawa kabisa na ukubwa wa jina lake.
Jamaa alikuwa na potential ya kuwa kama Denzel hivi yani lakini sielewi shida sijui nini kwake
Anafanya poa ila sio sawa na ukubwa wa jina na talent yake kwa maoni yangu kuna sehemu anakwama...Mbona anafanya poa
Dark Tower
Bastille Day
Beasts of no Nation
Ametembea fresh mbona
Weka picha wengine hawamjui idriss elba
LUTHER ni muendelezo kutoka kwenye series ya LUTHER huwezi kuelewa mpk uanze na series kwanzaJamaa anajua sana kuigiza na ana muonekano fulani wa kisanii lakini sijui anafeligi wapi yani.
Nahisigi alikuwa na potential kubwa zaidi ya hapa alipofika since the wire HBO lakini sijui anabugigi kuchagua script au directors wa movie wanamfelisha??
Niko nacheki 'Luther the fallen sun' halafu naona naboreka tu yani movie matukio yamewekwa wekwa tu yaani sio sawa kabisa na ukubwa wa jina lake.
Jamaa alikuwa na potential ya kuwa kama Denzel hivi yani lakini sielewi shida sijui nini kwake
Sijaanza kumfatilia idris elba juzi mzee... hiyo luther series ya juzi tu hapo... namcheki idris elba toka yuko yanki tisini hukoLUTHER ni muendelezo kutoka kwenye series ya LUTHER huwezi kuelewa mpk uanze na series kwanza